Mauzo ya kitabu cha kumchafua Hayati Magufuli yadoda

tumekinunu sana kupita maelezo
 
Hakuna anayeweza kumchafua JPM. Hata kama atawanunulia Watanzania Bia wanywaji wote Tanzania nzima au hata kama atawaingizia fedha kiasi gani kwenye Account zao Watanzania wote lakini hataweza kumchafua JPM.
Never.
 
Huwa tunawaambia hapa, the two best presidents of our country ni:
• Mwl Julius Kambarage Nyerere (Baba wa Taifa)
• Mwl John Pombe Magufuli (Baba wa Uchumi)
 
Hakuna anayeweza kumchafua JPM. Hata kama atawanunulia Watanzania Bia wanywaji wote Tanzania nzima au hata kama atawaingizia fedha kiasi gani kwenye Account zao Watanzania wote lakini hataweza kumchafua JPM.
Never.
Uko sahihi
 
Yani ile takataka inauzwa elfu 80?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Acheni masihara jamani
 
Ila mnampenda sana Marehemu. Yule jamaa angewageuza marehemu kama Mchungaji Mackenzie.

Natafuta kile kitabu nikisome, ule upembuzi uliopoatiwa hapa jukwaani ulikua murua sana.
Kilichozungumzwa mle ni facts tupu kwa ile session Moja TU niliyosoma
 

Attachments

  • Magufuli.jpg
    133.3 KB · Views: 3
NAPE na genge lake
 
Dadeki
 
Magufuli alikuwa mpumbavu anayesifiwa na wapumbavu. Sijawahi hata kuyaona hayo yanayoitwa madawq ya kulevya. Sijawahi kufika hapo panapoitwa ufipa,sina vyeti feki wala sili rushwa na siyo fisadi ila nasema Magufuli alikuwa mfano wa kiongozi mbaya
Tutajie kiongozi mzuri kuliko wote kwa Tanzania
 
Magufuli alipendwa na anasifiwa na
Watu wasiomjua tangu akiwa naibu wqzir na wazir hata akaja kuwa raisi walikuwa hawamjui kwakuwa amaa hawakuwa wanafuatilia au hawakuwa na access ya magazeti, simu na bundles.
Acha ujumuishi we mbwiga
 
Kwenye hicho kitabu ni vitu gani alivyoeleza Ansbert Ngurumo ambavyo wewe unaona kama amechafuliwa? Ebu vitaje japo vitano tu halafu wana JF waone kweli amechafuliwa au lah......Usipoviweka itaonyesha kwamba aliyoeleza Ansert ni sahihi.
 
Yani ile takataka inauzwa elfu 80?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Acheni masihara jamani
Ndio maana hamuuziwi nyie makapuku kile kinasomwa na academicians na political class so wakipata wateja elfu 5 tu ni zaidi ya million 40!
 
Kwani wewe ndiye publisher?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…