Mavazi ya RC Makonda yazua utata akipokea salamu ya kijeshi

Ni Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi ya Mkoa wana mpa heshima yake ila nadhani semina elekezi kwa wateule ni muhimu sana
 
Haaa kwa hiyo alitakiwa avae gwanda eeeeeh!......mwacheni bana
 
WANAUME WA DAR MMESHATIA AIBU.....SASA TENA POLISI WA DAR NI UOZA MTUPU!
AMIR JESHI MKUU WA MAJESHI ANALIONAJE HILI?
KWELI VICHAA WAPO WENGI MKOANI DAR HASA POLISI WETU!
 
Kapeti limechoka mbaya ahh ahhh ahh
 
Polisi mko juu!! Hiyo carpet kwenye hiyo platform!! Haaaaaaaah, mmetisha!!
 

HAWA MAKAMANDA WETU WAKATI MWINGINE WANAJISHUSHA HADHI NA KUJIDHALILISHA WENYEWE. SIJUI KWA NINI. NAONA NDIO YALIKUWA MAANDALIZI YA KUMNYAKUA NA KUMSHANGILIA KWA KUMBEBA MZOBE MZOBE. SIPATI PICHA KAMA HAO ASKARI WANGEMBEBA NA KUMSHANGILIA SUGU. WANGEFUTWA KAZI WOTE. ILA HAWA WALIOMBEBA BASHITE WANAWEZA KUPANDISHWA HATA CHEO. BADO ZAMU YA MNYETI NA YULE WA MTWARA KUBEBWA. NAFIKIRI NA YULE WA MBEYA. WANASHINDWA KUMBEBA RC MTAKA WANABEBA MAKONTENA.
 
Wote, makonda na hao njagu ni hamnazo! Kwani hujaona midume wazima tena askari wakifanya mambo ya ajabu ajabu kwa kunyweshana so
 
Jamaa walivyomnyanyua juu kiunoni imeonekana Manati ya Mzungu,licha ya ulinzi wote ule lakini Bado anatembea na manati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…