Mavazi ya staha/kujistiri/kishamba yanakubalika na wanaume kuliko wadada tunavozania!!

Mavazi ya staha/kujistiri/kishamba yanakubalika na wanaume kuliko wadada tunavozania!!

nakubaliana nawe rafiki.... Mune ana mchango wake kwenye mavazi ya mkewe.
Kama mume anapenda hivyo na zinakupendeza hakuna neno, sasa kama mume ananunua robo tatu ya kabati lako na ukiangalia ndo vigauni kama hivyo nilivyoweka hapo juu, kesho hata mimi nikienda kununua nguo nitanunua ya design hiyo, maana naona ndio anazozipenda na vile vile hainivunjii heshima mimi wala yeye

My dada kumbe na wewe ni fashionista lol!!!!!!!

nimependa hizo dress ulizoweka you look SIMPLE but ELEGANT!!!!!

me I like those kind of cloth...zinanifanya nione kuwa nimeutendea haki mwili wangu!
 
Yaani ni maajabu, unakuta mkaka yuko so attracted na wewe kwenye charang, blose ya heshima, and he finds you sexy! Sasa kwa sie tuliozoea kuonesha ngozi unajistukia stukia like what is so attractive here? Uaangaza angaza mwilini mwako mara kadhaa! Ila ndo hivo tena! More is preferrefed to less!
Huo ndo uhalisia dadaaa.
Mi nimefurahi tu kwa ugunduzi wako.
 
My dada kumbe na wewe ni fashionista lol!!!!!!!

nimependa hizo dress ulizoweka you look SIMPLE but ELEGANT!!!!!

me I like those kind of cloth...zinanifanya nione kuwa nimeutendea haki mwili wangu!
ha haaa, usifikiri ukiwa dada mkubwa basi na fashion pembeni, no way mdogo wangu......
na shem ndo anazidi kunifanya niwe fashenista, maana full kukagua umevaa nini.
yaani ukiingia kwa kabati langu ni vigauni tuuuuuuuuu, na jotro la dar ndo usiseme.
na wewe utakapofikia kuwa kama mimi bado uvae hivyo hivyo.
siyo umepata mtoto mmoja tu basi kwisha habari yako, lol!
 
Mi mwanamke akivaa kimini natamani kumjigijii japo usiku mmoja tu na akivaa kiheshima huwa natamani kama nikipata mke anayevaa namna hiyo.
 
Wanaojisitiri na hijab siku zote hunimaliza na kunisuuza roho yangu
 
ha ha ha; ndio niko hivyo tu. Sometimes na-imagine nikiwa macho.

Huyu Snowhite nilimuona jana.

yaani umeshanitesa sana best.... hujui tu!
haya kama una-enjoy kutesa mabest zako poa tu.
Au inabidi niapply ufeki, lol! mambo ya kuwa true haya hayafai kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
salama lakini best? snowhite alikuwa anakutafuta....
umeshapunguza kilo ngapi?
 
Last edited by a moderator:
shikamoo Paw.

Cc KING-asti

Report Abuse inafanya kazi si masikharaa ujue! Umeona ame edit thread yangu na kuutoa u . com wote! Hahahahaaaaa! Nimebakia nacheka tu! MWAKA HUU HATA KWA BAKORA TUTAPELEKWA!!!!!!!! Ukikaidi ni Mikwaju 12 na kuongezewa Bakora 20! LOL! Lazima jamvi litakate hili!
 
Utamu wa mwanamke akiwa na Nguo zake!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mi mwanamke akivaa kimini natamani kumjigijii japo usiku mmoja tu na akivaa kiheshima huwa natamani kama nikipata mke anayevaa namna hiyo.

Ahsante. Umewakilisha wengi na si mawazo yako tu.

Na ningeomba pia 'KE wajifunze kutokea hapa. Inabidi ujiheshimu ktk kuvaa na unapokuwa na mtoko maalum tupia vitu ile kitu roho inapenda. Mw'ke huwa anapewa great respect anapovaa kimitego (short or bared clothes) 'if and only if' she's accompanied by a man! Coz inamaanisha (even if it z not real) amevaa ili kuvuta hisia kwa alie nae (ME) na si mwinginewe. Kwa wahudhuriaji wa club wanajua kati ya wadandiaji na wanaoenda na partener wao. (sorry)
 
Mwili wa mwanamke umeumbwa kutamanisha na baadhi ya mavazi ni kichocheo kizuri cha kupata attention.Ila kwa kweli mwanamke akijistiri heshima yake atapewa!!Najisikia huru nikivaa nguo ya heshima sio saa zote unajishtukizia isije kuwa blauzi imesogea nyuma wakati unaninama au surual imeacha uwazi pichu inaonekana..Hivo vimini ndo usiseme saa zote unajicheki kama hakijapanda juu,hivo vigauni vifupi vya mwamvuli ukija upepo uwiii unanufaisha wengi mbona, maana kila kitu hadharani....
 
Ndio maana kila siku nakwambia we bado unakua halafu unabisha.
 
Jamani, naisikia hii mada ikizungumzwa sasa hivi Clouds fm na Diva (Loveness Love).

Kwani Lara! ndo Loveness au!?
 
Mwanamke na nguo ndefu unamfeel kwenye heart lakini mwenye fupi da una mfeel kwenye blood muscles.
 
Ukweli Mtupu Lara 1, mavazi ya kujisitiri ndio mwake siku hizi hasa mbele ya macho ya watu!ila uwapo ndani ya nyumba na muzee,full kujiachia kimavazi ni muhimu!
 
One thing women should understand is that in whatever package a woman comes in, a man will always accept her. Issue hapa ni baada ya kukupokea, atakuthamini vipi? Ukivaa mavazi ya heshima (debatable) unakuwa umeshapata kama 70% ya point… ukiongeza ni viji-aibu vya hapa na pale na kujifanya submissive kidogo, you'll get anything from any man. Ukija kama umetoka club much more, unaanza na negative points which mean utakuwa na kazi ya ziada kutoka hapo.
 
Yaani ni maajabu, unakuta mkaka yuko so attracted na wewe kwenye charang, blose ya heshima, and he finds you sexy! Sasa kwa sie tuliozoea kuonesha ngozi unajistukia stukia like what is so attractive here? Uaangaza angaza mwilini mwako mara kadhaa! Ila ndo hivo tena! More is preferrefed to less!

Yawezekana kuna kaukweli hapo.
Mi mwenyewe huwa napokea sifa nyingi sana pale ninapokuwa nimevaa nguo ndefu.
Ila sometimes huwa nahisi labda kwa vile wengi hawajazoea kuniona nimetokelezea namna hiyo. . . . (mf. ninapokuwa sehemu ambayo nimezoeleka sana)
 
Back
Top Bottom