Mauzo ya kitabu cha kumchafua Hayati Magufuli yadoda

Magufuli hachafuliwi alijinyea mwenyewe
 
Magufuli alikuwa mpumbavu anayesifiwa na wapumbavu. Sijawahi hata kuyaona hayo yanayoitwa madawq ya kulevya. Sijawahi kufika hapo panapoitwa ufipa,sina vyeti feki wala sili rushwa na siyo fisadi ila nasema Magufuli alikuwa mfano wa kiongozi mbaya
Kama siyo teja ufipa unatafuta nini?
 
Imethibitika Sasa rasmi kwamba kijitabu kinachoitwa I'm the State kilichoandaliwa na mafisadi kwa ajili ya kumchafua Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli na legacy yake mauzo yake yamedoda mtaani baada ya kupuuzwa na Watanzania...
Tunaitaji majibu ya matatizo ya MTANZANIA,

Hatuitaji vitabu vya project uchwara za kumchafua JPM
 
Wacha upoyoyo, magufuli na the so called sukuma gang walikua wanatafta kick kwa kuiba na kuua watu na kutesa, hicho kitabu hakitafutika daima.
Watasoms watoto na vijukuu na vitukuu na kumjua kiongozi dikteta aliyetawala miaka sita tangu 1985.
Dikteta na rais wa kwanza tz kufia madarakani
 


Kama kweli ungekuwa unampenda Magufuli jinsi ulivyoandika hapo juu kamwe usingejaribu kunadi (advertise) hicho kitabu kwa kuweka Title yake, mimi binafsi sikuwa najua kwamba kipo kitabu chenye Anuani hiyo; (I'm the state), sasa kupitia huu uzi wako nimejua na nitafanya juhudi kukitafuta ili nikisome.

Thanks.
 
Vipi mkuu? Usipoangalia utaanza kuona vitu.
 
Mungu Baba tunaomba Rais mwigine Kama Magufuli, tumeona fly over ya Ubungo, Tazara, daraja la Tanzanite, daraja la wami, daraja la Busisi Mwanza, Meli Mpya za abiria na mizigo Mwanza, Barbara za lami Tandare, Temeke Tena mtaani, SGR, Bwawa Kubwa la Umeme la Nyerere Jamani ni mengi Sana, Kuna umeme vijijini, maji vijijini, Hospitali za rufaa mbeya, Mwanza, dodoma dah namuita SHUJAA MAGUFULI.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…