Mawakili wa Mbowe waache maswali yasiyo na msingi, ulizeni maswali ya maana mteja wenu aachiwe haraka

Mawakili wa Mbowe waache maswali yasiyo na msingi, ulizeni maswali ya maana mteja wenu aachiwe haraka

Huna akili ..unawezaje kuongoza familia yako wewe bwege .. Mwendazake hakuthubutu kumshika Mbowe na kesi ya ugaidi huyu mama kutoka nchi nyingine hawezi kuvuka ..Wabara sio mafala wanamchora tu..ajipange
Pamoja na kunitukana sipingi hoja zako zingine!

Haujaelewa natokea wapi na hoja zangu. Wote tunajua huyo anaambiwa tu cha kufanya na kutoa support ingawa hiyo siyo hoja ya utetezi kwake kwa sababu anaweza sema hapana.
 
Natumaini haupo katika jopo la Mawakili wa Mbowe.

No, I am not. Mimi Niko zangu kijijini Shinyanga. Naifuatilia kwa karibu. Na bahati njema nina ufahamu na maarifa ya kujua JEMA na BAYA...
Kama ni kesi ya kisiasa, inabidi mjue malengo ya kisiasa ya waliobambikiza kesi ni nini na nini lengo lao hasa la kesi, hilo ndiyo litawasaidia kujua mbinu sahihi za kutumia.

Lengo lao liko wazi kwa kila mtu. Ni wewe tu na wenzako msioelewa. Kwamba, lengo lao "la kisiasa" it's EITHER by HOOKS or by CROOKS kuondoa what they see as "obstacles" so that CCM can continue with its authoritarian regime in this beautiful nation...

They stupidly think Mbowe is their obstacle. They stupidly think Mbowe is their problem. Hopefully, you know that they are wrong, right...?
Mnampotezea muda mteja wenu kwa kukariri mbinu na taratibu za kushinda kesi bila kuangalia 'context'.
Kwa hilo👆👆, I am pretty sure that you don't know what you've written...

Lakini hebu sikiliza nikuambie kitu, kwamba;

Katika "uso" wa tawala za kibabe na kiimla, sheria siyo ishu kwao. Yaani hawazuiliwi kufanya lolote bila kujali sheria inasemaje na ikitokea hivyo, basi hiyo inakuwa haina maana kuwa aliyefungwa kinyume cha sheria ANAKUWA MKOSAJI/MWENYE HATIA...!

Kwa kesi hii, kwa kufuata na kuzingatia FAIR TRIAL hence FAIR JUDGEMENT, elewa kuwa mpaka hapo, Freeman Mbowe na wenzake wameshashinda na kwa hiyo HAKUNA KESI...!
 
Katika ufuatiliaji wangu mdogo, watu wengi wameonekana kuwa na ushabiki na mihemko kuhusiana na kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.

Wengine wameonekana kuwasifia mawakili wa mtuhumiwa kwamba wana ustadi mkubwa katika kuwabana mashahidi wa upande wa mashtaka (eti hadi wanaomba kwenda msalani). Binafsi, naomba niwe tofauti. Mawakili wengi wa Kitanzania wanafanya mambo mengi kwa kukariri.

Ningependa maswali yafuatayo yaulizwe, either ndani au nje ya mahakama.

1. Je, Serikali imewahi kumhukumu au kumtuhumu Mbowe kwa tukio lolote la ugaidi ambalo liliwahi kufanyika ndani au nje ya nchi?

2. Ni kawaida sana kuona vikundi vya kigaidi vikiwa na majina ya kujitambulisha. Je, kwa mujibu wa uchunguzi wa Polisi, kikundi cha kigaidi anachodaiwa kuongoza Mbowe kinaitwaje?

3. Mbowe anajulikana zaidi nchini kama Mwanasiasa. Ugaidi kwa tafsiri ni lazima uwe na agenda fulani. Je, kwa mujibu wa uchunguzi wa Polisi, nini ni agenda ya kundi ambalo analodaiwa kuongoza Mbowe?

Sitegemei kama upande wa Mashtaka umejiandaa kujibu maswali ya namna hii hasa kama yataulizwa mwanzoni kabisa wa kesi. Majibu ya haya maswali kutoka kwenye vinywa vya upande wa mashtaka yana implications kubwa sana baada ya kesi, whether Mbowe amefungwa au ameachiwa huru.

Mawakili wa Mbowe, acheni kukariri kuhoji mapungufu ya technicalities. Hata kama kuna upungufu huko, kuyakomalia hayo hakuwezi kufanya kesi ifutwe kirahisi kama mnavyodhani. Nendeni moja kwa moja kwenye msingi wa kesi.

CCM+polisi+TIss=Kibatala
Huna uwezo wa kuwashauri mawakili wa CHADEMA wewe.
Kawashauri akina KINGAI na SIRRO.
 
trial within a trial huy mtoa mada hajui ht taaluma ya sheria
Wengi mmekomalia kuwa sijui kuhusu utaratibu wa cross examination katika kesi. Msilolijia ni kuwa upande wa utetezi unaweza kuharakisha hatua hiyo kwa kuomba kesi ya msingi ianze kusikilizwa. Mawakili wa Mbowe wanapiga hela kwa kuidrag kesi ambayo kimsingi wanajua wanaweza kushinda hata ikienda on trial na kumpunguzia mteja wao siku za kukaa mahabusu.

Pia wakati mwingine inabidi ufanye maamuzi ambayo mpinzani wako hakutegemea 'and see who will blink first'. Kama nia ya upande wa mashitaka ni kumchelewesha tu Mbowe na kumuondoa kwenye ulingo wa siasa, watapata wakati mgumu kwenye trial na aibu itawaangukia wao kuliko aibu hizi za PGO ambazo kimsingi hazizuii kesi kuendelea!
 
Wewe ndugu yangu, inaonekana hujui chochote kabisa maswali ya sheria. Wewe ni mtupu. Tumia hii kesi kujipatia japo elimu ndogo ya mambo ya sheria.

Hilo swali huelewi lililenga nini.

Wakati wa ushahidi, cha kwanza ni kwa hakimu au jaji kujua mtoa ushahidi kama anatakiwa kuaminika au kupuuzwa. Kama shahidi mmoja akisema waliwakamata watuhumiwa wakinywa sumu, na mwingine akasema waliwakamata wakiwa wanatembea barabarani, kitakachodhihirika ni kuwa mashahidi ni waongo, siyo watu ambao ushahidi wao unastahili kupewa uzito.

Good, perfect
 
Wengi mmekomalia kuwa sijui kuhusu utaratibu wa cross examination katika kesi. Msilolijia ni kuwa upande wa utetezi unaweza kuharakisha hatua hiyo kwa kuomba kesi ya msingi ianze kusikilizwa. Mawakili wa Mbowe wanapiga hela kwa kuidrag kesi ambayo kimsingi wanajua wanaweza kushinda hata ikienda on trial na kumpunguzia mteja wao siku za kukaa mahabusu.

Pia wakati mwingine inabidi ufanye maamuzi ambayo mpinzani wako hakutegemea 'and see who will blink first'. Kama nia ya upande wa mashitaka ni kumchelewesha tu Mbowe na kumuondoa kwenye ulingo wa siasa, watapata wakati mgumu kwenye trial na aibu itawaangukia wao kuliko aibu hizi za PGO!
saw lkn c unajua kesi za jinai hukumu zake huwa zinachelewa sana mf ukitoa kesi ya Mbowe ukichukua kesi y R v Daudi Kudema& others hii ilichikua karb miak mi5 mpk hukumu me sion sababu ya kuharakish sana lkn ht ukiharakish pia lzm ucheleweshw mf juzi unaambiw shahid kapat ajali kwahy tusubir halaf there is a lot of number of witnesses me naon ngoma lzm iwe ngum t kk...
 
Tatizo wapinzani mnaamini wasiotakiwa kuaminiwa halafu wengine wenye nia thabiti ya kuwasaidia mnaona hawana maana. Angalia track record yangu kama nimewahi kuwa upande wa Serikali.

Hata Sirro hajawahi kuwa upande wa serikali
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mtuhumiwa mlimkamata akiwa anakunywa supu au anatembea? tayari swali hilo la wakili msomi halafu baada ya jibu hakuna kinachofuata yaani alikuwa na maana gani kuuliza swali kama hilo
Supu ilikua na nyama ngapi?😂😂
 
Niliwaza hivi ila nikahisi kwakuwa ikisikilizwa kwanza kesi ndogo katika kesi ya msingi nikaona bora niache kwanza, ila kwa hisia zangu naona kabisa Mh Mbowe uenda akatiwa hatiani lakini wanajaribu kuwahi asifikie huko na ndiyo maana wameenda kufungua kesi mahakama ya kimataifa kupinga kukatwa kwa Mbowe kama kulikiuka haki zake.

Hata mbuzi wana mawazo kama yako.

Nothing special 😂😂😂.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Naomba nikakojoe Mh.Hakimu

, nakupa ruhusa nenda.

Mh.choo kipo wapi,
Si kazi yangu kulekeza watu vyoo vilipo

Mh. Hakimu naomba niende vyoo vya stend.
Marafuku.
Mh. Hakimu sijazoea vyoo vya shimo

Hii kesi tamu sana,naomba mahakama wairushe live kwenye TV ya Azam
 
Mleta mada punguza mihemko!
wewe ni mwanasheria?
Akina kibatala wanajua pa kutokea.
Mkuu- sijui labda
Unaweza kutueleza kwa ufupi CV yako kuhusu masuala ya sheria na jinsi ya kuendesha kesi ya ugaidi kama hii inayoendelea? Baada ya hapo tutajadili hoja zako za msingi.
Hao mawakili wasomi wasio na UTU waliendesha kesi ipi ya UGAIDI?
 
Nadhani mleta mada hujajua exactly nini kinaendelea. Katika moja ya vizibiti vya kesi ni maelezo ya onyo ya watuhumiwa. Kinachofanyika sasa ni kukataa maelezo hayo yasiwe sehemu ya ushahidi. Ili kufanikisha ilo ni lazima mawakili wa utetezi wathibitishe kwamba maelezo hayo hayakutolewa kwa utashi wa watuhumiwa bali ni kutokana na mateso na vipigo.

Nakuhakikishia wakifanikiwa kwenye ilo basi kesi ya msingi itakuwa nyepesi sana. Kwa hiyo maswali yote unayoyaona sasa sijui kupelekwa mbweni, kunyimwa chakula, kuchomwa bisibisi ni katika kuprove kwamba watuhumiwa waliteswa sana ili kushinikizwa kusema kile walichokitaka askari. Huwezi kuona logic ya maswali ya mawakili wa utetezi kama huna uzoefu na proceedings za kesi.
 
haya ndio maisha wanayoishi chadema siku zote[emoji1787][emoji1787][emoji1787],ni watu wanaoishi kwa kelele za jukwaani sana.

bila shaka hata mteja wo anajaa upepo aliko,maana kama mahabusu anaendelea kulala huku mahakamani kuna utoto unaendelea ambao haumsaidii.

serikali hijawahi kupata aibu,wao wako tayari kupoteza muda mnacheza cheza hapo mahakamani kwao,sijui kwa mwenyekiti kama yuko tayari kupoteza muda.
 
Ili wakati mwingine waifuate pgo na sii kumkomoa yeyote ilmradi.

PGO inaweza isifatwe ila isiwe kinga ya kosa lako la msingi.

ndio maana sisi wengine toka mwanzo,tunatafakari tu ukweli wa tuhuma za mbowe.

ni kweli ama si kweli??hapa mawakili wanatakiwa watulie sio kutusherehesha.
 
Katika ufuatiliaji wangu mdogo, watu wengi wameonekana kuwa na ushabiki na mihemko kuhusiana na kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.

Wengine wameonekana kuwasifia mawakili wa mtuhumiwa kwamba wana ustadi mkubwa katika kuwabana mashahidi wa upande wa mashtaka (eti hadi wanaomba kwenda msalani). Binafsi, naomba niwe tofauti. Mawakili wengi wa Kitanzania wanafanya mambo mengi kwa kukariri.

Ningependa maswali yafuatayo yaulizwe, either ndani au nje ya mahakama.

1. Je, Serikali imewahi kumhukumu au kumtuhumu Mbowe kwa tukio lolote la ugaidi ambalo liliwahi kufanyika ndani au nje ya nchi?

2. Ni kawaida sana kuona vikundi vya kigaidi vikiwa na majina ya kujitambulisha. Je, kwa mujibu wa uchunguzi wa Polisi, kikundi cha kigaidi anachodaiwa kuongoza Mbowe kinaitwaje?

3. Mbowe anajulikana zaidi nchini kama Mwanasiasa. Ugaidi kwa tafsiri ni lazima uwe na agenda fulani. Je, kwa mujibu wa uchunguzi wa Polisi, nini ni agenda ya kundi ambalo analodaiwa kuongoza Mbowe?

Sitegemei kama upande wa Mashtaka umejiandaa kujibu maswali ya namna hii hasa kama yataulizwa mwanzoni kabisa wa kesi. Majibu ya haya maswali kutoka kwenye vinywa vya upande wa mashtaka yana implications kubwa sana baada ya kesi, whether Mbowe amefungwa au ameachiwa huru.

Mawakili wa Mbowe, acheni kukariri kuhoji mapungufu ya technicalities. Hata kama kuna upungufu huko, kuyakomalia hayo hakuwezi kufanya kesi ifutwe kirahisi kama mnavyodhani. Nendeni moja kwa moja kwenye msingi wa kesi.
kasome PGO
 
Ww nawe umechemka kabisa......
utakuwa law school labda......
ama mwanasheria mzembe mzembe manake mpo wengi siku hizi.....
wataalam wa cross examination
huwa wanaangalia ingredients ama elements zinazounda kosa......
mathalan kama Mbowe ameshitakiwa kwa ugaidi....
unaangalia elements zinazounda kosa hilo....
kwa hivyo unakross examine kufatana na elements hizo ili kuibua mashaka......
Haya ndugu mtaalamu wa kross examine unalizwa shahidi eeeh wakati unamkamata mtuhumiwa alikula nini
Jibu energ na nyama choma
Alinunua nani. Afande tayar
 
Back
Top Bottom