Ushahidi wao ni baada ya Rais kutamka generalities. Hawa 2 walihukumiwa makosa ya jinai wana chuki binafsi, kikawaida hela za serksli hulipwa kwa wahasibu zikakaa kwenye strongroom au safe hazikai nyumbani kwa DPP.Nilidhani wana fact kumbe hear say! Ushahidi ukiwa wa wazi na upo sahihi wamfungulie mashitaka sio kukurupuka na barua za kishabiki.
Hivi watu wa usalama wa taifa huwa wanakuwa wapi mpaka tuhuma kama hizi kubwa zinapotokea katika ofisi nyeti za umma!? Hivi sheria iliyopelekea kuamzishwa kwa TISS, na uwepo wao katika kila idara nyeti ya serikali inatusaidia nini kama Taifa endapo kama karibu katika kila sehemu nyeti kuna upigaji, rushwa, ubadhirifu na ufisadi wa kutisha!?
Yamkini umeongea kwa kujifurahisha tu!Ushahidi wao ni baada ya Rais kutamka generalities. Hawa 2 walihukumiwa makosa ya jinai wana chuki binafsi, kikawaida hela za serksli hulipwa kwa wahasibu zikakaa kwenye strongroom au safe hazikai nyumbani kwa DPP.
Nani alimteua kuwa jaji, tuanzie hapo kwanzaHii kada ya sheria inanishangaza sana.yaani mtu anayetuhumiwa kuminya haki za watu ndie anakuwa Jaji? Sasa huko ana jaji nini?
Kaisome katiba ya JMT IBARA YA 110 NA ILE YA 118 jitahidi uwe unasoma soma sio unauliza maswali Kama mtoto mdogo, kasome jaji mkuu anapatikanaje, majaaji wa Mahakama kuu wanapatikanaje na majaji wa Mahakama ya Rufani wanapatikanaje na baada ya hapo kasome namna ya kumuondoa jaji katika nafasi yake kwa sababu ya kushindwa kutumiza majukumu yake kwa ugonjwa au tabia mbaya kinyume na kanuni za utumishi wa umma na Mahakama kwa ujumla!Nani alimteua kuwa jaji, tuanzie hapo kwanza
Ni taahira kivipi? Tatizo la baadhi ya vijana wa nchi hii ni hulka ya kujadiri watu badala ya hoja. Madeleka ni mtu wa hoja, intellect na brilliant legal mind.Huyo taahira madeleka ni wa kumsikiliza kweli??
Ndio waje na ushahidi usio tia shaka... kauli za wanasiasa unazifahamu hawachelewi kuzikana au zikatolewa ufafanuzi kwamba hakua na maana hiyo. In court of law we are dealing with facts not assumption.Ushahidi wao ni baada ya Rais kutamka generalities. Hawa 2 walihukumiwa makosa ya jinai wana chuki binafsi, kikawaida hela za serksli hulipwa kwa wahasibu zikakaa kwenye strongroom au safe hazikai nyumbani kwa DPP.
This is too low brother.. Madeleka ni certified lawyerHuyo taahira madeleka ni wa kumsikiliza kweli??
Wala hataeuliwi kizembe sehemu nyinginezo.Sema tu kwa vile ni Tanzania.
Jaji haondolewi kizembe sehemu nyinginezo.
Wako busy wakiwalinda CCM na viongozi.Hivi watu wa usalama wa taifa huwa wanakuwa wapi mpaka tuhuma kama hizi kubwa zinapotokea katika ofisi nyeti za umma!?
Kwa hiyo bado Rais ana uwezo wa kumuondoa jaji bila 'tribunal board' akiona inafaa ?...Kumuondoa Jaji ndio kuna hatua za kufuata mpaka kuunda Tribunal Board ifuate mchakato wote ila kumuondoa Jaji Mkuu hakuna mchakato wowote wa kufuata. Ibara ya 118 ya Katiba iweka wazi hapo.
Hata hivyo ibara ya 110 ya katiba yetu bado inatoa madaraka makubwa kwa Rais kuamua kumuacha kazini au kumfuta kazi,
Katiba yenyewe pia haimlazimishi Rais kuunda time ya kijaji, inasema "akiona inafaa" na hakuna wa kumuuliza, Sasa hapa utaona madaraka makubwa ya Rais katika kuamua Hilo! Ndio Mana katiba mpya Ni muhimu kumpunguzia Rais haya madaraka, ikitokea Judge Ni swahiba wake aweza kuamua kukaa kimya tu!
Uelewa wako una hitilafu. Unaelewa maana ya tuhuma?Nilidhani wana fact kumbe hear say! Ushahidi ukiwa wa wazi na upo sahihi wamfungulie mashitaka sio kukurupuka na barua za kishabiki.
Ni tajiri kupindukia. Na buka shaka kumteua kuwa jaji kulifanya makusudi ili asitoroke. Uovu wake ulikuwa unafahamika kikamilifu.Lazima huyu jamaa ac zake zimenona
Ova
Jaji kuweza kuondolewa ni lazima kuwepo na malalamiko dhidi yake. Hiki kinachoendelea ndiyo utaratibu wenyewe. Kitakachofuata baada ya hapa, ni kuundwa kamati ya majaji ya kumchunguza. Majaji hawa watatoka mahakama kuu na nchi nyingine za Jumuiya ya Madola. Hayo yatafanyika akiwa amesimamishwa.Sema tu kwa vile ni Tanzania.
Jaji haondolewi kizembe sehemu nyinginezo.