Mawakili wamkataa Jaji Biswalo, wamuandikia barua Rais Samia

Mnyika alikuwa na mamlaka ya kwenda kuwatoa Lupango wale waliokuwa mahabusu na kusafirishwa usiku kwenda kuapishwa.
 
Asante Kaka paschal Mayala kwa kuitendea haki moja wapo ya taaluma yako ulizosomea na naamini imekua darasa tosha kwa wale vihiyo wenzangu!
Gratias
 
Mnyika alikuwa na mamlaka ya kwenda kuwatoa Lupango wale waliokuwa mahabusu na kusafirishwa usiku kwenda kuapishwa.
acha kesi iendelee uone mnyikaanavyoaibika mahabusu alitolewa na mnyika na mbowe ndiyo maana hawana nguvu na hiyo kesi wana juwa chadema hawashindi
 
Utaratibu wa kumuondoa Judge Ni mgumu kidogo mkuu sio Kama kumuondoa Dc
hata kama ni mgumu kama jiwe, na tuhuma kama zipo, utaratibu uanze tu ili apishe kiti kitakatifu kikaliwe na wanaostahili hata kama si wasafi kivile, ila walau wanatia moyo. Nani atamwamini sasa?
 
Nilidhani wana fact kumbe hear say! Ushahidi ukiwa wa wazi na upo sahihi wamfungulie mashitaka sio kukurupuka na barua za kishabiki.
Kila jambo kubwa duniani lilianza kama mzaha tu! Sisitizo anauwezo wa kumuangusha tembo na tani zake 8! Subiri
 
Naunga mkono hoja!, mimi kwanza namzimikia sana Halima Mdee Halima Mdee on ITV Asubuhi Hii!.
nilimpongeza Halima Mdee "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji
P
 
Well
 
Plea-bargaining si kitu kipya kila nchi inchoate kwa majina mbalimbali. Isitoshe inaingia akilini. Magoti na Kabendera walikutwa wana forex USD accounts nyingi CRDB, walilipwa kwa njia isiyo rasmi probably ni mabeberu kwa kuandika articles za matusi kendi drama.kwa vile hapa hatuna dollar income. Isitoshe, hazikulipiwa kodi. Sheria ya rushwa inaruhusu Polisi kukumata unless hizo hela ulizipata wapi baada ya kuangalia Maputo yako rasmi. Haina proof 100% lakini ipo, kwa nini usikubali uachane na usumbufu? Mtu kama mbowe aliwalipa kwa tigopesa makomandoo wa Ngerengere waje wamuue ole Sabaya. Ushahidi.kamili ni.maito ya ole Sabaya, lakiniPolisi wakawaeahi kabla hawajamuua, kesi inaendelea Mama kwa huruma yake kabisa kwa kushauriana na DPP wa wakati hup sasa Jaji Mganga wakamuonea huruma mbowe wakamwachia, kosa gani hapo? CHADEMA walikutwa wanaimba Wimbo wa Taifa kwa matusi, wakisema Mungu Ibariki CHADEMA, ni uhaini, walakamatwa, DPP akawaachia baadaye in the national intest, kosa gani hapo? Peter Madalaka kaiba nyaraka immigration, kapewa na mkewe (staff immigation) akaanza kuzianika hazalani kwenye blogu ya auntie marysarungi. Alitakiwa azipeleke Polisi, ndiyo hutyu sasa anamkandia DPP katika hizi allegations lakini changing ni husda ya kukamatwa.

Ni chuki chuki chuki ya wainzania (kwa CCM) na wafungwa (kwa DPP personally) ndiyo inawauma. HE IS INNOCCENT.
 
Bibi amelikoroga, kama alikuwa anaongea tu kuchangamsha genge bila concrete evidence hapo ndio itajulikana. By the way, ina maana kweli Rais hakuona umuhimu wa kutengua uteuzi wake mpaka afundishwe na mawakili?.
Ndio shida ya rais mpiga vijembe. Rais alisema 'hapa juzijuzi' inaweza kua mwaka jana tu. Hawa wahuni wake anaowaweka wanampiga. Ila wote wenye hasira na chuki dhidi ya magufuli wanatafsiri anawasema magufuli na watu wake. Magufuli aliwapiga fisadi wazembe na majizi yote ya umma vizuri sana. Ndio maana umma wa wananchi walimpenda sana na hadi leo wanabubujikwa machozi. Wanao mchukia ni wale wenye kisasi nae kwa jinsi alivyowadhibiti.
 
Haki nimesoma nikacheka nikaona nireserve bundle! Umepuyanga kinoma yani! Dah
 
Ndugu DolphinT, umenichekesha mpaka nimepaliwa na mate hapa.
Umeona jitihada zako zote za kumuelewesha na kumuelimisha zimegonga mwamba,msaada ni muhimu.

Kongole kwa kutoa elimu ya katiba ndugu.
Nchi Kama imejaa watu wa Aina hii Ni mtaji mkubwa wa CCM kuna mwingine huko imebidi nisimjibu tu kuhusu Mambo ya kununua Uhuru kwa Jiwe (plea bargaining na jinsi ilivyoendeshwa) hawafuatilii hata taarifa ndio Mana wahuni wakazitoroshea nje alizochukua yeye Jiwe kafa nazo!

Ukiwauliza mathalani kitambulisho cha machinga kilitolewa kwa Sheria ipi ya Bunge! Sheria ipi ya Kodi na ya kibajet iliyosimamia ukusanyaji wa hizo fedha?
Fedha hizo ziliingizwa kwenye account ipi? Personal au hazina?

Kwenye report ya Cag zilikaguliwa? Anyway Ni shingapi zilipatikana who knows and who can tell? Sembuse za plea bargaining?
Wakuu wa mikoa waliitwa ikulu wakakbidhiwa vitambulisho wakawauzie mpaka Boda Boda mpaka makondakta!
 
Naona na we sahv unapatikana

Kwenye wakili database,hongera

Ulikuwaga haumo huko

Ushahidi huu,wasije wadau wakaona

Labda we ni wakili kanjanja kumbe umekamilika

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…