Mauzo ya kitabu cha kumchafua Hayati Magufuli yadoda

Mauzo ya kitabu cha kumchafua Hayati Magufuli yadoda

Lilongwe - Malawi. Nakala ya Kwanza ya Kitabu Kipya Cha Hayati Rais Magufuli Kama kilivyoandikwa na Profesa wa Chuo kikuu Cha Hebron Nchini Malawi Prof Malango Chinthenga kimeuzwa kwa USD 600 sawa na Tsh 1,450,000/= kwa Mwananchi wa Kawaida wa Malawi ambaye alijitokeza katika Uzinduzi wa Kitabu hicho jijini Lilongwe, Kitabu hicho chenye kurasa 461 na Chapter zipatazo 48 kimeanza kuwa Gumzo Kubwa Barani Afrika Kitabu kinaitwa "AFRICA MAGUFULI AND CHANGE" an integrated Approach in abolishing Africa's modern economic Slavery", kwa tafisiri isiyo Rasmi Ni "AFRIKA MAGUFULI NA MABADILIKO" Namna, Njia ya Kutokomeza Utumwa wa Kisasa wa Afrika Kiuchumi" Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Kitabu Hicho jijini Lilongwe Dr Grace Kumchulesi ambaye Ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Mipango ya Maendeleo ya Serikali ya Malawi anasema:[emoji116] "Kutokea Hapa Malawi tutajitahidi kusambaza Kitabu Hiki katika Vyuo vyetu Vyote kwa ajili ya Vijana wetu Kujifunza Nini Maana ya Uongozi na Ukombozi wa Bara la Afrika kutoka katika Ukoloni

MBWEHA ENDELEENI KUBWEKA!
IMG-20230709-WA0016.jpg
IMG-20230709-WA0017.jpg
 
Legacy ya JPM inawatesa sana, maana inawaaibisha watendaji wabovu
 
Ugekuwa na akili ungehoji zilichapishwa nakala ngapi? Zimeuzwa ngapi? Kwa muda gani? Malengo ni kuuza ngapi? Je watz ni wasomaji wa vitabu? Kile cha mkapa ziliuzwa nakala ngapi? Vinginevyo ni ukasuku na stress tu zinawasumbua
Magu amekufa kimwili lakini atakuwa mwiba mchungu sanakwenye maisha ya vyeti feki na mafisadi.
 

Imethibitika Sasa rasmi kwamba kijitabu kinachoitwa I'm the State kilichoandaliwa na mafisadi kwa ajili ya kumchafua Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli na legacy yake mauzo yake yamedoda mtaani baada ya kupuuzwa na Watanzania.

Hao waandishi uchwara walishaonywa mara nyingi kwamba hamna nguvu wa pesa itakayomchafua Magufuli, Watanzania siyo vilaza kama watu wa ufipa walivyo wanajua yupi ni kondoo na yupi ni mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo.

Hao waandishi vilaza wanajua fika legacy ya Magufuli ipo kila mahali, baharini na nchi kavu, angani na aridhini, bungeni na serikalini na inaendelea kwa kasi ya ajabu.
Huo uchafu nani atausoma
 
Sio kila kitabu nichakuuza, vingine vipo kwa ajili ya kufikisha ujumbe au taarifa kwa walengwa. Kwa sababu maandishi yataishi muda mrefu, kwa hiyo wewe unayadharau sasa, ila yatasomwa miaka mingi ijayo.
Hicho kijitabu ni toilet pepa
 
bahati mbaya sana mapromoter wameanza kugeukia walioyaita matapishi.
 
Kwa mchango huu,huu uzi ufutwe ama ufungwe.
Uliyoyaandika ndio "ukweli na nusu" na uhalisia mtupu.
Punguza utoto MTanzania Gani huwa anasoma vitabu? Hiko kitabu kimeandikwa kwa lugha ya kiingereza meaning wanalenga aina Fulani ya soko sio nyie wacheza singeli wa Tandika. Ni kama tu kitabu Cha Mkapa au Mwinyi unadhani hoehae kama wewe unaweza nunua nakala kwa elfu 80?

Msijipe umuhimu ambao hamna, hivyo vitabu kwa taarifa Yako wamenunua hao viongozi wa serikali na decision makers wa private sector maana ndio target market sio nyie wamachinga. After all hata kingekua kinamsifia JPM wewe una hiyo elfu 80?
 
Back
Top Bottom