Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
nakubaliana nawe rafiki.... Mune ana mchango wake kwenye mavazi ya mkewe.
Kama mume anapenda hivyo na zinakupendeza hakuna neno, sasa kama mume ananunua robo tatu ya kabati lako na ukiangalia ndo vigauni kama hivyo nilivyoweka hapo juu, kesho hata mimi nikienda kununua nguo nitanunua ya design hiyo, maana naona ndio anazozipenda na vile vile hainivunjii heshima mimi wala yeye
Huo ndo uhalisia dadaaa.Yaani ni maajabu, unakuta mkaka yuko so attracted na wewe kwenye charang, blose ya heshima, and he finds you sexy! Sasa kwa sie tuliozoea kuonesha ngozi unajistukia stukia like what is so attractive here? Uaangaza angaza mwilini mwako mara kadhaa! Ila ndo hivo tena! More is preferrefed to less!
ha haaa, usifikiri ukiwa dada mkubwa basi na fashion pembeni, no way mdogo wangu......My dada kumbe na wewe ni fashionista lol!!!!!!!
nimependa hizo dress ulizoweka you look SIMPLE but ELEGANT!!!!!
me I like those kind of cloth...zinanifanya nione kuwa nimeutendea haki mwili wangu!
yaani umeshanitesa sana best.... hujui tu!
haya kama una-enjoy kutesa mabest zako poa tu.
Au inabidi niapply ufeki, lol! mambo ya kuwa true haya hayafai kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
salama lakini best? snowhite alikuwa anakutafuta....
umeshapunguza kilo ngapi?
Mi mwanamke akivaa kimini natamani kumjigijii japo usiku mmoja tu na akivaa kiheshima huwa natamani kama nikipata mke anayevaa namna hiyo.
Yaani ni maajabu, unakuta mkaka yuko so attracted na wewe kwenye charang, blose ya heshima, and he finds you sexy! Sasa kwa sie tuliozoea kuonesha ngozi unajistukia stukia like what is so attractive here? Uaangaza angaza mwilini mwako mara kadhaa! Ila ndo hivo tena! More is preferrefed to less!