Mawakili 386 wajitokeza kumtetea Mbowe Mahakamani 05/08/2021

Hata ukiwa na mawakili 1000 lakini mwisho wa siku anaye toa Hukumu ni mtu mmoja tu.

ila natoa tahadhari isije ikawa ni mbinu na
ujanja unao tarajiwa kutumiwa na viongozi
wa Chadema kutimiza lengo lao la
kuandamana ktk viwanja vya mahakama, hivyo wanajifanya kutumia kivuli eti cha mawakili 386!! eti na wengine bado wanaendelea kujiandikisha!!!

Jeshi la Polisi liwe makini na mbinu chafu yoyote itakayo pangwa, hatutegemei kama Jeshi letu litazidiwa mbinu na wahuni wachache.
 
"kutokakana na uwepo wa janga la corona mahakama imeruhusu jumla ya watu wasiozidi kumi na tano kutoka pande zote mbili, kuhudhulia kesi unayomkabili Mh. Mbowe, 5/8/2021" Jaji

Corona!! Corona!!! Corona!!!....... [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa wakiandamana watu 1000 field force wangapi watawatawanya? Jitihada ya kuwatawanya si itavunja kanuni ya covid?
 
Ningelipewa nafasi ya kushauri, ningeshauri “hili” la Mbowe wanachadema wa-deal nalo “kiasili” zaidi. Jiwe lisisalie juu ya jiwe kwa wote wanaohusika kumnyanyasa mwenyekiti
 
Siro anatia aibu Sana nchi yetu
 
Nani kakudanganya kuwa hukumu inatolewa na mtu mmoja tu?
 
Mawakili ni kati ya watu wenye Calendar ngumu. Siyo rahisi kupata mawakili hata 100 kesho ambao hawakuwa wame block siku ya Alhmis 5/8 kwa ajili ya ku appear kwenye Mahakama zingine kuwakilisha wateja wao.
 
kwanza Gaidi linapo pelekwa mahakamani lazima ulinzi uwe tight, hata mfagiaji hapaswi kukatisha mbele.
 
CCM kwa kesi hii mnajiaibisha saana kwa mataifa.
 
"kutokakana na uwepo wa janga la corona mahakama imeruhusu jumla ya watu wasiozidi kumi na tano kutoka pande zote mbili, kuhudhulia kesi unayomkabili Mh. Mbowe, 5/8/2021" Jaji

Corona!! Corona!!! Corona!!!....... [emoji23][emoji23][emoji23]
Mikesha ya mbio za mwenge zina watu wasiyozidi 15!
Tumia akili.
 
Kwa sasa Sirro anachofanya ni kuchelewesha mabadiliko kwenye cheo chake ...... anaanzisha mambo ili aachwe ayahandle mwenyewe wakati ni tactics. Wote tonajua kuwa Mbowe hata wamuweke mahabusu kwa miaka 5 bado atatoka bila hatia.

Wamewashindwa Uamsho halafu iwe Mbowe .... Does not make a sense!!
 
Naona Kigogo namuwashia moto Lissu! Hata hizi mambo za mawakili anaona udwanzi tu. Mtu pekee aliyeweza kupambana na Kigogo ni dogo langu Yericko mkulima maarufu wa bamia huko Mbutu [emoji23]
 
Ni nani atakae waruhusu mawakili zaidi ya 300 kuingia mahakamani? Pia kama kweli anahusika na mashitaka waliyomfungulia basi hata wakiruhusiwa mawakili 1000 kumtetea haitosaidia. Waswahili wanasema "Siku ya kifo cha nyani miti yote huteleza"
Hakuna shida mtuhumiwa kuwakilishwa na mawakili zaidi ya 300, Katiba na sheria za Tanzania zinaruhusu mtuhumiwa kuwakilishwa (kutetewa) mahakamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…