ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Ndugai, wakujiliza Lijualikali na aina zao ndio watasheheni upande wa serikali.Upande mwingine nao wakijitokeza mawakili 1000 itakuaje hapi mahakamani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugai, wakujiliza Lijualikali na aina zao ndio watasheheni upande wa serikali.Upande mwingine nao wakijitokeza mawakili 1000 itakuaje hapi mahakamani?
Sasa wakiandamana watu 1000 field force wangapi watawatawanya? Jitihada ya kuwatawanya si itavunja kanuni ya covid?"kutokakana na uwepo wa janga la corona mahakama imeruhusu jumla ya watu wasiozidi kumi na tano kutoka pande zote mbili, kuhudhulia kesi unayomkabili Mh. Mbowe, 5/8/2021" Jaji
Corona!! Corona!!! Corona!!!....... [emoji23][emoji23][emoji23]
Bila posho hakuna aliye tayariNdugai, wakujiliza Lijualikali na aina zao ndio watasheheni upande wa serikali.
Siro anatia aibu Sana nchi yetuSio kosa wala sio jambo la kisiasa kuwakilishwa na mawakili 386, kwasababu sheria za nchi zinatoa haki kwa washtakiwa wote kutetewa na mawakili mbele ya mahakama (Natural Justice - Right To Be Represented).
Ila cha ajabu CCM wataligeuza jambo hilo la Gaidi Freeman Mbowe kuwa la kisiasa zaidi, kama alivyotangulia IGP Sirro kuligeuza la kisiasa jana kwenye press na waandishi wa habari. Akaenda mbele zaidi na kumtia hatiani hata kabla mtuhumiwa Gaidi Freeman Mbowe hajafikishwa mbele ya mahakama.
Cha ajabu IGP Sirro hakuwahi kuongelea kwenye vyombo vya habari swala la viongozi wa umma kutumia vijana wake wa police kufanya uhalifu. Mfano, Paul Makonda na Ole Sabaaya walivokua wakitumia vijana wa IGP Sirro kufanya uhalifu wa kutumia silaha na risasi (Kama alivosema jana tunanunua kwa hela zetu) kuteka na ujambazi Dar Es Salaam, Arusha, Moshi na Kilimanjaro.
IGP Sirro mungu anakuona, usichokifahamu kesi ya Gaidi Freeman Mbowe umeishaivuruga kwa kuiongelea mbele ya vyombo vya habari, na mmeshaisiriba kinyesi Tanzania kwenye swala la mbowe.
Nani kakudanganya kuwa hukumu inatolewa na mtu mmoja tu?Hata ukiwa na mawakili 1000 lakini mwisho wa siku anaye toa Hukumu ni mtu mmoja tu.
ila natoa tahadhari isije ikawa ni mbinu na ujanja unao tarajiwa kutumiwa na viongozi wa Chadema kutimiza lengo lao la kuandamana ktk viwanja vya mahakama, hivyo wanajifanya kutumia kivuli eti cha mawakili 386!! eti na wengine bado wanaendelea kujiandikisha!!!
Jeshi la Polisi liwe makini na mbinu chafu yoyote itakayo pangwa, hatutegemei kama Jeshi letu litazidiwa mbinu na wahuni wachache.
Hazina itatoa wakipungukiwaBila posho hakuna aliye tayari
Hazina ipi ile ambayo inategemea tozo za miamala?Hazina itatoa wakipungukiwa
Mawakili ni kati ya watu wenye Calendar ngumu. Siyo rahisi kupata mawakili hata 100 kesho ambao hawakuwa wame block siku ya Alhmis 5/8 kwa ajili ya ku appear kwenye Mahakama zingine kuwakilisha wateja wao.Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya kisutu jijini Dar es Salaam.
Nawasalimu kwa jina la JMT.
My take; Huu utitiri wa mawakili siyo maandamano kweli?
Huna akili we kahaba. Kuna jopo la mahakimu hapo?Nani kakudanganya kuwa hukumu inatolewa na mtu mmoja tu?
Haswa ileile ya aliepanga kutoa ushahidi mbinguni, Mwigulu MadeluHazina ipi ile ambayo inategemea tozo za miamala?
Hakuna Gaidi maskini ☝🏻Wanalipwa na nani?
kwa hiyo inatolewa na mawakili 386?Nani kakudanganya kuwa hukumu inatolewa na mtu mmoja tu?
CCM kwa kesi hii mnajiaibisha saana kwa mataifa.Hata ukiwa na mawakili 1000 lakini mwisho wa siku anaye toa Hukumu ni mtu mmoja tu.
ila natoa tahadhari isije ikawa ni mbinu na
ujanja unao tarajiwa kutumiwa na viongozi
wa Chadema kutimiza lengo lao la
kuandamana ktk viwanja vya mahakama, hivyo wanajifanya kutumia kivuli eti cha mawakili 386!! eti na wengine bado wanaendelea kujiandikisha!!!
Jeshi la Polisi liwe makini na mbinu chafu yoyote itakayo pangwa, hatutegemei kama Jeshi letu litazidiwa mbinu na wahuni wachache.
Mikesha ya mbio za mwenge zina watu wasiyozidi 15!"kutokakana na uwepo wa janga la corona mahakama imeruhusu jumla ya watu wasiozidi kumi na tano kutoka pande zote mbili, kuhudhulia kesi unayomkabili Mh. Mbowe, 5/8/2021" Jaji
Corona!! Corona!!! Corona!!!....... [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa sasa Sirro anachofanya ni kuchelewesha mabadiliko kwenye cheo chake ...... anaanzisha mambo ili aachwe ayahandle mwenyewe wakati ni tactics. Wote tonajua kuwa Mbowe hata wamuweke mahabusu kwa miaka 5 bado atatoka bila hatia.Sio kosa wala sio jambo la kisiasa kuwakilishwa na mawakili 386, kwasababu sheria za nchi zinatoa haki kwa washtakiwa wote kutetewa na mawakili mbele ya mahakama (Natural Justice - Right To Be Represented).
Ila cha ajabu CCM wataligeuza jambo hilo la Gaidi Freeman Mbowe kuwa la kisiasa zaidi, kama alivyotangulia IGP Sirro kuligeuza la kisiasa jana kwenye press na waandishi wa habari. Akaenda mbele zaidi na kumtia hatiani hata kabla mtuhumiwa Gaidi Freeman Mbowe hajafikishwa mbele ya mahakama.
Cha ajabu IGP Sirro hakuwahi kuongelea kwenye vyombo vya habari swala la viongozi wa umma kutumia vijana wake wa police kufanya uhalifu. Mfano, Paul Makonda na Ole Sabaaya walivokua wakitumia vijana wa IGP Sirro kufanya uhalifu wa kutumia silaha na risasi (Kama alivosema jana tunanunua kwa hela zetu) kuteka na ujambazi Dar Es Salaam, Arusha, Moshi na Kilimanjaro.
IGP Sirro mungu anakuona, usichokifahamu kesi ya Gaidi Freeman Mbowe umeishaivuruga kwa kuiongelea mbele ya vyombo vya habari, na mmeshaisiriba kinyesi Tanzania kwenye swala la mbowe.
Hakuna shida mtuhumiwa kuwakilishwa na mawakili zaidi ya 300, Katiba na sheria za Tanzania zinaruhusu mtuhumiwa kuwakilishwa (kutetewa) mahakamani.Ni nani atakae waruhusu mawakili zaidi ya 300 kuingia mahakamani? Pia kama kweli anahusika na mashitaka waliyomfungulia basi hata wakiruhusiwa mawakili 1000 kumtetea haitosaidia. Waswahili wanasema "Siku ya kifo cha nyani miti yote huteleza"