Mawaziri Selemani Jafo na Dotto Biteko watunukiwa PhD ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

Mkuu kama huelewi kitu uwe tu unauliza ujuzwe.
Kweli huenda Kuna shida katika kusimamia ubora wa hizi PhD lakini si kwa kiwango unachoeleza.
Kwamba mtu anasoma coursework anapata PhD bila kufanya research?
Hamna kitu kama hiyo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tuna MAVIlaza mengi sana nchi hii
 
NI KWELI MZEE pUNCH ALIUWA TISHIO NA ALIWAANDAMA SANA MABINTI. LAKINI KWA WALIMU SIKUSKIA MAANA KUSHINDA MITIHANI HAIKUHITAJI KUONGA, UNASOMA UNAPASS VEMA KABISA. WALIMU WALIKUWA WANAFUNDISHA VIZURI, UNAELWA, ANATUNGA MITHANI, UNAFAULU, KWISHA...
 
Kumbe nawe Mzaramo sikushangai tena kuanzia leo
Hujui wewe Pwani sio wazaramo tu yako makabila kibao Maraisi watatu wote asili yao Pwani Yuko Mzee Mwinyi ,Raisi Kikwete mkwere na Raisi wa Zanzibar wa sasa wakati wachaga na wahaya hawajawahi toa hata waziri mkuu na ujuaji wao

Pwani hoyeeee
 
Uandishi wa kiumbeyaumbeya, kimipashomipasho, vijembevijembe kama vile habari imetoka Kisarawe
 
Hujui wewe Pwani sio wazaramo tu yako makabila kibao Maraisi watatu wote asili yao Pwani Yuko Mzee Mwinyi ,Raisi Kikwete mkwere na Raisi wa Zanzibar wa sasa wakati wachaga hawajawahi toa hata waziri mkuu na ujuaji wao

Pwani hoyeeee
We mkwere tu
 
We mkwere tu
Wahaya na wachaga hamjawahi toa hata waziri mkuu na ujuaji wenu Pwani imetoa maraisi watatu Mzee Mwinyi Hana hata digrii ana Diploma tu , pia Raisi wa Zanzibar katoka mkuranga Pwani .Pwani ikatoa Raisi Kikwete ana digrii moja tu wakati wachaga na wahaya mna midigrii mingi weeee ambayo mwisho wa siku haizalishi waziri mkuu Wala raisi mnaishia tu kuongea kiingereza kilichonyooka ambacho Kiko grammaticality correct!!!!

Pwani hoyeeee
 
Bora mie niliyeishia vidudu
 
Kumbe nawe Mzaramo sikushangai tena kuanzia leo
Kawashangae na kuwadharau wahaya,wachaga na wanyakyusa wasomi wa kufa mtu ambao wanaongea kiingereza kilichonyooka ambacho hata malkia wa uingereza anawapigia makofi kwa usomi na kiingereza kizuri lakini hawajawahi toa Raisi Wala waziri mkuu na usomi wao toka Tanzania ipate Uhuru miaka 60 iliyopita
 
Wasomage tu hao urais hauwafai kabisa
 

Yote ni ma CCM . Kuna huyu pro pesa Lipumba anatembea Na miswaki Na Taula kwenye briefcase , laana ya kushirikiana Na CCM
 
Raisi Lini alipigiwa kura ? Si watu hukimbizana Na mabegi ya kura feki Na watu wengine kupigwa risasi
 
Ila kwa plagiarism check up hairuhusiwi ku copy kazi ya mtu ina maana Udom hawana au ndio chuo Cha kata.
Maana plagiarism kwenye academic ni kosa kubwa ka uhujumu uchumi ulivo
Kuna mwanataalama yupo UDOM kanidokeza kwamba hiyo kazi ilifanya kenya wilaya ya Garisa unaweza ku-google "The influence of socio-cultural and economic factors on the academic performance of secondary school students in Garisa District, Kenya". Alichokifanya huyu wa Tanzania ni kubadilisha na kuchomeka baadhi ya maneno ili kuzuga zuga tu.
 
 
Nadhani Kuna rushwa hapa na wahadhiri kujipendekeza kwa Waziri na wengine kuhongwa, maana kwa vyuoni kazi yako uki copy ni kosa kubwa why wapitishe ya Jafo?
PhD za wanasiasa haziaminiki tena aliye busy na kazi aisee
 
Kudesa ndio nguzo ya elimu yetu......

Akadese nae awe na mpiechidiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…