Mawakili wa JF naomba tusaidiane kuikomboa JF


Hawa vilaza wanatweet kutokea Hongkong Hawa vilaza wengine wanatweet kutokea Netherlands

Na hata humu JF waliofungia wanaingia kwa VPN kama wengine wanaoishi Tanzania.

Ni dalili kuwa ni jamii iliyojaa vilaza, wabinafsi , na watu waliorudi hatua 100 nyuma kiteknolojia.
 
Thank you mkuu. Hili ni wazo zuri. Ijapokuwa mahakimu ni maCCM lakini itasaidia kuionyesha dunia kuwa nchini Tanzania hakuna uhuru wala haki.
 
Wazo zuri mkuu. Lakini mbona kipindi kile Hon Tundu Lissu aliweza kushirikiana na mawakili wengine kuitetea JF mahakamani? Tatizo mawakili wenye vinasaba na CCM huwa mnaogopa kwenda mahakamani kuwatetea watu ambao wananyanyaswa na serikali ya CCM kwa kuhofia kunyimwa teuzi.

Ijapokuwa mawakili ni watu huru lakini mawakili wenye damu au harufu ya CCM ni wagumu sana kutenganisha kazi na ukada.

Anyway, unaonaje tukiitisha michango halafu tuwatumie mawakili wanaojitambua kama Madereke na Kibatala kutuwakilisha mahakamani mkuu?
 
Bado kuna Court of Appeal kwa majaji halafu watatu
Yeah! Mm nadhani the right move ni kufungua kesi mahakamani tu hakuna namna. Vinginevyo serikali hii ya CCM itatunyanyasa hadi Yesu atakaporudi.
 
Acha tu jukwaa life,limekua mahala pa kupanda na kusambaza chuki za kisiasa,kidini na chuki kwa taifa
Una ushahidi gani na hili mkuu? Kwanini mtu akisema ukweli juu ya utawala dhalimu wa CCM mnasema anasambaza chuki? Kumbe upendo ni kuwaacha mafisadi wa CCM watapanye rasilimali za taifa kwa manufaa ya matumbo yao makubwa kama mapakacha huku watanzania maskini wakikosa huduma muhimu za kijamii? You can't be serious mkuu.
 
Hawa ******* kumbe wanafungia mitandao halafu wanatumia VPN kinyemela kuingia mtandaoni? Mungu anawaona mashetani wakubwa. Watakuja kufa huku wakiwa wametia kidole cha shahada matakwoni!
 
Inasikitisha mno mkuu. Nchi hii inatawaliwa na mijitu yenye akili za kiquma sana.
 
Acheni ujinga wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…