Mawakili wa Mbowe waache maswali yasiyo na msingi, ulizeni maswali ya maana mteja wenu aachiwe haraka

PGO inaweza isifatwe ila isiwe kinga ya kosa lako la msingi.

ndio maana sisi wengine toka mwanzo,tunatafakari tu ukweli wa tuhuma za mbowe.

ni kweli ama si kweli??hapa mawakili wanatakiwa watulie sio kutusherehesha.
Issue hapa ni kesi ndogo,kesi ya msingi bado!Kwenye hii kesi ndogo,upamde wa utetezi unapinga maelezo yaliyochukuliwa kwa watuhumiwa kupokelewa kama kielelezi katika kesi ya msingi!Sasa ili kufanikisha hilo,ni lazima jaji ajiridhishe kuwa kulikuwa na ukiukwaji wa haki katika upatakanaji wa huo ushahidi!Kufanikisha hilo ni muhimu mawakili kuraise issues ili mashahidi wakose Credibility mbele ya Jaji!
Ungekuwa umepitia comments ungeelewa!
 
Haya ndugu mtaalamu wa kross examine unalizwa shahidi eeeh wakati unamkamata mtuhumiwa alikula nini
Jibu energ na nyama choma
Alinunua nani. Afande tayar
Professional za watu ww kibaka......
watu wamesota vyuoni wakisoma hayo mambo na experience kibao
unakuja ww tundu wazi unakejeli
stupid kabisa
 
Mtuhumiwa mlimkamata akiwa anakunywa supu au anatembea? tayari swali hilo la wakili msomi halafu baada ya jibu hakuna kinachofuata yaani alikuwa na maana gani kuuliza swali kama hilo
Ndivyo namna ya uulizaji wa maswali mahakamani. Baada ya jibu, Hakimu au Jaji anapata point na ku note down ukweli au uongo wa shahidi.
 
Tukisimama kama nchi, kufungwa kwa Mbowe (kama akifungwa), kutaleta manufaa gani kwa Taifa letu Tanzania??
 
Sidhani kama anafuatilia, naona hata comments hakusoma. Inafahamika hii ni kesi ndogo ndani ya kesi kubwa.
Na nadhani mnakosea pia kusema kesi ndogo ndani ya kesi kubwa, au tafsiri za kiswahili ndiyo shida. Kesi ni moja tu, sema ni hatua za awali za kesi hiyo.

Kesi nyingine ilikuwa ni ile iliyofutwa jana, ile ndiyo ungeweza kuita kesi ndogo ndani ya kesi kubwa, hahah.

Ila ni kweli, siyo mfuatiliaji wa kila siku wa kesi hii. Mimi siku zote mambo ya nchi hii naangalia msingi wa kinachoendelea na kinachoongelewa ni nini. Kwa mtazamo wangu, wengi huwa mnachotwa na vitu vidogo vidogo mnasahau hata mada kuu na ya msingi ni nini.
 
Hayo maswali yasipoulizwa na kupata ufafanuzi ndani ya mahakama, hakutakuwa na CHADEMA baada ya kesi hii.
 
Professional za watu ww kibaka......
watu wamesota vyuoni wakisoma hayo mambo na experience kibao
unakuja ww tundu wazi unakejeli
stupid kabisa
Kama tundu ni neno la kukera ujue hata chadema kuna tundu
Nikukumbushe tuu hiyio professional hajasoma Kibatala peke ake jinga jinga wewe
 
M
 
Nyie Ni vilaza,afande Kingai alisema waliwakamata watuhumiwa wakiwa wanakunywa supu, shaidi mwingine anasema waliwakamata wakati wakiwa wanatembea, Sasa ulitaka waulizwe kuhusu wewe mtoa mada ni kwanini ni mtoto wa haramu!!!!
Mashwari yoko ni mazuri lakini yanatakiwa aurizwe Siro wala siyo mtu mwingine, subili siku yake ifike
 
Maswali yale ya kujibu "SISOMIIIII "" eeee
 
Mkuu,umewahi kushatakiwa?Umewahi kwenda mahakamani?Unafikir hayo maswali yakoanatakiwa aulizwe nani?na aulizwe wakati gani?Maswali yako yataulizwa tu tena na magumu kuliko hayo.Kinachofanyika hapo sasa hivi ni Kubomoa KESI kwa upande wa utetezi na KUJENGA kesi kwa upanda wa mashtaka.Technicalities ni moja kati ya groundza kubomoa kesi ya mshtaki wako mahakamani.

Endelea kula mtori,nyama zipo chini kijana.
 
Maswali ya sasa yanalenga kuutupilia mbali ushahidi wa Kingai, halafu kesi ya msingi itaendelea. Ushahidi huo ukitupwa then wanaofuata kutoa ushahidi 'miguu' yao inakuwa myepesi
 
Wanataka kuwaninginiza hakina Kangai na Mahita, naona dalili ya hawa watu 2 kuja kufungiliwa kesi
 
wew ulitakiwa ukampe mbinu kingai na wenzake namna ya kujibu maswali siyo kuleta unafiki.

Nikuulize wewe central na mbweni wapi kwenye usalama?

Central na mbweni wapi kwenye polisi wengi na silaha nyingi?

Ulishawahi kusikia mtuhumiwa katoroka central?

Toka umezaliwa na kuishi ulishawahi kusikia jamiiforums imefungwa?
 
wawe objectiv
 
Mbowe akifungwa ñi msumari mmoja mkubwa sana umegongewa kichwani kwa hangay..
 
Sawa sawa wakili msomi wa nyuma ya keyboard tumekuelewa na naamini misheni town wenzio watayafanyia kazi yote uliyoshauri
 
Asante kwa kuliona Hilo hao mawakili wanauliza maswali mepesi ka unyoya wa jogoo kishenzi na kuacha maswali nkonki ka hayo uliyoyaandika Sasa hawako critical kwenye ku frame maswali ya maana
Wewe na mtoa mada hamna uwelewa wakutosha juu ya tasnia nzima ya sheria. Maswari yanayoulizwa sasa ni ya msingi sana juu ya case ndogo ndani ya case kubwa ya UGAIDI. Subiri wanaojua sheria wamalize then you can come up with your conclusion after the judgement.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…