Mawakili wa CHADEMA waghairi kuwahoji Halima Mdee na Wenzake 18

Hii akili hamjawahi kuwa nayo, ndio maana mliletewa lowassa mkazungusha mikono.

Halafu huyo Lowassa yupo CCM na Mtoto wake ni mbunge. Kama Lowassa ni mbaya kamshtaki polisi sio kupiga makelele ya kufuata mkumbo.
 
Mbowe kila Mara anawafanya mazuzu. Alimleta lowassa mkashangilia, leo kabalalisha wale wa covid 19

Ndio ulichobakiza. Covid walishafukuzwa na kamattti kuu na baraza kuu, hayo mengine ni maono yako. Tusubiri maamuzi ya mahakama.
 
Na waka ambiwa wazungushe mikono kama mazinga ombwe ili mabadiliko yatokee

Mganga wao fundi aisee, wana wachezea watakavyo

Huyo Lowassa yupo CCM na mtoto wake ni mbunge, wewe endeleza unafiki tu.
 

Mbona haraka, kesi bado inaendelea.
 
Maji,Umeme wasikuletee CCM uje ulalamikie CDM nyau wewe toka hapa.
 
Ila mnafanywa wajinga kila siku. Mliletewa Lowassa kwa sababu ya ujinga wenu huohuo, bahati mbaya hampati akili
Hahaha.. Ni heri ya kuwa mjinga kuliko kuwa mpumbavu..!!Maana wapumbavu huamini kila jambo lakini wajinga kuna wakati ujinga huondoka na kupata maarifa..!!
 
Wakisha pokelewa mbwembwe zote za kuwaita Covid 19 zitaisha, mtaanza kuwaita makamanda.
Mbwembwe ni kawaida kwenye siasa za Bongo..!!Ndo maana Kuna wapumbavu waliaminishwa kwenye uchaguzi uliopita kwamba Arusha itakuwa kama California na wakapiga makofi na kushangilia..!!
 
Duuuh, pole Sana mkuu... yaani usilolijua ni kama usiku wa kiza.... Umeonyesha ni jinsi gn ulivyo maamuma kwenye hili andiko lako....

Kwa taarifa yako, Covid 19 baada ya mawakili wa chadema kughairi kuwahoji walibadirika ghafla na kuonyesha wamepaniki ...walitegemea waendelee kuhojiwa huku kesi ikipigwa karenda na wao waendelee kubakia bungeni lkn mambo yakawa tofauti kbs...sasa ni zamu ya mawakili wao kuwahoji wajumbe wa bodi ya wadhamini wa chadema kuanzia Alhamis ya tarehe 9 , wadhamini wenyewe wa chadema wako 6 tu.... Kifupi hawaamini na macho yao [emoji1][emoji23][emoji23]

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Tunaweka kumbukumbu sawa tu

Siyo kwamba akina Halima Mdee na wenzake wamesamehewa na Chadema

Bali, Bodi ya Wadhamini imeomba kutoendelea kuwahoji akina Halima Mdee kwa sababu maswali yao yote yameshajibiwa na wale waliotangulia kuhojiwa

Ashukuriwe Hawa na Jesca Kafulila kwa utetezi murua

Barikiwa sana!
 

Ndiyo Lema anatuambia bodaboda inaharibu nchi lkn sisi tunamshambulia!

Kuendelea kuwahoji akina Mdee ni kuwapa muda zaidi hadi kuja kusoma hukumu!

Akina Mdee wanajua hayo kuwa hukumu sasa itakuja mapema na wao wanatumia kila njia ichelewe ndiyo maana wao sasa wana anza kuwahoji bodi ya udhamini!

Kibatala na team yake akili mingi sana!
Hukumu isomer haraka kila mtu achukue vyake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…