Mavazi ya RC Makonda yazua utata akipokea salamu ya kijeshi

Ndiyo maana Magu katamka hadharani wendawazimu ndiyo wa kuwapa madaraka na hapa anapaswa kufahamu fika Bashite kamdharirisha yeye kama amiri jeshi mkuu. Alichokifanya Bashite ni kwenda pale kuwadharirisha Polisi ili Picha hii aitumie dhidi ya Watu anaotarajia kuwafanyia ubaya. Hawa Askari walio Pembeni inaonekana hawaamini anachokifanya mwenzao kwa kumpigia Salute Mtu anayeonekana kama muhuni wa mtaani. Aiseeee sijawahai kuona Viongozi wasio na adabu kwenye ulimwengu huu kama hawa baadhi tulionao hapa kwetu
 
Kwanza mkuu upo mkoa gani au kijiji gani,me too niko mbali kinoma BUT video nimeiona ya ao unowasemea roho zao wakiwa wanakimbizana kugonga cheers na rc,by the way wote hatujui why kavaa vile,kwa wakivyorukaruka bora alivyovaa hivyo,suti isingefaa.
 
Si tuliambiwa jeans haziruhusiwi kwenye ofisi na sehemu za hadhi?
 
ma dc na ma rc sijui wanavaaje, wengine kama wale wanafunzi wa chuo wenye vibegi mgongoni
 
hayo mengine tuyaache ila mimi nimeona hilo carpet daah! job true true
 
Ulitaka na yeye avae nguo za kijeshi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…