Mauzo ya kitabu cha kumchafua Hayati Magufuli yadoda

wewe unasema tangu Tanzania iundwe, wewe uliwahi kuwasikia mumiani, na walikuwa awamu gani?
Ahadi kumi za Mwana TANU zinasemaje?Au kosa langu ni kuamini na kukariri ahadi kumi za Mwana TANU pamoja na misingi Azimio la Arusha?Mungu atusimamie katika hili.
 
Kama unayajua yote haya usingesema yule alikuwa muuaji mkubwa kuliko wote waliowahi kutawala
 
Hachafuliwi alijichafua kwa kujinyea kwenye suruali aliyokua amevaa
Lete ushahidi kwamba alijinyea kwenye suruali.Wewe most likely alikunaswa na uovu,na yumkini ulifoji cheti.Sasa ulitaka uachwe huku ukiwa umefanya kosa la jinai na umeiibia Serikali.Chekeni na Serikali uchwara,sio ya Mwamba Marehemu JPM.
 
Lete ushahidi kwamba alijinyea kwenye suruali.Wewe most likely alikunaswa na uovu,na yumkini ulifoji cheti.Sasa ulitaka uachwe huku ukiwa umefanya kids la jinsi na umeiibia Serikali.Chekeni na Serikali uchwara,sio ya Mwamba Marehemu JPM.
Kwa moto anayeamini katika Ahadi kumi za Mwana TANU na misingi ya Azimio la Arusha hawezi msifia mwendazake.
 
Ahadi kumi(10) za Mwana TANU hizi hapa,nionyeshe aliyovunja,at most he excelled.

1.Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja.

2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote

3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.

4. Rushwa ni adui wa haki. Sitapokea wala kutoa rushwa.

5. Cheo ni dhamana. Sitakitumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.

6. Nitajielimisha kwa kadiri ya uwezo wangu na kutumia elimu yangu kwa faida ya wote.

7. Nitashirikiana na wenzangu wote kuijenga nchi yetu.

8. Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko.

9. Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa TANU na raia mwema wa Tanganyika na Afrika.

10. Nitakuwa mtiifu na mwaminifu kwa Rais wa Serikali ya Tanganyika.
 
Zote hakuna hata moja aliyoitekeleza.
 
Una chuki binafsi na yeye.Zote ametekeleza.Wewe lazima aliku-nasa kwenye anga zake,na most likely ulifoji cheti au ulikuwa fisadi of some kind.
Hamna shida naishi na Cheti changu cha kufoji lakini mimi siyo Makonda na Musiba mawakala wa mwendazake.
 
Kama ulifoji cheti,na unaamini Makonda na Musiba ni waovu,huna tofauti nao,mbona ninyi nyote ni waovu tu.
 
Wewe mpumbavu nini nifoji vyeti kwa sababu ya kupingana na mitazamo ya Magufuri?Kama una imani na Magufuri ni wewe mburura mfoji vyeti.Wote wanaomshabikia Magufuri ni wale vilaza wasio na kazi au wenye kazi ambao waliajiriwa kwa misingi ya kiwizi wizi na wanalindwa na mfumo wa kipumbavu aliouanzisha Magufuri.Mtu mwenye akili yake timamu aliyekalia dawati vizuri hawezi tetereka na ujinga wa Magufuri.Ona asilimia kubwa ya wateule wake ni wale ambao hawakujitambua,mimi nampongeza sana Membe kwa kutumia vizuri elimu yake.Na wanafunzi wengi waliosoma kipindi chake huyo mfoji udokta ni tatizo siku za mbeleni maana wamesoma kipindi ambacho ujinga nchini ulishamiri 100%.
 
Dah,umegeuza kibao mara hii.Wewe si ulikubali ulifoji vyeti.Hebu nikuulize mkuu,forgery ni kosa la jinsi kufuatana na Sheria zetu au sio?

Anyway ninavyojua mimi Magufuli alisimamia Sheria za nchi,na ndio maana mafisadi,wezi na wafojivyeti ,wauza ngada nk.walimchukia sana.Mwananchi wa kawaida na watu wanaopenda haki ni kweli walimpenda sana Magufuli,kwa sababu walimuona kama mkombozi was Wananchi maskini kutoka kwenye umaskini uliosababishwa na mafisadi,wezi wa mali za umma nk.

Kwa mantiki hiyo sina shaka yeyote kwamba wewe ni mtu usiyependa haki,na yumkini ni fisadi au mwizi wa mali za umma.
 
Sio kila kitabu nichakuuza, vingine vipo kwa ajili ya kufikisha ujumbe au taarifa kwa walengwa. Kwa sababu maandishi yataishi muda mrefu, kwa hiyo wewe unayadharau sasa, ila yatasomwa miaka mingi ijayo.
Tumia vizuri akili yake kureason. Miaka mingi ijayo unayoisema legasy ya Magufuli ndipo itaonekana wazi kabisa kwa kuwa yale yote aliyoyaanzisha yatakuwa yamekamilika na kufanya kazi. Sgr itakuwa imeshafika mpaka DRC, mabarabara, mahospitali, vituo vya afya, jnhpp pia itakuwa inatema umeme usiku na mchana. Ni mjinga gani ataamini hizo stori za kutunga za wandishi wa buza?
 
Imethibitika Sasa rasmi kwamba kijitabu kinachoitwa I'm the State kilichoandaliwa na mafisadi kwa ajili ya kumchafua Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli na legacy yake mauzo yake yamedoda mtaani baada ya kupuuzwa na Watanzania.

Hao waandishi uchwara walishaonywa mara nyingi kwamba hamna nguvu wa pesa itakayomchafua Magufuli, Watanzania siyo vilaza kama watu wa ufipa walivyo wanajua yupi ni kondoo na yupi ni mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo.

Hao waandishi vilaza wanajua fika legacy ya Magufuli ipo kila mahali, baharini na nchi kavu, angani na aridhini, bungeni na serikalini na inaendelea kwa kasi ya ajabu.
Umesahau kujazia nya pia tunajua ni yupi ni nyumbu
 
Sio kila kitabu nichakuuza, vingine vipo kwa ajili ya kufikisha ujumbe au taarifa kwa walengwa. Kwa sababu maandishi yataishi muda mrefu, kwa hiyo wewe unayadharau sasa, ila yatasomwa miaka mingi ijayo.
Sasa mtu atajuaje kontent bila kusoma mangi
 
Imethibitika Sasa rasmi kwamba kijitabu kinachoitwa I'm the State kilichoandaliwa na mafisadi kwa ajili ya kumchafua Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli na legacy yake mauzo yake yamedoda mtaani baada ya kupuuzwa na Watanzania.

Hao waandishi uchwara walishaonywa mara nyingi kwamba hamna nguvu wa pesa itakayomchafua Magufuli, Watanzania siyo vilaza kama watu wa ufipa walivyo wanajua yupi ni kondoo na yupi ni mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo.

Hao waandishi vilaza wanajua fika legacy ya Magufuli ipo kila mahali, baharini na nchi kavu, angani na aridhini, bungeni na serikalini na inaendelea kwa kasi ya ajabu.
Utambue mtu huambiwa kilealicho kifanya wewe unaita kumchafua nikweli ,kwanza alikuwa anauwa elimu kabisa watu wanapo somabila kupata ajira elimu ilionekana nifashion tu kachukua Mali zawatu wengi tu kimabavu sasa wakiandika hizo sifa zamatendoyake wewe unaitakumchafua kwakweli hukukinatakiwa hata kopi lakimoja zitaisha tumsome dikteta magu
 
Imethibitika Sasa rasmi kwamba kijitabu kinachoitwa I'm the State kilichoandaliwa na mafisadi kwa ajili ya kumchafua Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli na legacy yake mauzo yake yamedoda mtaani baada ya kupuuzwa na Watanzania.

Hao waandishi uchwara walishaonywa mara nyingi kwamba hamna nguvu wa pesa itakayomchafua Magufuli, Watanzania siyo vilaza kama watu wa ufipa walivyo wanajua yupi ni kondoo na yupi ni mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo.

Hao waandishi vilaza wanajua fika legacy ya Magufuli ipo kila mahali, baharini na nchi kavu, angani na aridhini, bungeni na serikalini na inaendelea kwa kasi ya ajabu.
Bila ushahidi wa picha ya vitabu vikiwa vimejaa Bookshop bila kununuliwa, hiki ulichoandika kinabakia ni PUMBA tupu. Peeka pumba hizi wakale nguruwe au ndugu zako.

Weka ushahidi please
 
Back
Top Bottom