Mawasiliano ya baadhi ya Askari Polisi kuhusu ujio wa Tundu Lissu yavuja

Mawasiliano ya baadhi ya Askari Polisi kuhusu ujio wa Tundu Lissu yavuja

Katika pitapita zangu kwenye Social Media nimekutana na "screenshot" inayoonyesha chats za Askari Police (baadhi).

Huenda huu ndio mtazamo wa jumla wa Hawa jamaa wa Form Four.View attachment 2481494
Jeshi linaenda kwa amri wakiambiwa now no ulinzi watafuata hakuna wa kumgusa labda hajipendi atajikuta bwana nyerere huko alinde maporomoko mjini patamu etiii
 
CCM ni waoga sana!, yaani upinzani hawajaanza mikutano tayari wanajihami..kama wanafanya mema wanawasiwasi wa nini? watanzania si watakuwa watetezi wao. Ina maana ccm wao ni kukaa kusubiria kujibu tu na sio kutengeneza hoja zao ili wapinzani nao wajitafute!!. CCM mimi siwaelewi sana...ndio maana akina mbowe wanasema ccm ni wepesi kama karatasi...au ccm hawawezi bila polisi..nitaanza kuwaamini akina mbowe na wengine wenye akili kubwa 😎
 
Katika pitapita zangu kwenye Social Media nimekutana na "screenshot" inayoonyesha chats za Askari Police (baadhi).

Huenda huu ndio mtazamo wa jumla wa Hawa jamaa wa Form Four.View attachment 2481494
Lissu hana impact yoyote wala hakuna chombo chochote ambacho kina habari naye, asitafute attentions ya aina yoyote ajijie tu wakumpokea waende wakampokee wakipenda wambebe mgongoni, "HANA MADHARA YOYOTE KWA TAIFA LETU "
 
Furahi Sasa na wewe umeendika na kupost. Hongera
 
Hii nchi tumiendelea kutawaliwa na watu wenye akili na upeo wa aina hii, kuna siku tutaitwa majina ya ajabu sana. Kama wenyewe tu wanajiita Chawa! Hivi sisi ni nani hasa!! 🤔
Kuna jina nimeliwaza nikaishia kucheka tu
 
Back
Top Bottom