FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kuiona pepo lazima ufe, na Yesu hapo anasema "...makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika..." Nini maana yake?Wewe Bibi acha kupotosha ,unaqoute kimstari kimoja bila kujua context nzima ya hiyo hoja ya makahaba na watoza ushuru ,yesu alikuwa anazungumza kwa mifano ,hao makahaba na watoza ushuru waliotubu na kuamini wataiona pepo! Ina maana kwenye dini yenu islam watenda dhambi wakija kutubu Mungu hawasamehi?
Toba ndiyo msingi mkuu wa dini, na toba ya Kiislam si lazima imwagwe damu ya mtu kumfanya laana.
Toba Kiislam ni moja kwa moja, Mja na Muumba wake, hakuna dalali.