Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,285
- 4,074
Hii kesi nadhani ingekiwa imeshafutwa.
Kinachokwamisha ni kwakuwa mheshimiwa alilishwa matango pori mapema na yeye akayala bila kujiridhisha sasa wanaogopa kuifuta kwakuwa Chifu atadhalilika.
Ndio maana ziara ya Ubelgiji na ombi la Lissu linakuja kumuokoa, good timing, maana kule atakuwa kapata misaada pia kwa masharti hayo ya kufuta kesi ya kijinga. Kisiasa atakuwa kafanya vizuri sana...