Kesi ya kina Mdee na CHADEMA leo imeingia ukurasa mpya baada ya mawakili wa CHADEMA kusema hawana tena maswali kwa akina Mdee.
Hapo siku za nyuma mawakili hawa walishangiliwa sana jinsi walivyokuwa wakipambana na kina Mdee mahakamani na wengi wakashangilia pia jinsi walivyokuwa wanawahoji maswali na wapo waliosema "tutayajua mengi"
.....Ajizi nyumba ya njaa..... Leo hii wale mawakili wamenyoosha mikono juu na kusema hawana tena maswali kwao. Kwa lugha nyepesi mambo yanaenda kuisha[emoji23]
Tabu kubwa inabaki kwa washabiki waliokuwa wakisubiri kwa hamu kina mdee wadhalilike ili waandike kila aina ya andiko. Walisubiri kina mdee wateseke, wachekwe.
Wenye akili tuliwaambia mapema.
Viva Mdee, vivaaaaa
#kazi inaendeleaaaaa#
View attachment 2539139