Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #81
kweliMaombi works kimiujiza, angepata guilty mwenyewe, labda moyo ungejisikia tu abadilike, sio unamwombea mtu halafu unaanza muangaisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweliMaombi works kimiujiza, angepata guilty mwenyewe, labda moyo ungejisikia tu abadilike, sio unamwombea mtu halafu unaanza muangaisha
Basi kama ni hivyo kuna makahaba wengi sana ambao hawajijui. Shoga ako ana shida nyingine hata sio hiyo ya mavazi. Huyo mchungaji muongo hana analolijua😕Shouger: Navaa suruali, skirt fupi, gauni za kuni shape, skirt ndefu, leggings, nikaambiwa nivue hayo mavazi ni ya kikahaba
wazazi wangu walishakufa! niletee wako nikawaangalie!Bado una utoto sana kaangalie wazazi wako wanavaaje kwanza.
Hayo mavazi Kwa kutumia akili tu huwezi kuvaa .
Wiki iliyopita tulienda kuzika tulikuwepo mpaka kweny ibada Kwa vile ni mfanyakazi mwenzetu, watu wa dini zote .
Ninachoshangaa wadada kama wote wamevaa hayo mavazi yao ila wanajihstukia mara wafunge kanga miguuni mara hivi ,yaani hawapo comfortable kabisa na wametoka kwao hivyo hivyo ...Sasa yote hayo ya nn?
ahahahaha, naweka mpya yaishe ila uje kanisani kule nakuita upate mchumbaMimi langu ni moja tu Money Penny, naomba urudishe avatar tuliyoizoea. Asante
meona ee?Basi kama ni hivyo kuna makahaba wengi sana ambao hawajijui. Shoga ako ana shida nyingine hata sio hiyo ya mavazi. Huyo mchungaji muongo hana analolijua😕
Basi ni tatizo hakuna wakubwa .wazazi wangu walishakufa! niletee wako nikawaangalie!
Mbona mimi nikiangalia picha za wazee wangu naona zamani mapigo yao skirt ni juu ya magoti. Mambo mengi saiv ni marudio tu hamna cha nini wala nini. Sema sio ufupi wa kupitiliza mpaka pichu ionekane. Lakini vimini vilikuwepo tangu enziBado una utoto sana kaangalie wazazi wako wanavaaje kwanza.
Hayo mavazi Kwa kutumia akili tu huwezi kuvaa .
Wiki iliyopita tulienda kuzika tulikuwepo mpaka kweny ibada Kwa vile ni mfanyakazi mwenzetu, watu wa dini zote .
Ninachoshangaa wadada kama wote wamevaa hayo mavazi yao ila wanajihstukia mara wafunge kanga miguuni mara hivi ,yaani hawapo comfortable kabisa na wametoka kwao hivyo hivyo ...Sasa yote hayo ya nn?
KASOMEHADITHI NAONA HAUNIJENGI, ACHA NIKUJENGE WEWE!Basi ni tatizo hakuna wakubwa .
Nature ya binadamu na tabia ni automatically ntakupa mfano mmoja tu hayo mavazi yenu ni nadra sana kumkuta mtu mzima kavaa Kwa vile amerudi katika asili yake .
Hawa malugha lugha sijui wametokea wapi asee sijui kolomije au kishumundu, woiMbona mimi nikiangalia picha za wazee wangu naona zamani mapigo yao skirt ni juu ya magoti. Mambo mengi saiv ni marudio tu hamna cha nini wala nini. Sema sio ufupi wa kupitiliza mpaka pichu ionekane. Lakini vimini vilikuwepo tangu enzi
Wazazi walikuwa Bado na utoto kaangalie picha wakiwa miaka 50 na kitu uone ....Mbona mimi nikiangalia picha za wazee wangu naona zamani mmapig yao skirt ni juu ya magoti. Mambo mengi saiv ni marudio tu hamna cha nini wala nini. Sema sio ufupi wa kupitiliza mpaka pichu ionekane. Lakini vimini vilikuwepo tangu enzi
Mimi nijengwe na kahaba?KASOMEHADITHI NAONA HAUNIJENGI, ACHA NIKUJENGE WEWE!
tupo kwenye hadithi unatuvuruga bwanaMimi nijengwe na kahaba?
😅😅😅Achana na hayo mavazi mdada ipo siku utakuja kujua ulikuwa ni utoto.tupo kwenye hadithi unatuvuruga bwana
nina miaka 66, nayavaa ma legging kama yote utoto upi?😅😅😅Achana na hayo mavazi mdada ipo siku utakuja kujua ulikuwa ni utoto.
Yaani magoti ya kufinyaa ndo uweke hiyo miguu kama mihogo nje 😁😁.nina miaka 66, nayavaa ma legging kama yote utoto upi?
nani aambiwe?Mwambie asichanganye dawa kila ugonjwa na dawa yake....
Yeye anaamini nn?
weka picha ya miguu ya mama yako tulinganishe kwanza!Yaani magoti ya kufinyaa ndo uweke hiyo miguu kama mihogo nje 😁😁.
Toa uongo wako hapa bado mtoto sana .!!
Haahaa mke weeeeee usiniambie!!!ahahahaha, naweka mpya yaishe ila uje kanisani kule nakuita upate mchumba
Nilishaacha kukaa na mama kitambo ila kama kweli ni mbibi yaani hauna mvuto zaidi na hauna miguu ya kuonyesha.weka picha ya miguu ya mama yako tulinganishe kwanza!
Huwezi Vaa kihuni Kama wewe sio muhunisio kweli!