Mawasiliano ya baadhi ya Askari Polisi kuhusu ujio wa Tundu Lissu yavuja

Mawasiliano ya baadhi ya Askari Polisi kuhusu ujio wa Tundu Lissu yavuja

Nimewahi kuwa kiongozi kupitia CCM nina uhakika kuwa CCM haipo kwa maslahi ya Watanzania bali inawatumia Watanzania kujinufaisha binafsi ndiyo maana vita ya uongozi ndani ya CCM ni kubwa na hatari zaidi kuliko chaguzi kuu za nchi yetu.

CCM haioni hasara kuondoa uhai wa Mtanzania yeyote anayetishia maslahi yake ya kujimilikisha Tanzania.

Ni maneno malaini lakini ni suala la muda na tusiharakie sana kwani kila hatua tutapitishwa salama na yeye Anayeona Yote.

Narejea kusema kuwa, kauli zao zitapingana na kujifitini kuanzia juu hadi chini
Karma
 
Nchi inanunua mitambo ya kudukua mawasiliano ya raia wake. Maana yake ni kwamba tabaka la watawala wamejimilikisha nchi hivyo raia ni tishio la watawala.

Haya sasa, hao watesi wa wananchi wameshaanza kunusa kuwa wanatumiwa...
Karma !
 
chadema mnaandika vi sms vyenu Kisha mnasema vimevuja☹️🤣🤣🤣🤣🤣Kama vipi asirudi basi🤣🤣
 
Back
Top Bottom