Mawakili wa CHADEMA waghairi kuwahoji Halima Mdee na Wenzake 18

Ni kitu cha ajabu sana. Lakini sitegemei kuwa hawa wamama wana furaha yeyote. Ama kweli Mwanasiasa msanii ZZK aliona mbali sana aliposema "USIMWAMINI MWANASIASA YEYOTE AWE WA CHAMA TAWALA AU WA UPINZANI"
 
CHADEMA ni matapeli, bwaana Niki wa pili chapa kazi mimi na wewe. Sina bifu, tuko pamoja hadi mwisho tuone hili lichama linakwenda na maji. Walaghai wakubwa, matapeli wakubwa.

Blah blah za maridhiano wakati wananchi hawana maji, umeme, afya duni, mfumuko wa bei halafu mijitu inakwenda kuwa sifia CCM. Wacha CCM itawale, milele shenzi zao na njaa zao wapuuz. Sana CHADEMA. Nani aliwalog lakini?
 
Ila mnafanywa wajinga kila siku. Mliletewa lowassa kwa sababu ya ujinga wenu huohuo, bahati mbaya hampati akili
Hawafanywi wajinga, hawa ni wapumbavu. Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kudeki barabara eti lowasa apite.
 
Labda niulize, hivi maswali huwa yanaendelea tu hadi lini, kwamba hakuna siku yataisha?
 

..ruzuku haitokani na wabunge.

..na kwanini unaona wana-ccm hawatumiki kijinga?

..viongozi wa ccm ndio waliowapeleka covid-19 bungeni, na wanawalipa wabunge feki kwa kutumia kodi zetu sote, bila kujali una chama au la.

..kwanini wana-ccm wanaona fahari mambo ya hovyo yanapofanywa na viongozi wao.
 
wajane wa mwenda zake tunawanyoosha na mamayenu kule moshi anaenda kupikea kadi ya chadema ili 2025 tuwakomeshe kabisa wale wanywa damu za watu na wapiga risasi.
 
Hata ulambaji wake asali anaufanya kwa umakini mkubwa hadi manyumbu yameshindwa kuelewa. Nipo palee ninaangalia huu mchezo.πŸ˜‚
mamayenu analambisha asali kumbe ambayo ni rushwa au kwa lugha nyingine limamalenu litoa rushwa halafu mnatuambia linaupiga mwingi kwa kutoa rushwa lumumba chaliiiiii.
 
Huna akili we Afande, Ruzuku inatokana na kura za Rais
 
Sasa subiri kitakachotokea
 
Uone nini?
Ulisoma shule ya kata ukaiba mitihani, ukaenda chuo cha kivukoni ukawa unashinda lumumba pale nje badala ya chuoni haya ndiyo matokeo yake.

Ulitaka chadema wawahoji maswali gani wakati wao chadema ndiyo wanalalamikiwa? pumbavu hata na wewe ni GT? shame on you inzi wa kijani wa hapo Lumumba
 
Ila mnafanywa wajinga kila siku. Mliletewa lowassa kwa sababu ya ujinga wenu huohuo, bahati mbaya hampati akili
Kwahiyo ninyi mnajiona wajanja mlivyoletewa kichaa jiwe na kulazimishwa kumchagua kuwa mgombea urais huku mkiimba wimbo mna imani na Lowasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…