Pamoja na kunitukana sipingi hoja zako zingine!Huna akili ..unawezaje kuongoza familia yako wewe bwege .. Mwendazake hakuthubutu kumshika Mbowe na kesi ya ugaidi huyu mama kutoka nchi nyingine hawezi kuvuka ..Wabara sio mafala wanamchora tu..ajipange
Natumaini haupo katika jopo la Mawakili wa Mbowe.
Kama ni kesi ya kisiasa, inabidi mjue malengo ya kisiasa ya waliobambikiza kesi ni nini na nini lengo lao hasa la kesi, hilo ndiyo litawasaidia kujua mbinu sahihi za kutumia.
Kwa hilo👆👆, I am pretty sure that you don't know what you've written...Mnampotezea muda mteja wenu kwa kukariri mbinu na taratibu za kushinda kesi bila kuangalia 'context'.
trial within a trial huy mtoa mada hajui ht taaluma ya sheriaBado kesi ya hyo maswali haijaanza. Kwasasa kesi ni ya kuteswa/kutokuteswsshahidi. Baasi
Katika ufuatiliaji wangu mdogo, watu wengi wameonekana kuwa na ushabiki na mihemko kuhusiana na kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.
Wengine wameonekana kuwasifia mawakili wa mtuhumiwa kwamba wana ustadi mkubwa katika kuwabana mashahidi wa upande wa mashtaka (eti hadi wanaomba kwenda msalani). Binafsi, naomba niwe tofauti. Mawakili wengi wa Kitanzania wanafanya mambo mengi kwa kukariri.
Ningependa maswali yafuatayo yaulizwe, either ndani au nje ya mahakama.
1. Je, Serikali imewahi kumhukumu au kumtuhumu Mbowe kwa tukio lolote la ugaidi ambalo liliwahi kufanyika ndani au nje ya nchi?
2. Ni kawaida sana kuona vikundi vya kigaidi vikiwa na majina ya kujitambulisha. Je, kwa mujibu wa uchunguzi wa Polisi, kikundi cha kigaidi anachodaiwa kuongoza Mbowe kinaitwaje?
3. Mbowe anajulikana zaidi nchini kama Mwanasiasa. Ugaidi kwa tafsiri ni lazima uwe na agenda fulani. Je, kwa mujibu wa uchunguzi wa Polisi, nini ni agenda ya kundi ambalo analodaiwa kuongoza Mbowe?
Sitegemei kama upande wa Mashtaka umejiandaa kujibu maswali ya namna hii hasa kama yataulizwa mwanzoni kabisa wa kesi. Majibu ya haya maswali kutoka kwenye vinywa vya upande wa mashtaka yana implications kubwa sana baada ya kesi, whether Mbowe amefungwa au ameachiwa huru.
Mawakili wa Mbowe, acheni kukariri kuhoji mapungufu ya technicalities. Hata kama kuna upungufu huko, kuyakomalia hayo hakuwezi kufanya kesi ifutwe kirahisi kama mnavyodhani. Nendeni moja kwa moja kwenye msingi wa kesi.
CCM+polisi+TIss=KibatalaKatika ufuatiliaji wangu mdogo, watu wengi wameonekana kuwa na ushabiki na mihemko kuhusiana na kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.
Wengine wameonekana kuwasifia mawakili wa mtuhumiwa kwamba wana ustadi mkubwa katika kuwabana mashahidi wa upande wa mashtaka (eti hadi wanaomba kwenda msalani). Binafsi, naomba niwe tofauti. Mawakili wengi wa Kitanzania wanafanya mambo mengi kwa kukariri.
Ningependa maswali yafuatayo yaulizwe, either ndani au nje ya mahakama.
1. Je, Serikali imewahi kumhukumu au kumtuhumu Mbowe kwa tukio lolote la ugaidi ambalo liliwahi kufanyika ndani au nje ya nchi?
2. Ni kawaida sana kuona vikundi vya kigaidi vikiwa na majina ya kujitambulisha. Je, kwa mujibu wa uchunguzi wa Polisi, kikundi cha kigaidi anachodaiwa kuongoza Mbowe kinaitwaje?
3. Mbowe anajulikana zaidi nchini kama Mwanasiasa. Ugaidi kwa tafsiri ni lazima uwe na agenda fulani. Je, kwa mujibu wa uchunguzi wa Polisi, nini ni agenda ya kundi ambalo analodaiwa kuongoza Mbowe?
Sitegemei kama upande wa Mashtaka umejiandaa kujibu maswali ya namna hii hasa kama yataulizwa mwanzoni kabisa wa kesi. Majibu ya haya maswali kutoka kwenye vinywa vya upande wa mashtaka yana implications kubwa sana baada ya kesi, whether Mbowe amefungwa au ameachiwa huru.
Mawakili wa Mbowe, acheni kukariri kuhoji mapungufu ya technicalities. Hata kama kuna upungufu huko, kuyakomalia hayo hakuwezi kufanya kesi ifutwe kirahisi kama mnavyodhani. Nendeni moja kwa moja kwenye msingi wa kesi.
Ukiwa mjinga unadhani unaelewa kumbe,ni form 4 failure.Mtuhumiwa mlimkamata akiwa anakunywa supu au anatembea? tayari swali hilo la wakili msomi halafu baada ya jibu hakuna kinachofuata yaani alikuwa na maana gani kuuliza swali kama hilo
Wengi mmekomalia kuwa sijui kuhusu utaratibu wa cross examination katika kesi. Msilolijia ni kuwa upande wa utetezi unaweza kuharakisha hatua hiyo kwa kuomba kesi ya msingi ianze kusikilizwa. Mawakili wa Mbowe wanapiga hela kwa kuidrag kesi ambayo kimsingi wanajua wanaweza kushinda hata ikienda on trial na kumpunguzia mteja wao siku za kukaa mahabusu.trial within a trial huy mtoa mada hajui ht taaluma ya sheria
Wewe ndugu yangu, inaonekana hujui chochote kabisa maswali ya sheria. Wewe ni mtupu. Tumia hii kesi kujipatia japo elimu ndogo ya mambo ya sheria.
Hilo swali huelewi lililenga nini.
Wakati wa ushahidi, cha kwanza ni kwa hakimu au jaji kujua mtoa ushahidi kama anatakiwa kuaminika au kupuuzwa. Kama shahidi mmoja akisema waliwakamata watuhumiwa wakinywa sumu, na mwingine akasema waliwakamata wakiwa wanatembea barabarani, kitakachodhihirika ni kuwa mashahidi ni waongo, siyo watu ambao ushahidi wao unastahili kupewa uzito.
saw lkn c unajua kesi za jinai hukumu zake huwa zinachelewa sana mf ukitoa kesi ya Mbowe ukichukua kesi y R v Daudi Kudema& others hii ilichikua karb miak mi5 mpk hukumu me sion sababu ya kuharakish sana lkn ht ukiharakish pia lzm ucheleweshw mf juzi unaambiw shahid kapat ajali kwahy tusubir halaf there is a lot of number of witnesses me naon ngoma lzm iwe ngum t kk...Wengi mmekomalia kuwa sijui kuhusu utaratibu wa cross examination katika kesi. Msilolijia ni kuwa upande wa utetezi unaweza kuharakisha hatua hiyo kwa kuomba kesi ya msingi ianze kusikilizwa. Mawakili wa Mbowe wanapiga hela kwa kuidrag kesi ambayo kimsingi wanajua wanaweza kushinda hata ikienda on trial na kumpunguzia mteja wao siku za kukaa mahabusu.
Pia wakati mwingine inabidi ufanye maamuzi ambayo mpinzani wako hakutegemea 'and see who will blink first'. Kama nia ya upande wa mashitaka ni kumchelewesha tu Mbowe na kumuondoa kwenye ulingo wa siasa, watapata wakati mgumu kwenye trial na aibu itawaangukia wao kuliko aibu hizi za PGO!
Tatizo wapinzani mnaamini wasiotakiwa kuaminiwa halafu wengine wenye nia thabiti ya kuwasaidia mnaona hawana maana. Angalia track record yangu kama nimewahi kuwa upande wa Serikali.
Supu ilikua na nyama ngapi?😂😂Mtuhumiwa mlimkamata akiwa anakunywa supu au anatembea? tayari swali hilo la wakili msomi halafu baada ya jibu hakuna kinachofuata yaani alikuwa na maana gani kuuliza swali kama hilo
Niliwaza hivi ila nikahisi kwakuwa ikisikilizwa kwanza kesi ndogo katika kesi ya msingi nikaona bora niache kwanza, ila kwa hisia zangu naona kabisa Mh Mbowe uenda akatiwa hatiani lakini wanajaribu kuwahi asifikie huko na ndiyo maana wameenda kufungua kesi mahakama ya kimataifa kupinga kukatwa kwa Mbowe kama kulikiuka haki zake.
Mkuu- sijui labdaMleta mada punguza mihemko!
wewe ni mwanasheria?
Akina kibatala wanajua pa kutokea.
Hao mawakili wasomi wasio na UTU waliendesha kesi ipi ya UGAIDI?Unaweza kutueleza kwa ufupi CV yako kuhusu masuala ya sheria na jinsi ya kuendesha kesi ya ugaidi kama hii inayoendelea? Baada ya hapo tutajadili hoja zako za msingi.
Sidhani kama anafuatilia, naona hata comments hakusoma. Inafahamika hii ni kesi ndogo ndani ya kesi kubwa.Hiyo ni kesi ndogo dada wala kesi yenyewe haijaanza kusikilizwa. Muwe mnauliza basi.
Ili wakati mwingine waifuate pgo na sii kumkomoa yeyote ilmradi.
kasome PGOKatika ufuatiliaji wangu mdogo, watu wengi wameonekana kuwa na ushabiki na mihemko kuhusiana na kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.
Wengine wameonekana kuwasifia mawakili wa mtuhumiwa kwamba wana ustadi mkubwa katika kuwabana mashahidi wa upande wa mashtaka (eti hadi wanaomba kwenda msalani). Binafsi, naomba niwe tofauti. Mawakili wengi wa Kitanzania wanafanya mambo mengi kwa kukariri.
Ningependa maswali yafuatayo yaulizwe, either ndani au nje ya mahakama.
1. Je, Serikali imewahi kumhukumu au kumtuhumu Mbowe kwa tukio lolote la ugaidi ambalo liliwahi kufanyika ndani au nje ya nchi?
2. Ni kawaida sana kuona vikundi vya kigaidi vikiwa na majina ya kujitambulisha. Je, kwa mujibu wa uchunguzi wa Polisi, kikundi cha kigaidi anachodaiwa kuongoza Mbowe kinaitwaje?
3. Mbowe anajulikana zaidi nchini kama Mwanasiasa. Ugaidi kwa tafsiri ni lazima uwe na agenda fulani. Je, kwa mujibu wa uchunguzi wa Polisi, nini ni agenda ya kundi ambalo analodaiwa kuongoza Mbowe?
Sitegemei kama upande wa Mashtaka umejiandaa kujibu maswali ya namna hii hasa kama yataulizwa mwanzoni kabisa wa kesi. Majibu ya haya maswali kutoka kwenye vinywa vya upande wa mashtaka yana implications kubwa sana baada ya kesi, whether Mbowe amefungwa au ameachiwa huru.
Mawakili wa Mbowe, acheni kukariri kuhoji mapungufu ya technicalities. Hata kama kuna upungufu huko, kuyakomalia hayo hakuwezi kufanya kesi ifutwe kirahisi kama mnavyodhani. Nendeni moja kwa moja kwenye msingi wa kesi.
Haya ndugu mtaalamu wa kross examine unalizwa shahidi eeeh wakati unamkamata mtuhumiwa alikula niniWw nawe umechemka kabisa......
utakuwa law school labda......
ama mwanasheria mzembe mzembe manake mpo wengi siku hizi.....
wataalam wa cross examination
huwa wanaangalia ingredients ama elements zinazounda kosa......
mathalan kama Mbowe ameshitakiwa kwa ugaidi....
unaangalia elements zinazounda kosa hilo....
kwa hivyo unakross examine kufatana na elements hizo ili kuibua mashaka......