Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,534
- 5,342
JamiiForums inawalaza na viatu CCM na makada wake n machawa waoNi muda mrefu sasa (yapata miezi 3) tangu kifungo cha JF kifike tamati lakini bado wahusika hawajaiachia 💯 %. Tukumbuke kuwa JF ilipigwa ban ya miezi 3 tangu September, 2025 na hiyo ban ilipaswa kuwa lifted by December 2025.
Ndugu wanaJF, an attack to JF is an attack to all JF members. Ninatumaini sote tumesononeshwa na kuhudhunishwa na kitendo hiki cha JF kuendelea kufungiwa wakati muda wa kifungo umefika tamati. Kwa mujibu wa sheria, hii sio sawa. Huu ni zaidi ya ukandamizaji wa uhuru wa habari na kujieleza. Na tunaozuiwa kujieleza ni sisi wanaJF. Kitakwinu, inaonekana bado members wengi hawajarejea humu ndani, baada ya kukatishwa tamaa na muenendo wa watu wanaopaswa kuifungulia JF lakini bado wanaendelea anazuia upatikanaji wake kwa ufasaha nchini Tanzania. Sitaki kuwachosha kwa maneno mengi. Naomba niingie kwenye mapendekezo moja kwa moja ili tujadiliane jinsi tunavyoweza kujinasua kwenye mkwamo huu. Napendekeza wanaJF tufanye yafuatayo:
1. KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI
Ijapokuwa hatujuani, nina imani humu JF kuna baadhi ya members waliobobea kwenye musuala ya sheria. Kwanini mzee Pascal Mayalla na wansheria wenzako mliomo humu msiungane kufungua kesi ya kuitetea JF isiendelee kudhalilishwa, kubagazwa na kubanangwa na hawa "watu wasiojulikana"?
2. MCHANGO WA GHARAMA ZA KESI
Wahenga wanasema "Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu". Ijapokuwa wengi wa members wa JF hatuna uwezo mkubwa wa kiuchumi, tukiamua kuungana tunaweza kufanya jambo. Kwa idadi ya members tuliomo humu, ikiwa kila mmoja atatoa angalau kima cha chini cha Tsh 2000 tu, bila shaka tutakusanya mamilioni ya shilingi ambazo zitatosha kabisa kuendesha kesi hadi ushindi upatikane. Tena hii kesi ni nyepesi sana, haitachukua muda mrefu kabala ya ushindi kupatikana.
Kipekee ninaumia kumuona mwanaJF mwenzetu, Tundu Lissu, yupo gerezani yapata mwaka sasa. Kama angekuwepo uraiani angekuwa aneishafungua kesi kuitetea JF. Hata hivyo hatuna haja kukata tamaa. Mawakili waliomo humu JF akina @Lugemalilla Nshalla mnaweza kufanya jambo kuikomboa JF kutoka kwenye makucha ya mkoloni mweusi.
3. KUHUDHURIA KESI
Pamoja na kuchangia fedha za gharama ya kesi, natoa wito kwa wanaJF mliopo Dar na ukanda wa Pwani muwe mnahudhuria mahakamani kwa wingi pindi kesi itakapoanza kuunguruma. Hii sio tu kwamba itasaidia kuongeza chachu na msukumo wa ushindi bali itasaidia kuongeza publicity ili dunia nzima ione jinsi haki zinavyokanyagwa hapo nchini Tanzania.
MAONI
Je, wanaF wengine mna maoni gani juu ya hili jambo? Ni njia gani nyingine ambazo tunaweza kutumia ili tufanikishe ukombozi haraka?
Karibuni kwa maoni na ushauri
relax then with your useless repliesI don't care what you utter because I know all twits of your kind are always like that.
Mkuu katika hili jambo naomba tuwe wamoja; tusinyoosheane vidole. Ijapokuwa JF imefungiwa na wakoloni weusi sio wakoloni wote wasioipenda JF. Baadhi ya wakoloni wanakerwa na kuhudhunishwa na kufungiwa huku lakini hawana la kufanya kwa sababu maelekezo ya kufungia yalitoka juu kabisa.Kesi ukafungulie mahakama ipi ambayo itafanya JF ishinde?
Na kwa nini wao JF wanaendelea kupost (instagram) viongozi ambao ndio wamelifungia Jukwaa hili?
Binafsi naona kujitenga na waliofanya hivi ndio hatua ya kwanza, maana sio mahakama wala chombo chochote cha ndani kinaweza kutoa haki kwenye hili.
hayupo mTanzania anahangaika kuaccess JF ni jukwaa huru linalofuata misingi ya sheria na katiba ya nchi.Wewe unapohangaika ku access JF kwa sababu serikali yako ya kishetani imegoma kuiachia unaona sawa?
Hata hao machawa wanatumia VPN 'kinyemela'..Kwa kuwa hawa nao ni active members wa JF na kwa kuwa taabu tunazopitia ku access JF nao zinawakumba, sidhani kama watapinga wazo hili. Anyway, tusubiri wenyewe waje tusikie wanasemaje.
Ritz
ChoiceVariable
Lucas mwashamba
Lucas Mwashambwa
MamaSamia2025
Japo jf ni user generated forum, lakini jf as a legal entity, its legal status, jf is a private company, sio public company, jf members hatuwezi kufungua shauri lolote mahakamani kwa niaba ya jf, unlessNdugu wanaJF, an attack to JF is an attack to all JF members.
1. KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI
Ijapokuwa hatujuani, nina imani humu JF kuna baadhi ya members waliobobea kwenye musuala ya sheria. Kwanini mzee Pascal Mayalla na wansheria wenzako mliomo humu msiungane kufungua kesi ya kuitetea JF isiendelee kudhalilishwa, kubagazwa na kubanangwa na hawa "watu wasiojulikana"?
Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe kama mazuzuKwa kuwa hawa nao ni active members wa JF na kwa kuwa taabu tunazopitia ku access JF nao zinawakumba, sidhani kama watapinga wazo hili. Anyway, tusubiri wenyewe waje tusikie wanasemaje.
Ritz
ChoiceVariable
Lucas mwashamba
Lucas Mwashambwa
MamaSamia2025
Acha tu jukwaa life,limekua mahala pa kupanda na kusambaza chuki za kisiasa,kidini na chuki kwa taifaNi muda mrefu sasa (yapata miezi 3) tangu kifungo cha JF kifike tamati lakini bado wahusika hawajaiachia 💯 %. Tukumbuke kuwa JF ilipigwa ban ya miezi 3 tangu September 2025 na hiyo ban ilipaswa kuwa lifted by December 2025.
Ndugu wanaJF, an attack to JF is an attack to all JF members. Ninatumaini sote tumesononeshwa na kuhudhunishwa na kitendo hiki cha JF kuendelea kufungiwa wakati muda wa kifungo umefika tamati. Kwa mujibu wa sheria, hii sio sawa. Huu ni zaidi ya ukandamizaji wa uhuru wa habari na kujieleza. Na tunaozuiwa kujieleza ni sisi wanaJF. Kitakwinu, inaonekana bado members wengi hawajarejea humu ndani, baada ya kukatishwa tamaa na muenendo wa watu wanaopaswa kuifungulia JF lakini bado wanaendelea anazuia upatikanaji wake kwa ufasaha nchini Tanzania. Sitaki kuwachosha kwa maneno mengi. Naomba niingie kwenye mapendekezo moja kwa moja ili tujadiliane jinsi tunavyoweza kujinasua kwenye mkwamo huu. Napendekeza wanaJF tufanye yafuatayo:
1. KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI
Ijapokuwa hatujuani, nina imani humu JF kuna baadhi ya members waliobobea kwenye musuala ya sheria. Kwanini mzee Pascal Mayalla na wansheria wenzako mliomo humu msiungane kufungua kesi ya kuitetea JF isiendelee kudhalilishwa, kubagazwa na kubanangwa na hawa "watu wasiojulikana"?
2. MCHANGO WA GHARAMA ZA KESI
Wahenga wanasema "Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu". Ijapokuwa wengi wa members wa JF hatuna uwezo mkubwa wa kiuchumi, tukiamua kuungana tunaweza kufanya jambo. Kwa idadi ya members tuliomo humu, ikiwa kila mmoja atatoa angalau kima cha chini cha Tsh 2000 tu, bila shaka tutakusanya mamilioni ya shilingi ambazo zitatosha kabisa kuendesha kesi hadi ushindi upatikane. Tena hii kesi ni nyepesi sana, haitachukua muda mrefu kabala ya ushindi kupatikana.
Kipekee ninaumia kumuona mwanaJF mwenzetu, Tundu Lissu, yupo gerezani yapata mwaka sasa. Kama angekuwepo uraiani angekuwa aneishafungua kesi kuitetea JF. Hata hivyo hatuna haja kukata tamaa. Mawakili waliomo humu JF akina @Lugemalilla Nshalla mnaweza kufanya jambo kuikomboa JF kutoka kwenye makucha ya mkoloni mweusi.
3. KUHUDHURIA KESI
Pamoja na kuchangia fedha za gharama ya kesi, natoa wito kwa wanaJF mliopo Dar na ukanda wa Pwani muwe mnahudhuria mahakamani kwa wingi pindi kesi itakapoanza kuunguruma. Hii sio tu kwamba itasaidia kuongeza chachu na msukumo wa ushindi bali itasaidia kuongeza publicity ili dunia nzima ione jinsi haki zinavyokanyagwa hapo nchini Tanzania.
MAONI
Je, wanaF wengine mna maoni gani juu ya hili jambo? Ni njia gani nyingine ambazo tunaweza kutumia ili tufanikishe ukombozi haraka?
Karibuni kwa maoni na ushauri
Umeandika mengi lakini hueleweki mkuuhayupo mTanzania anahangaika kuaccess JF ni jukwaa huru linalofuata misingi ya sheria na katiba ya nchi.
huna haja kuipaint JF kana kwamba yupo mtu au mamala ya nchi inayoionea platform hii muhimu na ya heshima sana Tanzania, Africa Mashariki na Africa kwa ujumla.
Uongozi makini wa JF hauhitaji msaada wa wadau wa JF au huruma katika kutetea haki zake, watumiaji wake au kuimarisha uhuru wake.
JF haina unyonge huo. Hakuna haja kuitia aibu JF na kujaribu kupoteza muda wa wana JF kuhangaika na vitu nonsense badala ya kufanya kazi halali za kujiongezea kipato na kuondokana na unyonge wa kiuchumi.
Serikali sikivu ya CCM chini ya Dr.samia suluhu hassan,
itaendelea kuimarisha na kupanua wigo wa mawasiliano nchini na kuboresha mazingira sawa, huru na ya haki kwa platforms za kijamii na watumiaji wake.
Nakusihi sana gentleman,
jiepushe na mambo yasiyo na faida wala maana yoyote kwa wadau wote wa JF.
Kwa mahakama za Kibongo sahau kabisa kutendewa haki, walioifungia JF ni Samia na wahuni wenzake ambao judiciary yote wanaiendesha watakavyo hivyo tambua you've a very good idea but it's a non-starter.Ni muda mrefu sasa (yapata miezi 3) tangu kifungo cha JF kifike tamati lakini bado wahusika hawajaiachia 💯 %. Tukumbuke kuwa JF ilipigwa ban ya miezi 3 tangu September 2025 na hiyo ban ilipaswa kuwa lifted by December 2025.
Ndugu wanaJF, an attack to JF is an attack to all JF members. Ninatumaini sote tumesononeshwa na kuhudhunishwa na kitendo hiki cha JF kuendelea kufungiwa wakati muda wa kifungo umefika tamati. Kwa mujibu wa sheria, hii sio sawa. Huu ni zaidi ya ukandamizaji wa uhuru wa habari na kujieleza. Na tunaozuiwa kujieleza ni sisi wanaJF. Kitakwinu, inaonekana bado members wengi hawajarejea humu ndani, baada ya kukatishwa tamaa na muenendo wa watu wanaopaswa kuifungulia JF lakini bado wanaendelea anazuia upatikanaji wake kwa ufasaha nchini Tanzania. Sitaki kuwachosha kwa maneno mengi. Naomba niingie kwenye mapendekezo moja kwa moja ili tujadiliane jinsi tunavyoweza kujinasua kwenye mkwamo huu. Napendekeza wanaJF tufanye yafuatayo:
1. KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI
Ijapokuwa hatujuani, nina imani humu JF kuna baadhi ya members waliobobea kwenye musuala ya sheria. Kwanini mzee Pascal Mayalla na wansheria wenzako mliomo humu msiungane kufungua kesi ya kuitetea JF isiendelee kudhalilishwa, kubagazwa na kubanangwa na hawa "watu wasiojulikana"?
2. MCHANGO WA GHARAMA ZA KESI
Wahenga wanasema "Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu". Ijapokuwa wengi wa members wa JF hatuna uwezo mkubwa wa kiuchumi, tukiamua kuungana tunaweza kufanya jambo. Kwa idadi ya members tuliomo humu, ikiwa kila mmoja atatoa angalau kima cha chini cha Tsh 2000 tu, bila shaka tutakusanya mamilioni ya shilingi ambazo zitatosha kabisa kuendesha kesi hadi ushindi upatikane. Tena hii kesi ni nyepesi sana, haitachukua muda mrefu kabala ya ushindi kupatikana.
Kipekee ninaumia kumuona mwanaJF mwenzetu, Tundu Lissu, yupo gerezani yapata mwaka sasa. Kama angekuwepo uraiani angekuwa aneishafungua kesi kuitetea JF. Hata hivyo hatuna haja kukata tamaa. Mawakili waliomo humu JF akina @Lugemalilla Nshalla mnaweza kufanya jambo kuikomboa JF kutoka kwenye makucha ya mkoloni mweusi.
3. KUHUDHURIA KESI
Pamoja na kuchangia fedha za gharama ya kesi, natoa wito kwa wanaJF mliopo Dar na ukanda wa Pwani muwe mnahudhuria mahakamani kwa wingi pindi kesi itakapoanza kuunguruma. Hii sio tu kwamba itasaidia kuongeza chachu na msukumo wa ushindi bali itasaidia kuongeza publicity ili dunia nzima ione jinsi haki zinavyokanyagwa hapo nchini Tanzania.
MAONI
Je, wanaF wengine mna maoni gani juu ya hili jambo? Ni njia gani nyingine ambazo tunaweza kutumia ili tufanikishe ukombozi haraka?
Karibuni kwa maoni na ushauri
Sasa ndio umeandika nini hiki mkuu? Kama hujaelewa hoja ni bora ukae kimya badala ya kujidhalilisha mbele ya jamii. Serikali ya kubumba ya CCM na machawa wake ndio maadaui wakubwa wa jf. Usitetee ujinga kwa kutumia hoja za kijinga. Hivi huko shuleni ulienda kusomea ujinga? (FaizaFoxy 2010)hayupo mTanzania anahangaika kuaccess JF ni jukwaa huru linalofuata misingi ya sheria na katiba ya nchi.
huna haja kuipaint JF kana kwamba yupo mtu au mamala ya nchi inayoionea platform hii muhimu na ya heshima sana Tanzania, Africa Mashariki na Africa kwa ujumla.
Uongozi makini wa JF hauhitaji msaada wa wadau wa JF au huruma katika kutetea haki zake, watumiaji wake au kuimarisha uhuru wake.
JF haina unyonge huo. Hakuna haja kuitia aibu JF na kujaribu kupoteza muda wa wana JF kuhangaika na vitu nonsense badala ya kufanya kazi halali za kujiongezea kipato na kuondokana na unyonge wa kiuchumi.
Serikali sikivu ya CCM chini ya Dr.samia suluhu hassan,
itaendelea kuimarisha na kupanua wigo wa mawasiliano nchini na kuboresha mazingira sawa, huru na ya haki kwa platforms za kijamii na watumiaji wake.
Nakusihi sana gentleman,
jiepushe na mambo yasiyo na faida wala maana yoyote kwa wadau wote wa JF.
Sasa tufanyeje ili tujikomboe na hawa wakoloni mbwa mkuu?Kwa mahakama za Kibongo sahau kabisa kutendewa haki, walioifungia JF ni Samia na wahuni wenzake ambao judiciary yote wanaiendesha watakavyo hivyo tambua you've a very good idea but it's a non-starter.
Serikali hii ya kufikirika ndiyo iliyotufikisha hapa mkuu. Nchi hii imejaa mijitu mihuni kila kona.Ni kweli imekuwa shida sana. Leo tena ndio nimeingia tena baada ya kujaribu bila mafanikio,
Nimeingia wakati nikitafuta habari za Banjoo wa Arusha