Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38] Hapo namba 5 hapo ni balaa !!Mwanzoni katika kesi ya Mbowe, Kila Pingamizi la utetezi lilikuwa linagonga mwamba na vielelezo vikawa vinapokelewa “by hooks and crooks”
Utetezi ukabadili mbinu kuokoa muda wa wateja kwani walijua mapingamizi yao yangekula muda na yangetupwa.
Ikabuniwa mbinu mpya
Wanatia huruma, walisema DDP na IGP ni mashahidi, mbona wameshindwa kuwaleta mahakamani wale za chambe kutoka kwa Jopo la mawakili wasomi waandamizi wakiongozwa na MAN OF THE MATCH, WAKILI MSOMI PETER KIBATALAGhwa Kukajha, mi binafsi ndiyo maana napenda hii kesi iishie huko huko mahakamani. Wao, ndiyo watuambie, kwa USHAHIDI uliotolewa, kuna UGAIDI hapo?
Nope, tunataka kesi iendelee. Tuliyakataa maombi ya mnafiki Chakubanga Zitto, acha mahakama itende hakiwameshamalizana kesho mbowe atakuwa huru chadema wasije na ngonjera za kuwa mbowe kashinda kesi wajue kabisa lisu washayajenga na mama
Hawezi toka sasa hivi hata kama ameomba watazungusha kesi iendeleeKwa hilo, binafsi sijapenda! Napenda nishuhudie KIBUDU! Ngo'mbe kagongwa na gari, anakaribia kufa, tusimtafute MWISLAMU, kwenda kum'malizia kwa KUMCHINJA.
Kwa kesi ilipofikia, iachwe mahakama itoe hukumu kutokana na ushahidi uliotolewa. Tusiwape watu SIFA ZA BURE! Kazi na nguvu ya akina KIBATARA, isipotee bure!
Nachojua hata kama ameombwa kumwachia hawezi mwachia sasa hivi ataprove failure.kwahiyo watazungushwa weee siku zitapita.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ona sasa nimekosa kupigwa mzinga! ☹️ Haya yote yamesababishwa na yule Swilla! Amenivuruga sana mwezi huu, kiasi hata cha kusahau kama kuna Valentine!
Sio rahisiKesi ya "UGAIDI" itafutika ki rahisi?.....
Ila walishindwa kupangua ukweli kuwa Mbowe alimtumia pesa UrioMwanzoni katika kesi ya Mbowe, Kila Pingamizi la utetezi lilikuwa linagonga mwamba na vielelezo vikawa vinapokelewa “by hooks and crooks”
Utetezi ukabadili mbinu kuokoa muda wa wateja kwani walijua mapingamizi yao yangekula muda na yangetupwa.
Ikabuniwa mbinu mpya
Tulisikia pia Mh Hussein Mwinyi naye kuna muamala wakeIla walishindwa kupangua ukweli kuwa Mbowe alimtumia pesa Urio
Mwanzoni katika kesi ya Mbowe, Kila Pingamizi la utetezi lilikuwa linagonga mwamba na vielelezo vikawa vinapokelewa “by hooks and crooks”
Utetezi ukabadili mbinu kuokoa muda wa wateja kwani walijua mapingamizi yao yangekula muda na yangetupwa.
Ikabuniwa mbinu mpya
Utetezi ukawa unakubali vielelezo na ushaidi uingie mahakamani.
Wakawa wana challenge ushahidi na vielelezo kwa mlango wa nyuma wa cross examination.
Mashaidi wakapwaya na vielelezo vikapwaya mbele ya jaji watanzania wakishuhudia.
Wakabainisha blunders mbali mbali zifuatazo
1. Washtakiwa walikamatwa kabla hata jalada halijafinguliwa. Hii inamaanisha waliwakamata ndipo jitihada za kupika kesi ndio zikaanza. Inaonekana wapangaji wa hili walihamaki kuona makomandoo wakimlinda Mbowe na Lissu. Pengine mawasiliano yao yakafatiliwa yakawaongoza kwa Urio
Inaonekana Urio “akafinywa” (Haya yanathibitishwa na maelezo ya watuhumiwa katika kesi ndani ya kesi kuwa walimuona urio akipigwa kituo cha Tazara)
Baada ya kufinywa Urio akaeleza jinsi alivyowatafutia kazi lakini akalazimishwa kuwa shaidi wa Jamuhuri ili kulinda kazi yake.
Katika hali ya kupanick wapangaji wa kesi hii wakahisi inawezekana makomandoo wote waliofukuzwa kazi watakuwa wameenda kufanya kazi kwa Mbowe hivyo katika kamata kamata ndipo Komandoo MHINA akakamtwa Tabora na kina Kingai na Mahita. (Mhina alitoa ushahidi akiwa defense side)
2. Nyaraka zilikuwa zinaungwaungwa. Utetezi uliooomba Detention register ya Chang’ombe na Central kwa tarehe walizokamtwa watuhumiwa, kwa kuwa Mashtaka hawakujiandaa na hili wakafoji nyaraka kwa kubackdate ikainekana wazi lakini Jaji akaamuru daftari lipokelewe.
3. Extraction report ya Tigo inaharibu kila kitu kwani inaumbua kuwa file lilifunguliwa 2021 lakini mashtaka walifai file lilifunguliwa 2020. Ripoti ya tigo inajibu file la polisi lenye refence ya mwaka 2021. Kipengele hiki kina legal implication kubwa sana kwa faida ya defense
4. Prosecution wameshindwa kuipa kesi miguu kwa kuonyesha ni jinsi gani pesa alizotuma mbowe ziliweza kuprocure ugaidi. Pesa zinaonekana ni za nguo,chakula, nauli. Pesa nyingine upelelezi hawakusema zilitumika vipi bali ukawa unajibu ni transaction fees.
Katika hoja ya transaction fee Kibatala alikuwa na swali moja tu.
Swali: Ulimwambia mheshimiwa jaji maswala ya transaction fee?
Jibu: Sikumwambia
Swali:Katika maelezo yako kuna sehemu tutaona umeelezea hivyo?
Jibu: Sikueleza
Hapa ndipo kesi ilipokatwa mtama
5. Polisi hawakijui kitendea kazi chao PGO. Kila ilipogusiwa PGO walikuwa wanatoa macho kama wanasoma talaka.
Hawajui Fomu ya Kuzuia mali, Fomu ya Gari la polisi, Fomu ya kulebbel vizibiti, nk.
Hii kesi imanifundisha mambo mengi sana kuhusu uvccm na polisi.Lissu kamuomba Samia hiyo kesi ifutwe, wacha tusubiri majibu
Hayuko mahakamani. Pili haikuwa kweli msingi wa maneno hayo ni huu hapa chiniTulisikia pia Mh Hussein Mwinyi naye kuna muamala wake