Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
nakubaliana nawe rafiki.... Mune ana mchango wake kwenye mavazi ya mkewe.
Kama mume anapenda hivyo na zinakupendeza hakuna neno, sasa kama mume ananunua robo tatu ya kabati lako na ukiangalia ndo vigauni kama hivyo nilivyoweka hapo juu, kesho hata mimi nikienda kununua nguo nitanunua ya design hiyo, maana naona ndio anazozipenda na vile vile hainivunjii heshima mimi wala yeye
My dada kumbe na wewe ni fashionista lol!!!!!!!
nimependa hizo dress ulizoweka you look SIMPLE but ELEGANT!!!!!
me I like those kind of cloth...zinanifanya nione kuwa nimeutendea haki mwili wangu!