Mawakili 386 wajitokeza kumtetea Mbowe Mahakamani 05/08/2021

Na Chadema muiache mahakama ifanye kazi kwanini mnadai siyo gaidi kwani nyie ndiyo mahakama?
 
Hakuna tatizo hawa ni mawakili wasomi sidhani kama kisheria ina shida.
 
kwa hiyo inatolewa na mawakili 386?
Mawakili ni sehemu ya mahakama

Wazee wa Baraza ni sehemu ya mahakama

Marafiki wa mahakama ni sehemu ya mahakama

Jaji/ Hakimu ni sehemu ya mahakama

Wote hawa huchangia kwenye hukumu inayotolewa na mahakama.

Nenda kwa Patrobas Katambi atakupa elimu ya bure manka, hivi siyo vitu vikuuubwa kama sayansi!
 
Na bado,
hata kabla ya kuulizwa kwa nini mnaitisha press kujadili swala lililoko mahakamani, yaonekana mtakuwa msha jifia kwa kihoro (+ covid 19 delta)
 
Ni nani atakae waruhusu mawakili zaidi ya 300 kuingia mahakamani? Pia kama kweli anahusika na mashitaka waliyomfungulia basi hata wakiruhusiwa mawakili 1000 kumtetea haitosaidia. Waswahili wanasema "Siku ya kifo cha nyani miti yote huteleza"
NYANI ANAYEKUFA HAPA NI YUPI!? HII NCHI MNAIPELEKA WAPI?
 
Watu wanashindwa kuelewa kosa alilopewa MBOWE hadi kuja kupatikana kuwa HANA HATIA laabda miaka 5 au Zaidi imesha malizika na uchaguzi 2025 umesha malizika.

Na akitoka atakuwa kama wale wazee wa MWAMSHO WA ZNZ wanamsemo wao huwaga wanasema TII AMRI YA MAMLAKA aka (SERIKALI) ukiambiwa usifanye jambo hili wacha wala usishindane.
 
Nyuma ya mawakili 386 ni mamilioni ya watanzania wapenda haki.
 
Kwani huyo madam ana kibali cha Mungu kuishi.
Mwenzake minofu yote ishaoza na lile domo lake chafu limebaki udongo
 
Kwani huyo madam ana kibali cha Mungu kuishi.
Mwenzake minofu yote ishaoza na lile domo lake chafu limebaki udongo
Pale alipo Mbowe sio Amri ya Mama kama mama Pale ni order kutoka kwenye WENYE MAMLAKA aka XXM tofautisha Mwanzo na sasa mwanzo ilikuwa one man show lkn sasa ni tofauti kabisa .

Kama USA walivyo wanapo una unataka au utakuja kuwa kuwa threat kwenye MASILAHI YAO AS COUNTRY lazima wakueliminate kwa njia yoyote ile .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…