Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukichunguza utaona kwamba hiyo bajeti ya serikali aslimia 70 ni matumizi ya rais, wabunge, mawaziri na spika na naibu spika halafu mfanyakazi anaengezewa mshahara 12000 ni unafiki mtupu tena ni baada ya miaka 6 bila ongezeko lolote juzi tu pia wameogezeana maposho ya safari ambazo kabisa hazimnufaishi mtumishi wa kawaida halafu waziri mkuu anaongea uongo kabisa eti mawaziri wameonezewa aslimia ndogo na wamekaa kimnya anategemea waseme nini na kila kitu wanalipiwa na serikali kuanzia usafiri wao na familia zao, kula, kulala, matibabu india tena wanaongozana na familia zao, masikini ukiumwa ujilipie au ujitangaze kwenye vyombo vya habari uchangiwe tulikuwa na matumaini na hii serikali lakini ndo yale yale lazima tuungane tupige kelele.Alafu huku wale wa Sensa wanaambiwa wajitolee ni uzalendo😅
Hii nchi hii
Baadhi ya watu sijui watamuambia nini Mungu siku ya kiama
Perdiem ndo nini??Kwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge.
Wote tunajua perdiem ni posho ya safari kwa mtumishi anaposafiri kikazi na si vinginevyo ili imsaidie kugharamia malazi, chakula na mambo mengine awapo safarini.
Kwakuwa Waziri Mkuu anakaa katika nyumba ya serikali na bila shaka anahudumiwa na serikali karibu kila kitu, uhalali wa Waziri Mkuu kulipwa perdiem unatoka wapi ili hali yeye na mawaziri wengine wanakaa Dodoma katika nyumba za serikali?
Hata Spika na Naibu Spika, nao wanastahili hayo malipo?
Je, wanalipwa kwasababu tu na wao ni wabunge?
Kama hiyo ndio sababu, hii ni sahihi?
Je, haya sio matumizi mabaya ya fedha za umma?
Katiba Mpya ilenge kupiga marufuku mambo ya aina hii i ngawa si kila kitu ni cha kuingizwa kwenye katiba.
Pia, hii ni sababu nyingine kwanini mawaziri wasitokane na wabunge.
Posho ya kujikimuPerdiem ndo nini??
Angekuwa bado mbunge angethuburu kuongea haya maneno!, wanasiasa wote ni wachumia tumbo siku zote.Heche ni kiazi sana
USSR
Tena siku nyingi sana ningeshashuka.Ingekuwa ni basi ungeomba Dereva asimame ushuke hii nchi, dah.
Wasaliti kwenye kudai au kuongelea haki, huwa hawakosekani hivyo sikushangai.Wivu
Hata kama kaongea sasa inatufaa, wacha uzuzu tupiganie haki zetu wao wanapigania zao ndio maana wanaengezana marupurupu kila siku.Angekuwa bado mbunge angethuburu kuongea haya maneno!, wanasiasa wote ni wachumia tumbo siku zote.
Mkuu, uko sahihi kabisa. Perdiem I atakuwa kulipa ukiwa nje ya kituo chako cha kazi. Waziri Mkuu, mawaziri na Spika Kituo chao cha kazi ni Dodoma. Kwa maoni yangu hawastahili kulipwa.Kwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge.
Wote tunajua perdiem ni posho ya safari kwa mtumishi anaposafiri kikazi na si vinginevyo ili imsaidie kugharamia malazi, chakula na mambo mengine awapo safarini.
Kwakuwa Waziri Mkuu anakaa katika nyumba ya serikali na bila shaka anahudumiwa na serikali karibu kila kitu, uhalali wa Waziri Mkuu kulipwa perdiem unatoka wapi ili hali yeye na mawaziri wengine wanakaa Dodoma katika nyumba za serikali?
Hata Spika na Naibu Spika, nao wanastahili hayo malipo?
Je, wanalipwa kwasababu tu na wao ni wabunge?
Kama hiyo ndio sababu, hii ni sahihi?
Je, haya sio matumizi mabaya ya fedha za umma?
Katiba Mpya ilenge kupiga marufuku mambo ya aina hii ingawa si kila kitu ni cha kuingizwa kwenye katiba.
Pia, hii ni sababu nyingine kwanini mawaziri wasitokane na wabunge.
KATIBA MPYAKwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge.
Wote tunajua perdiem ni posho ya safari kwa mtumishi anaposafiri kikazi na si vinginevyo ili imsaidie kugharamia malazi, chakula na mambo mengine awapo safarini.
Kwakuwa Waziri Mkuu anakaa katika nyumba ya serikali na bila shaka anahudumiwa na serikali karibu kila kitu, uhalali wa Waziri Mkuu kulipwa perdiem unatoka wapi ili hali yeye na mawaziri wengine wanakaa Dodoma katika nyumba za serikali?
Hata Spika na Naibu Spika, nao wanastahili hayo malipo?
Je, wanalipwa kwasababu tu na wao ni wabunge?
Kama hiyo ndio sababu, hii ni sahihi?
Je, haya sio matumizi mabaya ya fedha za umma?
Katiba Mpya ilenge kupiga marufuku mambo ya aina hii ingawa si kila kitu ni cha kuingizwa kwenye katiba.
Pia, hii ni sababu nyingine kwanini mawaziri wasitokane na wabunge.
Tupambanie KATIBA mpya.Kwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge.
Wote tunajua perdiem ni posho ya safari kwa mtumishi anaposafiri kikazi na si vinginevyo ili imsaidie kugharamia malazi, chakula na mambo mengine awapo safarini.
Kwakuwa Waziri Mkuu anakaa katika nyumba ya serikali na bila shaka anahudumiwa na serikali karibu kila kitu, uhalali wa Waziri Mkuu kulipwa perdiem unatoka wapi ili hali yeye na mawaziri wengine wanakaa Dodoma katika nyumba za serikali?
Hata Spika na Naibu Spika, nao wanastahili hayo malipo?
Je, wanalipwa kwasababu tu na wao ni wabunge?
Kama hiyo ndio sababu, hii ni sahihi?
Je, haya sio matumizi mabaya ya fedha za umma?
Katiba Mpya ilenge kupiga marufuku mambo ya aina hii ingawa si kila kitu ni cha kuingizwa kwenye katiba.
Pia, hii ni sababu nyingine kwanini mawaziri wasitokane na wabunge.
Si hayumo humo lazima aongee, wakiingia mule wanasahau ya huku njeHuyo Heche aache unafiki. Zito kabwe aliwahi jieleza wabunge uharali wa kutopokea hiyo posho ya "Makalio"
Hao hao kina Heche waliungana na upande wapili kumshambulia Zito nakumuita majina mabaya.
Leo anataka kutushawishi tumuonee huruma? Kwani Chadema haikua nawa bunge wanao ishi Dododoma?
Wizi Kama kawaidaKwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge.
Wote tunajua perdiem ni posho ya safari kwa mtumishi anaposafiri kikazi na si vinginevyo ili imsaidie kugharamia malazi, chakula na mambo mengine awapo safarini.
Kwakuwa Waziri Mkuu anakaa katika nyumba ya serikali na bila shaka anahudumiwa na serikali karibu kila kitu, uhalali wa Waziri Mkuu kulipwa perdiem unatoka wapi ili hali yeye na mawaziri wengine wanakaa Dodoma katika nyumba za serikali?
Hata Spika na Naibu Spika, nao wanastahili hayo malipo?
Je, wanalipwa kwasababu tu na wao ni wabunge?
Kama hiyo ndio sababu, hii ni sahihi?
Je, haya sio matumizi mabaya ya fedha za umma?
Katiba Mpya ilenge kupiga marufuku mambo ya aina hii ingawa si kila kitu ni cha kuingizwa kwenye katiba.
Pia, hii ni sababu nyingine kwanini mawaziri wasitokane na wabunge.
Ndio maana tunatozwa tozo za hovyo kabisa ili wao na familia zao wajineemesheKwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge.