Mavazi ya kikahaba yanikosesha kupata mume

Shouger: Navaa suruali, skirt fupi, gauni za kuni shape, skirt ndefu, leggings, nikaambiwa nivue hayo mavazi ni ya kikahaba
Basi kama ni hivyo kuna makahaba wengi sana ambao hawajijui. Shoga ako ana shida nyingine hata sio hiyo ya mavazi. Huyo mchungaji muongo hana analolijuaπŸ˜•
 
wazazi wangu walishakufa! niletee wako nikawaangalie!
 
Basi kama ni hivyo kuna makahaba wengi sana ambao hawajijui. Shoga ako ana shida nyingine hata sio hiyo ya mavazi. Huyo mchungaji muongo hana analolijuaπŸ˜•
meona ee?
 
wazazi wangu walishakufa! niletee wako nikawaangalie!
Basi ni tatizo hakuna wakubwa .

Nature ya binadamu na tabia ni automatically ntakupa mfano mmoja tu hayo mavazi yenu ni nadra sana kumkuta mtu mzima kavaa Kwa vile amerudi katika asili yake .
 
Mbona mimi nikiangalia picha za wazee wangu naona zamani mapigo yao skirt ni juu ya magoti. Mambo mengi saiv ni marudio tu hamna cha nini wala nini. Sema sio ufupi wa kupitiliza mpaka pichu ionekane. Lakini vimini vilikuwepo tangu enzi
 
Basi ni tatizo hakuna wakubwa .

Nature ya binadamu na tabia ni automatically ntakupa mfano mmoja tu hayo mavazi yenu ni nadra sana kumkuta mtu mzima kavaa Kwa vile amerudi katika asili yake .
KASOMEHADITHI NAONA HAUNIJENGI, ACHA NIKUJENGE WEWE!
 
Mbona mimi nikiangalia picha za wazee wangu naona zamani mapigo yao skirt ni juu ya magoti. Mambo mengi saiv ni marudio tu hamna cha nini wala nini. Sema sio ufupi wa kupitiliza mpaka pichu ionekane. Lakini vimini vilikuwepo tangu enzi
Hawa malugha lugha sijui wametokea wapi asee sijui kolomije au kishumundu, woi
njoo tusome hadithi sie
 
Mbona mimi nikiangalia picha za wazee wangu naona zamani mmapig yao skirt ni juu ya magoti. Mambo mengi saiv ni marudio tu hamna cha nini wala nini. Sema sio ufupi wa kupitiliza mpaka pichu ionekane. Lakini vimini vilikuwepo tangu enzi
Wazazi walikuwa Bado na utoto kaangalie picha wakiwa miaka 50 na kitu uone ....

Uhalisia wa binadamu anajua asili yake na kuwa karibu na Mungu akiwa mdogo sana kabla ya baleghe na anapokuwa mtu mzima yaani uzee,ujana ni maji ya moto utafanya kila jambo baya na zuri ila fainal uzeeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…