Japo jf ni user generated forum, lakini jf as a legal entity, its legal status, jf is a private company, sio public company, jf members hatuwezi kufungua shauri lolote mahakamani kwa niaba ya jf, unless
1. Bodi ya jf ikutane itoe board resolution to issue POA (power of attorney) kutoa mamlaka kwa jf members to institute a suit on behalf of jf.
2. JF company I issue IPO, kubadili umiliki from private company into public company kwa kuwa listed, wana jf wanunue hisa, wawe wamiliki, hapo sasa sisi wana jf, tunakuwa na legal mandate ya kufungua share lolote mahakamani kwa niaba ya jf.
A way foward
JF hivi hivi ilivyo, inaweza kufungua shauri mahakamani, na kutushirikisha as jf members kuichangia gharama za kuendesha shauri.
P