Mauzo ya kitabu cha kumchafua Hayati Magufuli yadoda

Mbeleni wajipange kulipa gharama ya walichoandika. It's a short lived honey moon. Huwezi kumdhihaki Mkuu wa Nchi aliyefariki/Marehemu ukadhani utabaki salama. Tutakumbushana mbeleni
 
Mkuu tuonyeshe ugoro wa hicho kitabu ni huu na ukweli ni huu. Kwa kifupi chambua uongo wao dhidi ya ukweli.
Sawa. Tuanze na Airport inahudumia watu milioni 6 hadi Geita na Kigoma na Shinyanga na Bukoba, kilometa 400, hii Airport otawasaidia wote hawa. Kwa nini iwe nongwa? Kwan si ni Watanzania? Kwa Wahariri kuna watu milioni 2 tu, wana Airport 4 Moshi KIA na Arusha, kilometa 39.

La pili Hospitali ya Rufaa, same as above ila hili u geza na kwa Waziri Mkuu Majaliwa, Hawana kitu, kwa nini iwe nongwa CCM ikiwakumbuka? KwaWahariri walikuwa Waziri Mkuu mara 4 ukimhesabu na Naibu Waziri Mkuu

La 3 ni lami. Yale yale

La 4 ni katawi Class III ka CRDB. Kamoja tu! Kwa Wahariri kuna matawi mangapi CRDB? Watu wangapi? CRDB ilijengwa na nani? Niendelee?
 
Mimi tayari nina nakala yangu ya kitabu hicho
 
Wachaga wataendelea kuburuzwa na Kanda ya ziwa watake wasitake na kimanispaa Chao kilichodumaa. Wana wivu sana
 
Magufuli alipendwa na anasifiwa na
Watu wasiomjua tangu akiwa naibu wqzir na wazir hata akaja kuwa raisi walikuwa hawamjui kwakuwa amaa hawakuwa wanafuatilia au hawakuwa na access ya magazeti, simu na bundles.
 
we nenda kaharishe huo uvundo wako, hicho kitabu kinatafutwa sana sema hakipatikani haijatufikia mikoani we poyoyo
 
Wamehamishia story kwenye gazeti lao la mwananchi,mbwa sana hawa jamaa pamoja na sponsers wao Nape, January Makamba and so forth
 
Aibu!!! Mwisho wake utasikia kimefungiwa kitabu.
 
Magufuli alipendwa na anasifiwa na
Watu wasiomjua tangu akiwa naibu wqzir na wazir hata akaja kuwa raisi walikuwa hawamjui kwakuwa amaa hawakuwa wanafuatilia au hawakuwa na access ya magazeti, simu na bundles.
Tuonyeshe kwanza legacy yako wewe ndiyo tumchukie Magufuli
 
Hakuna giza linaweza funika nuru.

Ukweli utabaki na utaishi milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…