Nchi inanunua mitambo ya kudukua mawasiliano ya raia wake. Maana yake ni kwamba tabaka la watawala wamejimilikisha nchi hivyo raia ni tishio la watawala.Wacha tuone kama watakanusha
Ujenzi was mnara wa Babeli, watazidi kujichanganyaNchi inanunua mitambo ya kudukua mawasiliano ya raia wake. Maana yake ni kwamba tabaka la watawala wamejimilikisha nchi hivyo raia ni tishio la watawala.
Haya sasa, hao watesi wa wananchi wameshaanza kunusa kuwa wanatumiwa...
Je. Kama ni jaja ya Ndugu Anti anatafuta sababu ya kutorudi nyumbani? Wengine wanapenda kula Bure!Wacha tuone kama watakanusha
KarmaNimewahi kuwa kiongozi kupitia CCM nina uhakika kuwa CCM haipo kwa maslahi ya Watanzania bali inawatumia Watanzania kujinufaisha binafsi ndiyo maana vita ya uongozi ndani ya CCM ni kubwa na hatari zaidi kuliko chaguzi kuu za nchi yetu.
CCM haioni hasara kuondoa uhai wa Mtanzania yeyote anayetishia maslahi yake ya kujimilikisha Tanzania.
Ni maneno malaini lakini ni suala la muda na tusiharakie sana kwani kila hatua tutapitishwa salama na yeye Anayeona Yote.
Narejea kusema kuwa, kauli zao zitapingana na kujifitini kuanzia juu hadi chini
Karma !Nchi inanunua mitambo ya kudukua mawasiliano ya raia wake. Maana yake ni kwamba tabaka la watawala wamejimilikisha nchi hivyo raia ni tishio la watawala.
Haya sasa, hao watesi wa wananchi wameshaanza kunusa kuwa wanatumiwa...
Hio ni michezo ya CCM sio Chadema , tunajiaminiJe. Kama ni jaja ya Ndugu Anti anatafuta sababu ya kutorudi nyumbani? Wengine wanapenda kula Bure!
Upi?Upuuzi mtupu
Wameishasema Polisi wenyewe kuwa "neutral". Kama ana hatia atakamatwa na kama hana hatia hatakamatwa. Ndio maana ya u neutral!
Sawa kabisaWameishasema Polisi wenyewe kuwa "neutral". Kama ana hatia atakamatwa na kama hana hatia hatakamatwa. Ndio maana ya u neutral!
Jambo la kushangaza zaidi ni jinsi ccm na serikali wanavyonyamazia hizi siasa za maji taka kufanyika kwa jina la Rais SSH binafsi!
kwa sababu wananufaika na huo ujingaJambo la kushangaza zaidi ni jinsi ccm na serikali wanavyonyamazia hizi siasa za maji taka kufanyika kwa jina la Rais SSH binafsi!
chadema mnaandika vi sms vyenu Kisha mnasema vimevuja☹️🤣🤣🤣🤣🤣Kama vipi asirudi basi
chadema wajuaji kweli yani🤣🤣🤣Ficha ubambavu yako .Ficha ujinga wako .