Mawakili wa JF naomba tusaidiane kuikomboa JF

Ni muda mrefu sasa (yapata miezi 3) tangu kifungo cha JF kifike tamati lakini bado wahusika hawajaiachia 💯 %. Tukumbuke kuwa JF ilipigwa ban ya miezi 3 tangu September, 2025 na hiyo ban ilipaswa kuwa lifted by December 2025.

Ndugu wanaJF, an attack to JF is an attack to all JF members. Ninatumaini sote tumesononeshwa na kuhudhunishwa na kitendo hiki cha JF kuendelea kufungiwa wakati muda wa kifungo umefika tamati. Kwa mujibu wa sheria, hii sio sawa. Huu ni zaidi ya ukandamizaji wa uhuru wa habari na kujieleza. Na tunaozuiwa kujieleza ni sisi wanaJF. Kitakwinu, inaonekana bado members wengi hawajarejea humu ndani, baada ya kukatishwa tamaa na muenendo wa watu wanaopaswa kuifungulia JF lakini bado wanaendelea anazuia upatikanaji wake kwa ufasaha nchini Tanzania. Sitaki kuwachosha kwa maneno mengi. Naomba niingie kwenye mapendekezo moja kwa moja ili tujadiliane jinsi tunavyoweza kujinasua kwenye mkwamo huu. Napendekeza wanaJF tufanye yafuatayo:

1. KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI
Ijapokuwa hatujuani, nina imani humu JF kuna baadhi ya members waliobobea kwenye musuala ya sheria. Kwanini mzee Pascal Mayalla na wansheria wenzako mliomo humu msiungane kufungua kesi ya kuitetea JF isiendelee kudhalilishwa, kubagazwa na kubanangwa na hawa "watu wasiojulikana"?

2. MCHANGO WA GHARAMA ZA KESI
Wahenga wanasema "Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu". Ijapokuwa wengi wa members wa JF hatuna uwezo mkubwa wa kiuchumi, tukiamua kuungana tunaweza kufanya jambo. Kwa idadi ya members tuliomo humu, ikiwa kila mmoja atatoa angalau kima cha chini cha Tsh 2000 tu, bila shaka tutakusanya mamilioni ya shilingi ambazo zitatosha kabisa kuendesha kesi hadi ushindi upatikane. Tena hii kesi ni nyepesi sana, haitachukua muda mrefu kabala ya ushindi kupatikana.

Kipekee ninaumia kumuona mwanaJF mwenzetu, Tundu Lissu, yupo gerezani yapata mwaka sasa. Kama angekuwepo uraiani angekuwa aneishafungua kesi kuitetea JF. Hata hivyo hatuna haja kukata tamaa. Mawakili waliomo humu JF akina @Lugemalilla Nshalla mnaweza kufanya jambo kuikomboa JF kutoka kwenye makucha ya mkoloni mweusi.

3. KUHUDHURIA KESI
Pamoja na kuchangia fedha za gharama ya kesi, natoa wito kwa wanaJF mliopo Dar na ukanda wa Pwani muwe mnahudhuria mahakamani kwa wingi pindi kesi itakapoanza kuunguruma. Hii sio tu kwamba itasaidia kuongeza chachu na msukumo wa ushindi bali itasaidia kuongeza publicity ili dunia nzima ione jinsi haki zinavyokanyagwa hapo nchini Tanzania.

MAONI
Je, wanaF wengine mna maoni gani juu ya hili jambo? Ni njia gani nyingine ambazo tunaweza kutumia ili tufanikishe ukombozi haraka?

Karibuni kwa maoni na ushauri
​
JamiiForums inawalaza na viatu CCM na makada wake n machawa wao
 
Kesi ukafungulie mahakama ipi ambayo itafanya JF ishinde?

Na kwa nini wao JF wanaendelea kupost (instagram) viongozi ambao ndio wamelifungia Jukwaa hili?

Binafsi naona kujitenga na waliofanya hivi ndio hatua ya kwanza, maana sio mahakama wala chombo chochote cha ndani kinaweza kutoa haki kwenye hili.
Mkuu katika hili jambo naomba tuwe wamoja; tusinyoosheane vidole. Ijapokuwa JF imefungiwa na wakoloni weusi sio wakoloni wote wasioipenda JF. Baadhi ya wakoloni wanakerwa na kuhudhunishwa na kufungiwa huku lakini hawana la kufanya kwa sababu maelekezo ya kufungia yalitoka juu kabisa.

Hata kama mahakimu wa kikoloni huenda wakapindisha kesi, kelele za mawakili wetu zitasaidia kuchochea international community kulitupia macho suala hili.
 
Wewe unapohangaika ku access JF kwa sababu serikali yako ya kishetani imegoma kuiachia unaona sawa?
hayupo mTanzania anahangaika kuaccess JF ni jukwaa huru linalofuata misingi ya sheria na katiba ya nchi.

huna haja kuipaint JF kana kwamba yupo mtu au mamala ya nchi inayoionea platform hii muhimu na ya heshima sana Tanzania, Africa Mashariki na Africa kwa ujumla.
Uongozi makini wa JF hauhitaji msaada wa wadau wa JF au huruma katika kutetea haki zake, watumiaji wake au kuimarisha uhuru wake.
JF haina unyonge huo. Hakuna haja kuitia aibu JF na kujaribu kupoteza muda wa wana JF kuhangaika na vitu nonsense badala ya kufanya kazi halali za kujiongezea kipato na kuondokana na unyonge wa kiuchumi.

Serikali sikivu ya CCM chini ya Dr.samia suluhu hassan,
itaendelea kuimarisha na kupanua wigo wa mawasiliano nchini na kuboresha mazingira sawa, huru na ya haki kwa platforms za kijamii na watumiaji wake.

Nakusihi sana gentleman,
jiepushe na mambo yasiyo na faida wala maana yoyote kwa wadau wote wa JF. :1Head:
 
Serikali ya viongozi haramu haitaki kusikia michango ya wananchi wake waliowachagua kwa ushindi wa 98% 😹😹

Ukijaribu kuwahoji au kwenda kinyume nao wanakupeleka katavi. Sasa sijui tutajenga umoja upi wa kitaifa kama hawataki kukosolewa..!!

Mello angekuwa pamoja nao wala wasingeifungia JF. Na muhaya kagoma hataki kupelekeshwa na elimu mbalimbali 😹😹
 
Ni wazo zuri, lakini binafsi sioni kama haki inaweza patikana mahakamani bongo hii. Mahakama ni "Kanyaboya" ipo kwa ajili ya kuilinda serikali.

JF naamini itavuka pia hiki kizingiti kwa utaratibu wake ule ule wa kukaa kimya na kuiachia "karma" ifanye kazi yake. Kwenda mahakama kunaweza kukuza jambo zaidi hasa ukizingatia, anaetafutwa ni Maxence.
 
Ndugu wanaJF, an attack to JF is an attack to all JF members.
1. KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI
Ijapokuwa hatujuani, nina imani humu JF kuna baadhi ya members waliobobea kwenye musuala ya sheria. Kwanini mzee Pascal Mayalla na wansheria wenzako mliomo humu msiungane kufungua kesi ya kuitetea JF isiendelee kudhalilishwa, kubagazwa na kubanangwa na hawa "watu wasiojulikana"?
​
Japo jf ni user generated forum, lakini jf as a legal entity, its legal status, jf is a private company, sio public company, jf members hatuwezi kufungua shauri lolote mahakamani kwa niaba ya jf, unless
1. Bodi ya jf ikutane itoe board resolution to issue POA (power of attorney) kutoa mamlaka kwa jf members to institute a suit on behalf of jf.
2. JF company I issue IPO, kubadili umiliki from private company into public company kwa kuwa listed, wana jf wanunue hisa, wawe wamiliki, hapo sasa sisi wana jf, tunakuwa na legal mandate ya kufungua share lolote mahakamani kwa niaba ya jf.

A way foward
JF hivi hivi ilivyo, inaweza kufungua shauri mahakamani, na kutushirikisha as jf members kuichangia gharama za kuendesha shauri.

P
 
Ni muda mrefu sasa (yapata miezi 3) tangu kifungo cha JF kifike tamati lakini bado wahusika hawajaiachia 💯 %. Tukumbuke kuwa JF ilipigwa ban ya miezi 3 tangu September 2025 na hiyo ban ilipaswa kuwa lifted by December 2025.

Ndugu wanaJF, an attack to JF is an attack to all JF members. Ninatumaini sote tumesononeshwa na kuhudhunishwa na kitendo hiki cha JF kuendelea kufungiwa wakati muda wa kifungo umefika tamati. Kwa mujibu wa sheria, hii sio sawa. Huu ni zaidi ya ukandamizaji wa uhuru wa habari na kujieleza. Na tunaozuiwa kujieleza ni sisi wanaJF. Kitakwinu, inaonekana bado members wengi hawajarejea humu ndani, baada ya kukatishwa tamaa na muenendo wa watu wanaopaswa kuifungulia JF lakini bado wanaendelea anazuia upatikanaji wake kwa ufasaha nchini Tanzania. Sitaki kuwachosha kwa maneno mengi. Naomba niingie kwenye mapendekezo moja kwa moja ili tujadiliane jinsi tunavyoweza kujinasua kwenye mkwamo huu. Napendekeza wanaJF tufanye yafuatayo:

1. KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI
Ijapokuwa hatujuani, nina imani humu JF kuna baadhi ya members waliobobea kwenye musuala ya sheria. Kwanini mzee Pascal Mayalla na wansheria wenzako mliomo humu msiungane kufungua kesi ya kuitetea JF isiendelee kudhalilishwa, kubagazwa na kubanangwa na hawa "watu wasiojulikana"?

2. MCHANGO WA GHARAMA ZA KESI
Wahenga wanasema "Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu". Ijapokuwa wengi wa members wa JF hatuna uwezo mkubwa wa kiuchumi, tukiamua kuungana tunaweza kufanya jambo. Kwa idadi ya members tuliomo humu, ikiwa kila mmoja atatoa angalau kima cha chini cha Tsh 2000 tu, bila shaka tutakusanya mamilioni ya shilingi ambazo zitatosha kabisa kuendesha kesi hadi ushindi upatikane. Tena hii kesi ni nyepesi sana, haitachukua muda mrefu kabala ya ushindi kupatikana.

Kipekee ninaumia kumuona mwanaJF mwenzetu, Tundu Lissu, yupo gerezani yapata mwaka sasa. Kama angekuwepo uraiani angekuwa aneishafungua kesi kuitetea JF. Hata hivyo hatuna haja kukata tamaa. Mawakili waliomo humu JF akina @Lugemalilla Nshalla mnaweza kufanya jambo kuikomboa JF kutoka kwenye makucha ya mkoloni mweusi.

3. KUHUDHURIA KESI
Pamoja na kuchangia fedha za gharama ya kesi, natoa wito kwa wanaJF mliopo Dar na ukanda wa Pwani muwe mnahudhuria mahakamani kwa wingi pindi kesi itakapoanza kuunguruma. Hii sio tu kwamba itasaidia kuongeza chachu na msukumo wa ushindi bali itasaidia kuongeza publicity ili dunia nzima ione jinsi haki zinavyokanyagwa hapo nchini Tanzania.

MAONI
Je, wanaF wengine mna maoni gani juu ya hili jambo? Ni njia gani nyingine ambazo tunaweza kutumia ili tufanikishe ukombozi haraka?

Karibuni kwa maoni na ushauri
​
Acha tu jukwaa life,limekua mahala pa kupanda na kusambaza chuki za kisiasa,kidini na chuki kwa taifa
 
hayupo mTanzania anahangaika kuaccess JF ni jukwaa huru linalofuata misingi ya sheria na katiba ya nchi.

huna haja kuipaint JF kana kwamba yupo mtu au mamala ya nchi inayoionea platform hii muhimu na ya heshima sana Tanzania, Africa Mashariki na Africa kwa ujumla.
Uongozi makini wa JF hauhitaji msaada wa wadau wa JF au huruma katika kutetea haki zake, watumiaji wake au kuimarisha uhuru wake.
JF haina unyonge huo. Hakuna haja kuitia aibu JF na kujaribu kupoteza muda wa wana JF kuhangaika na vitu nonsense badala ya kufanya kazi halali za kujiongezea kipato na kuondokana na unyonge wa kiuchumi.

Serikali sikivu ya CCM chini ya Dr.samia suluhu hassan,
itaendelea kuimarisha na kupanua wigo wa mawasiliano nchini na kuboresha mazingira sawa, huru na ya haki kwa platforms za kijamii na watumiaji wake.

Nakusihi sana gentleman,
jiepushe na mambo yasiyo na faida wala maana yoyote kwa wadau wote wa JF. :1Head:
Umeandika mengi lakini hueleweki mkuu
 
Kwa mahakama za Kibongo sahau kabisa kutendewa haki, walioifungia JF ni Samia na wahuni wenzake ambao judiciary yote wanaiendesha watakavyo hivyo tambua you've a very good idea but it's a non-starter.
 
Mkuu unazungumzia utawala wa sheria kwenye kundi la manyang'au??

Hiki kijamaa ukikuta kimeshupaa kimekaza misuli ya shingo na kusimamia ufungaji wa mitandao walianzia kule X wakidai mtandao hauna maadili na bado kila siku kinafyatua post kwa VPN kutokea Sweden unafikiri kuna utawala wa sheria?

Hao manyang'au waliwaambia mkitumia VPN ni kosa na wao wamefungia mitandao ambayo nao bado wanataka kutumia na wako addicted nayo watafanyaje zaidi ya na wao kuingia kwa VPN!

Huyu ndio kiranja wa kushupalia mitandao ,magazeti, na media zifungiwe hivyo kama mkisema mnafuata sheria wao ndio wa kwanza kuzivunja.

Hawana tofauti na kunguni wa Samia kama Lucas Mwashambwa , ChoiceVariable ,The Sunk Cost Fallacy 2 The Sunk Cost Fallacy wanaoingia humu kwa VPN kusifia katika mtandao uliofungiwa .
Screenshot_20260206_092612_X.jpg
 
hayupo mTanzania anahangaika kuaccess JF ni jukwaa huru linalofuata misingi ya sheria na katiba ya nchi.

huna haja kuipaint JF kana kwamba yupo mtu au mamala ya nchi inayoionea platform hii muhimu na ya heshima sana Tanzania, Africa Mashariki na Africa kwa ujumla.
Uongozi makini wa JF hauhitaji msaada wa wadau wa JF au huruma katika kutetea haki zake, watumiaji wake au kuimarisha uhuru wake.
JF haina unyonge huo. Hakuna haja kuitia aibu JF na kujaribu kupoteza muda wa wana JF kuhangaika na vitu nonsense badala ya kufanya kazi halali za kujiongezea kipato na kuondokana na unyonge wa kiuchumi.

Serikali sikivu ya CCM chini ya Dr.samia suluhu hassan,
itaendelea kuimarisha na kupanua wigo wa mawasiliano nchini na kuboresha mazingira sawa, huru na ya haki kwa platforms za kijamii na watumiaji wake.

Nakusihi sana gentleman,
jiepushe na mambo yasiyo na faida wala maana yoyote kwa wadau wote wa JF. :1Head:
Sasa ndio umeandika nini hiki mkuu? Kama hujaelewa hoja ni bora ukae kimya badala ya kujidhalilisha mbele ya jamii. Serikali ya kubumba ya CCM na machawa wake ndio maadaui wakubwa wa jf. Usitetee ujinga kwa kutumia hoja za kijinga. Hivi huko shuleni ulienda kusomea ujinga? (FaizaFoxy 2010)
 
Wazo zuri ila mi naona members tuna obligation ya Kuchangia then Jamii Forums wamuweke wakili wa maana Kama Madeleka au Kibatala au wote kwa pamoja it depends na pesa itakayopatikana naona mchakato wa kimahakama ni bora zaidi. Ma CCM yanazingua sana

Ni mimi kaka wa mama yenu
 
Ni kweli imekuwa shida sana. Leo tena ndio nimeingia tena baada ya kujaribu bila mafanikio,
Nimeingia wakati nikitafuta habari za Banjoo wa Arusha
Serikali hii ya kufikirika ndiyo iliyotufikisha hapa mkuu. Nchi hii imejaa mijitu mihuni kila kona.
 
Back
Top Bottom