Mawakili wa CHADEMA waghairi kuwahoji Halima Mdee na Wenzake 18

Mawakili wa CHADEMA waghairi kuwahoji Halima Mdee na Wenzake 18

Ni kitu cha ajabu sana. Lakini sitegemei kuwa hawa wamama wana furaha yeyote. Ama kweli Mwanasiasa msanii ZZK aliona mbali sana aliposema "USIMWAMINI MWANASIASA YEYOTE AWE WA CHAMA TAWALA AU WA UPINZANI"
 
CHADEMA ni matapeli, bwaana Niki wa pili chapa kazi mimi na wewe. Sina bifu, tuko pamoja hadi mwisho tuone hili lichama linakwenda na maji. Walaghai wakubwa, matapeli wakubwa.

Blah blah za maridhiano wakati wananchi hawana maji, umeme, afya duni, mfumuko wa bei halafu mijitu inakwenda kuwa sifia CCM. Wacha CCM itawale, milele shenzi zao na njaa zao wapuuz. Sana CHADEMA. Nani aliwalog lakini?
 
Ila mnafanywa wajinga kila siku. Mliletewa lowassa kwa sababu ya ujinga wenu huohuo, bahati mbaya hampati akili
Hawafanywi wajinga, hawa ni wapumbavu. Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kudeki barabara eti lowasa apite.
 
Kesi ya kina Mdee na CHADEMA leo imeingia ukurasa mpya baada ya mawakili wa CHADEMA kusema hawana tena maswali kwa akina Mdee.

Hapo siku za nyuma mawakili hawa walishangiliwa sana jinsi walivyokuwa wakipambana na kina Mdee mahakamani na wengi wakashangilia pia jinsi walivyokuwa wanawahoji maswali na wapo waliosema "tutayajua mengi"
Labda niulize, hivi maswali huwa yanaendelea tu hadi lini, kwamba hakuna siku yataisha?
 
Hao wote wanarudi CDM kabla ya 2025. Na ruzuku inayotokana na ubunge wao chama kinapokea 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.

Nawaonea huruma akina Martin, wanatumika kijinga sana, kelele nyingi wakati suprimu lida ni mfanyabiashara wa siasa.

..ruzuku haitokani na wabunge.

..na kwanini unaona wana-ccm hawatumiki kijinga?

..viongozi wa ccm ndio waliowapeleka covid-19 bungeni, na wanawalipa wabunge feki kwa kutumia kodi zetu sote, bila kujali una chama au la.

..kwanini wana-ccm wanaona fahari mambo ya hovyo yanapofanywa na viongozi wao.
 
CDM Ni matapeli bwaana Niki wa pili chapa Kaz mm na wew Sina bifu tuko pmj had mwisho tuone hili lichma linakwenda na maji walagahi wakubwa matapeli wakubwa

Blah blah za maridhiano wkt wananchi hawna maji,umeme ,afya duni mfumuko wa Bei alfu mijitu inakwenda kuwa sifia ccm ,wacha ccm itawale milelee shenzi zao na njaa zao wapuuz San CDM

Nani aliwalog lkn
wajane wa mwenda zake tunawanyoosha na mamayenu kule moshi anaenda kupikea kadi ya chadema ili 2025 tuwakomeshe kabisa wale wanywa damu za watu na wapiga risasi.
 
Hata ulambaji wake asali anaufanya kwa umakini mkubwa hadi manyumbu yameshindwa kuelewa. Nipo palee ninaangalia huu mchezo.😂
mamayenu analambisha asali kumbe ambayo ni rushwa au kwa lugha nyingine limamalenu litoa rushwa halafu mnatuambia linaupiga mwingi kwa kutoa rushwa lumumba chaliiiiii.
 
Hao wote wanarudi CDM kabla ya 2025. Na ruzuku inayotokana na ubunge wao chama kinapokea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Nawaonea huruma akina Martin, wanatumika kijinga sana, kelele nyingi wakati suprimu lida ni mfanyabiashara wa siasa.
Huna akili we Afande, Ruzuku inatokana na kura za Rais
 
Kesi ya kina Mdee na CHADEMA leo imeingia ukurasa mpya baada ya mawakili wa CHADEMA kusema hawana tena maswali kwa akina Mdee.

Hapo siku za nyuma mawakili hawa walishangiliwa sana jinsi walivyokuwa wakipambana na kina Mdee mahakamani na wengi wakashangilia pia jinsi walivyokuwa wanawahoji maswali na wapo waliosema "tutayajua mengi"

.....Ajizi nyumba ya njaa..... Leo hii wale mawakili wamenyoosha mikono juu na kusema hawana tena maswali kwao. Kwa lugha nyepesi mambo yanaenda kuisha[emoji23]

Tabu kubwa inabaki kwa washabiki waliokuwa wakisubiri kwa hamu kina mdee wadhalilike ili waandike kila aina ya andiko. Walisubiri kina mdee wateseke, wachekwe.

Wenye akili tuliwaambia mapema.

Viva Mdee, vivaaaaa

#kazi inaendeleaaaaa#
View attachment 2539139
Sasa subiri kitakachotokea
 
Uone nini?
Ulisoma shule ya kata ukaiba mitihani, ukaenda chuo cha kivukoni ukawa unashinda lumumba pale nje badala ya chuoni haya ndiyo matokeo yake.

Ulitaka chadema wawahoji maswali gani wakati wao chadema ndiyo wanalalamikiwa? pumbavu hata na wewe ni GT? shame on you inzi wa kijani wa hapo Lumumba
 
Ila mnafanywa wajinga kila siku. Mliletewa lowassa kwa sababu ya ujinga wenu huohuo, bahati mbaya hampati akili
Kwahiyo ninyi mnajiona wajanja mlivyoletewa kichaa jiwe na kulazimishwa kumchagua kuwa mgombea urais huku mkiimba wimbo mna imani na Lowasa?
 
Back
Top Bottom