Mawasiliano ya baadhi ya Askari Polisi kuhusu ujio wa Tundu Lissu yavuja

Na iwe hivyo mapema zaidi
Nimewahi kuwa kiongozi kupitia CCM nina uhakika kuwa CCM haipo kwa maslahi ya Watanzania bali inawatumia Watanzania kujinufaisha binafsi ndiyo maana vita ya uongozi ndani ya CCM ni kubwa na hatari zaidi kuliko chaguzi kuu za nchi yetu.

CCM haioni hasara kuondoa uhai wa Mtanzania yeyote anayetishia maslahi yake ya kujimilikisha Tanzania.

Ni maneno malaini lakini ni suala la muda na tusiharakie sana kwani kila hatua tutapitishwa salama na yeye Anayeona Yote.

Narejea kusema kuwa, kauli zao zitapingana na kujifitini kuanzia juu hadi chini
 
Aaaamen, CCM ni genge la Wahuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…