Baba ndiye kapenda soote tuzaraulike sio nyie peke yenu askari, poleni askari poleniMkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amezua utata wa mavazi aliyovaa wakati akipewa heshima ya jeshi la polisi (saluti) wengi wakisema ni kama dharau kwa askari, Maofisa na Jeshi hilo la polisi...
Akishindwa kuzaa au kuzaliwa huyo sio MunguIla M/MUNGU kweli hakuzaa Wala hakuzaliwa.
Imani zimegongana kikumbo.Akishindwa kuzaa au kuzaliwa huyo sio Mungu
Mungu inatakiwa aweze mambo yote
Akishindwa kuzaa au kuzaliwa huyo sio Mungu
Mungu inatakiwa aweze mambo yote
Mavazi haya ni ya kihuni kabisa. Halafu polisi bila aibu mnapiga salute??! Shabashi!!!
Ama kweli tulipigwa!
.View attachment 1967342
We ndo wale waamini majiniIla M/MUNGU kweli hakuzaa Wala hakuzaliwa.
We ndo wale waamini majini
Ndio mie mkuu wao.We ndo wale waamini majini
How to make money in internet? SorryWe ndo wale waamini majini
Bashite BoyMavazi haya ni ya kihuni kabisa. Halafu polisi bila aibu mnapiga salute??! Shabashi!!!
Ama kweli tulipigwa!
.View attachment 1967342
Kuna makamanda hapo nyakati hizi wanatamani bashite aingie kwenye 18 zao awalipe zile saluti walizokua wakimpigiaMavazi haya ni ya kihuni kabisa. Halafu polisi bila aibu mnapiga salute??! Shabashi!!!
Ama kweli tulipigwa!
.View attachment 1967342
Ndumba zimexpireBashite mtu mbad alikuwa anawajambisha kina Mpango na Chongolo ila leo wamekuwa bosi zake.
Kuna wabunge aliwapiga marufuku kukanyaga Dar akiwemo Aeshi yule wa Sumbawanga.