Mawaziri Selemani Jafo na Dotto Biteko watunukiwa PhD ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

Jafo alisoma first degree SUA , Bacholar of Human nutrition. Phd yake inatofauti na alichosomea SUA? Au sio lazima viendane
 
Phd unasoma ukiwa Waziri ni ujanja ujanja tuu shule ni zile unakuta mtu kamaliza akiingia kwenye siasa ana kila kitu eti Waziri nani atamnyima wakati vyuo vyenyewe kila kukicha kuna kashfa ya degree za chupi na wengine kuwekewa mitego...bongo mtu anasema ana Phd kichwani mweupe kabisaa..
 
Sijawahi kusikia mzaramo ambaye ni PhD holder, labda iwe ni PhD ya uswahilina......haya yatakuwa ni moja ya maajabu ya dunia.

Marehemu Profesa Alli Kighoma Malima alikuwa Mzaramo!
 
Aise, sasa ana furaha maana ba jes alimbana sana kwa yule dem
 
Unakariri bwashee! Nasema huwezi hata kufikiria kuanza PhD bila kusoma na kusoma ni part of reviewing the literature. Kwanza nikuulize, una PhD au napoteza muda kwa mtu aliyesoma PhD za wenzake.

Wote wababaishaji tu hapa! Mambo waliyofanya akina Isaac Newton, Albert Einstein, Max Planck. Marie-Curie, Schrodinger, Maxwell, Nicola Tesla n.k magwiji kabisa kuwahi kutokea duniani hao watu walikuwa wanafanya literature review kutoka wapi! Kimsingi unatakiwa kubomoa kichwa chako mwenyewe kuliko kudesa kazi za watu kwa kusingizia literature review! Piga kazi yako mwenyewe toka kichwani kama akina Newton ndipo tutajua hiyo ni PhD yako, hakuna cha literature review hapa! Namalizia kusema hapa kuwa hakuna wa kumnanga mwenzake wakati wote mmedesa kazi za watu (plagiarism).
 
Chief ni kwamba watu huwa wanabeba mambo ya mitandaoni mazima mazima, PhD bila research na publication kwenye reputable journal hiyo siyo PhD, Hiyo ni Advanced Masters

Are you among them? Umejyaje kuwa wanabeba mambo mazima mazima mtandaoni kama wewe si mmojawapo!
 
Mkuu siyo kwamba literature review inakusaidia kujua utopolo waliofanya wengine ili wewe unyooshe mambo......
 

Hivi Prof. Lipumbu mbona simsikii siku hizi?
 
Barack Obama ni University Professor/ Juryprudence Doctor lakini sijawahi kuona anatumia hizo prefix labda kwenye CV

Sen. Obama, who has taught courses in constitutional law at the University of Chicago, has regularly referred to himself as "a constitutional law professor," most famously at a March 30, 2007, fundraiser when he said, "I was a constitutional law professor, which means unlike the current president I actually respect the Constitution." A spokesman for the Republican National Committee immediately took exception to Obama’s remarks, pointing out that Obama’s title at the University of Chicago was "senior lecturer" and not "professor."
 
Ushaandika yako au unasoma za wengine?
 
Nimewai ona mahali wanasema baada ya jiwe huwenda jafo ndie angekuwa rais dkt selemani jaffo mzee
Jaffo awe rais? Hii nchi haiko serious [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hongera kwako Seleman Jafo.PHd hata kama ni ya kudesa bado siyo shule ya kitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…