Hawa vilaza wanatweet kutokea Hongkong
Na hata humu JF waliofungia wanaingia kwa VPN kama wengine wanaoishi Tanzania.
Ni dalili kuwa ni jamii iliyojaa vilaza, wabinafsi , na watu waliorudi hatua 100 nyuma kiteknolojia.
Thank you mkuu. Hili ni wazo zuri. Ijapokuwa mahakimu ni maCCM lakini itasaidia kuionyesha dunia kuwa nchini Tanzania hakuna uhuru wala haki.Wazo zuri ila mi naona members tuna obligation ya Kuchangia then Jamii Forums wamuweke wakili wa maana Kama Madeleka au Kibatala au wote kwa pamoja it depends na pesa itakayopatikana naona mchakato wa kimahakama ni bora zaidi.
Ni mimi kaka wa mama yenu
Bado kuna Court of Appeal kwa majaji halafu watatuThank you mkuu. Hili ni wazo zuri. Ijapokuwa mahakimu ni maCCM lakini itasaidia kuionyesha dunia kuwa nchini Tanzania hakuna uhuru wala haki.
Mimi si mtaalam wa sheria ila bila ya kuung'oa huu utawala(I mean kuung'oa kivyovyote vile) I really don't know what we can do.Sasa tufanyeje ili tujikomboe na hawa wakoloni mbwa mkuu?
Wazo zuri mkuu. Lakini mbona kipindi kile Hon Tundu Lissu aliweza kushirikiana na mawakili wengine kuitetea JF mahakamani? Tatizo mawakili wenye vinasaba na CCM huwa mnaogopa kwenda mahakamani kuwatetea watu ambao wananyanyaswa na serikali ya CCM kwa kuhofia kunyimwa teuzi.Japo jf ni user generated forum, lakini jf as a legal entity, its legal status, jf is a private company, sio public company, jf members hatuwezi kufungua shauri lolote mahakamani kwa niaba ya jf, unless
1. Bodi ya jf ikutane itoe board resolution to issue POA (power of attorney) kutoa mamlaka kwa jf members to institute a suit on behalf of jf.
2. JF company I issue IPO, kubadili umiliki from private company into public company kwa kuwa listed, wana jf wanunue hisa, wawe wamiliki, hapo sasa sisi wana jf, tunakuwa na legal mandate ya kufungua share lolote mahakamani kwa niaba ya jf.
A way foward
JF hivi hivi ilivyo, inaweza kufungua shauri mahakamani, na kutushirikisha as jf members kuichangia gharama za kuendesha shauri.
P
Du mkuu msamehe bure mzee wako. Ni njaa tu ndio zinamsumbua; akishiba ataacha.Huyu MPUMBAVU MWENYE TABIA ZA KISHOGA Pascal Mayalla hana msaada wowote maana anatafuta uteuzi.
Una ushahidi gani na hili mkuu? Kwanini mtu akisema ukweli juu ya utawala dhalimu wa CCM mnasema anasambaza chuki? Kumbe upendo ni kuwaacha mafisadi wa CCM watapanye rasilimali za taifa kwa manufaa ya matumbo yao makubwa kama mapakacha huku watanzania maskini wakikosa huduma muhimu za kijamii? You can't be serious mkuu.Acha tu jukwaa life,limekua mahala pa kupanda na kusambaza chuki za kisiasa,kidini na chuki kwa taifa
Pole sana mkuu, leo mpaka umeandika mkeka kama huo, hakika umeguswa sana...Inasikitisha sana...
Na mbaya zaidi ni pale wanapojaribu kuifungia Kila sehemu...
Ukitangaza tu njia unayoitumia kuingilia JF kesho unakuta pamegiwa pini...
Cc: Mahondaw
Hawa ******* kumbe wanafungia mitandao halafu wanatumia VPN kinyemela kuingia mtandaoni? Mungu anawaona mashetani wakubwa. Watakuja kufa huku wakiwa wametia kidole cha shahada matakwoni!Mkuu unazungumzia utawala wa sheria kwenye kundi la manyang'au??
Hiki kijamaa ukikuta kimeshupaa kimekaza misuli ya shingo na kusimamia ufungaji wa mitandao walianzia kule X wakidai mtandao hauna maadili na bado kila siku kinafyatua post kwa VPN kutokea Sweden unafikiri kuna utawala wa sheria?
Hao manyang'au waliwaambia mkitumia VPN ni kosa na wao wamefungia mitandao ambayo nao bado wanataka kutumia na wako addicted nayo watafanyaje zaidi ya na wao kuingia kwa VPN!
Huyu ndio kiranja wa kushupalia mitandao ,magazeti, na media zifungiwe hivyo kama mkisema mnafuata sheria wao ndio wa kwanza kuzivunja.
Hawana tofauti na kunguni wa Samia kama Lucas Mwashambwa , ChoiceVariable ,The Sunk Cost Fallacy 2 The Sunk Cost Fallacy wanaoingia humu kwa VPN kusifia katika mtandao uliofungiwa .
View attachment 3546126
Inasikitisha mno mkuu. Nchi hii inatawaliwa na mijitu yenye akili za kiquma sana.View attachment 3546133
Hawa vilaza wanatweet kutokea HongkongView attachment 3546134 Hawa vilaza wengine wanatweet kutokea Netherlands
Na hata humu JF waliofungia wanaingia kwa VPN kama wengine wanaoishi Tanzania.
Ni dalili kuwa ni jamii iliyojaa vilaza, wabinafsi , na watu waliorudi hatua 100 nyuma kiteknolojia.
Acheni ujinga wenuMkuu unazungumzia utawala wa sheria kwenye kundi la manyang'au??
Hiki kijamaa ukikuta kimeshupaa kimekaza misuli ya shingo na kusimamia ufungaji wa mitandao walianzia kule X wakidai mtandao hauna maadili na bado kila siku kinafyatua post kwa VPN kutokea Sweden unafikiri kuna utawala wa sheria?
Hao manyang'au waliwaambia mkitumia VPN ni kosa na wao wamefungia mitandao ambayo nao bado wanataka kutumia na wako addicted nayo watafanyaje zaidi ya na wao kuingia kwa VPN!
Huyu ndio kiranja wa kushupalia mitandao ,magazeti, na media zifungiwe hivyo kama mkisema mnafuata sheria wao ndio wa kwanza kuzivunja.
Hawana tofauti na kunguni wa Samia kama Lucas Mwashambwa , ChoiceVariable ,The Sunk Cost Fallacy 2 The Sunk Cost Fallacy wanaoingia humu kwa VPN kusifia katika mtandao uliofungiwa .
View attachment 3546126
Mjinga ni wewe kidampa wa buku 7Acheni ujinga wenu
Naam na wakienda kwenye makongamano ya kiteknolojia duniani wanasema wanaongoza kwa digital space.Hawa ******* kumbe wanafungia mitandao halafu wanatumia VPN kinyemela kuingia mtandaoni? Mungu anawaona mashetani wakubwa. Watakuja kufa huku wakiwa wametia kidole cha shahada matakwoni!
Inasikitisha mno mkuu. Nchi hii inatawaliwa na mijitu yenye akili za kiquma sana.