Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Naye akachomokaUshahidi uliwekwa wa JPM akapoteza mtu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naye akachomokaUshahidi uliwekwa wa JPM akapoteza mtu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tuna MAVIlaza mengi sana nchi hiiMkuu kama huelewi kitu uwe tu unauliza ujuzwe.
Kweli huenda Kuna shida katika kusimamia ubora wa hizi PhD lakini si kwa kiwango unachoeleza.
Kwamba mtu anasoma coursework anapata PhD bila kufanya research?
Hamna kitu kama hiyo.
Kumbe nawe Mzaramo sikushangai tena kuanzia leoHongera mbunge wangu wa kisarawe anayesema ohh watu wa Pwani hawapendi elimu ajinyonge
Saivi wanazichapa huko huko [emoji2957][emoji2957]Naye akachomoka
NI KWELI MZEE pUNCH ALIUWA TISHIO NA ALIWAANDAMA SANA MABINTI. LAKINI KWA WALIMU SIKUSKIA MAANA KUSHINDA MITIHANI HAIKUHITAJI KUONGA, UNASOMA UNAPASS VEMA KABISA. WALIMU WALIKUWA WANAFUNDISHA VIZURI, UNAELWA, ANATUNGA MITHANI, UNAFAULU, KWISHA...Kwahiyo ina maana aunts zetu walituongopea?
Ninyi kipindi chenu pale Mlimani ilikuwa kawaida kwa wanaume kunyanyasa wanawake kijinsia. Binti ananyanyaswa kuanzia na lecturers hadi wanafunzi wenzake, akizidi ubishi anamaliziwa kabisa na MZEE PUNCH. Kumbuka suala la dada Levina Mukasa aliyejiua kwa sababu hiyo mwaka 1990.
Hujui wewe Pwani sio wazaramo tu yako makabila kibao Maraisi watatu wote asili yao Pwani Yuko Mzee Mwinyi ,Raisi Kikwete mkwere na Raisi wa Zanzibar wa sasa wakati wachaga na wahaya hawajawahi toa hata waziri mkuu na ujuaji waoKumbe nawe Mzaramo sikushangai tena kuanzia leo
Uandishi wa kiumbeyaumbeya, kimipashomipasho, vijembevijembe kama vile habari imetoka KisaraweKuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla.
Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote amefoji tu! Acheni hizo. Acheni wivu.
Kama na nyie mnataka kuwa 'doctor' kasomeni. Mwenzenu Jafo amebukua pale UDOM huku akiendelea na majukumu yake ya uwaziri, na leo anatunukiwa PhD yake.
Kuna jitu nimeona huko limeshaenda kufukua huko mitandaoni linadai hiyo thesis ya Jafo inafanana na ya nani sijui wa huko Kenya! Hivi, kati yako wewe wa madongo kuinama na maprofesa wa UDOM, ni nani mwenye uwezo wa kutambua kuwa thesis iko sahihi au la?
Unaamini kabisa kuwa unaweza kuwakosoa maprofesa waliomsimamia Jafo hadi leo anapomalizia defense?
Narudia: acheni wivu. Kama jambo huliwezi sema "siwezi", usiseme "haiwezekani". Jafo ameweza, wengine igeni, jifunzeni.
Hongera sana Selemani Jafo, PhD.
We mkwere tuHujui wewe Pwani sio wazaramo tu yako makabila kibao Maraisi watatu wote asili yao Pwani Yuko Mzee Mwinyi ,Raisi Kikwete mkwere na Raisi wa Zanzibar wa sasa wakati wachaga hawajawahi toa hata waziri mkuu na ujuaji wao
Pwani hoyeeee
Wahaya na wachaga hamjawahi toa hata waziri mkuu na ujuaji wenu Pwani imetoa maraisi watatu Mzee Mwinyi Hana hata digrii ana Diploma tu , pia Raisi wa Zanzibar katoka mkuranga Pwani .Pwani ikatoa Raisi Kikwete ana digrii moja tu wakati wachaga na wahaya mna midigrii mingi weeee ambayo mwisho wa siku haizalishi waziri mkuu Wala raisi mnaishia tu kuongea kiingereza kilichonyooka ambacho Kiko grammaticality correct!!!!We mkwere tu
Kuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla.
Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote amefoji tu! Acheni hizo. Acheni wivu.
Kama na nyie mnataka kuwa 'doctor' kasomeni. Mwenzenu Jafo amebukua pale UDOM huku akiendelea na majukumu yake ya uwaziri, na leo anatunukiwa PhD yake.
Kuna jitu nimeona huko limeshaenda kufukua huko mitandaoni linadai hiyo thesis ya Jafo inafanana na ya nani sijui wa huko Kenya! Hivi, kati yako wewe wa madongo kuinama na maprofesa wa UDOM, ni nani mwenye uwezo wa kutambua kuwa thesis iko sahihi au la?
Unaamini kabisa kuwa unaweza kuwakosoa maprofesa waliomsimamia Jafo hadi leo anapomalizia defense?
Narudia: acheni wivu. Kama jambo huliwezi sema "siwezi", usiseme "haiwezekani". Jafo ameweza, wengine igeni, jifunzeni.
Hongera sana Selemani Jafo, PhD.
Kawashangae na kuwadharau wahaya,wachaga na wanyakyusa wasomi wa kufa mtu ambao wanaongea kiingereza kilichonyooka ambacho hata malkia wa uingereza anawapigia makofi kwa usomi na kiingereza kizuri lakini hawajawahi toa Raisi Wala waziri mkuu na usomi wao toka Tanzania ipate Uhuru miaka 60 iliyopitaKumbe nawe Mzaramo sikushangai tena kuanzia leo
Wasomage tu hao urais hauwafai kabisaKawashangae wahaya,wachaga na wanyakyusa wasomi wa kufa mtu ambao wanaongea kiingereza kilichonyooka ambacho hata malkia wa uingereza anawapugia makofi kwa usomi na kiingereza kizuri lakini hawajawahi toa Raisi Wala waziri mkuu na usomi wao toka Tanzania ipate Uhuru miaka 60 iliyopita
Kuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla.
Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote amefoji tu! Acheni hizo. Acheni wivu.
Kama na nyie mnataka kuwa 'doctor' kasomeni. Mwenzenu Jafo amebukua pale UDOM huku akiendelea na majukumu yake ya uwaziri, na leo anatunukiwa PhD yake.
Kuna jitu nimeona huko limeshaenda kufukua huko mitandaoni linadai hiyo thesis ya Jafo inafanana na ya nani sijui wa huko Kenya! Hivi, kati yako wewe wa madongo kuinama na maprofesa wa UDOM, ni nani mwenye uwezo wa kutambua kuwa thesis iko sahihi au la?
Unaamini kabisa kuwa unaweza kuwakosoa maprofesa waliomsimamia Jafo hadi leo anapomalizia defense?
Narudia: acheni wivu. Kama jambo huliwezi sema "siwezi", usiseme "haiwezekani". Jafo ameweza, wengine igeni, jifunzeni.
Hongera sana Selemani Jafo, PhD.
Raisi Lini alipigiwa kura ? Si watu hukimbizana Na mabegi ya kura feki Na watu wengine kupigwa risasiKawashangae na kuwadharau wahaya,wachaga na wanyakyusa wasomi wa kufa mtu ambao wanaongea kiingereza kilichonyooka ambacho hata malkia wa uingereza anawapigia makofi kwa usomi na kiingereza kizuri lakini hawajawahi toa Raisi Wala waziri mkuu na usomi wao toka Tanzania ipate Uhuru miaka 60 iliyopita
Kuna mwanataalama yupo UDOM kanidokeza kwamba hiyo kazi ilifanya kenya wilaya ya Garisa unaweza ku-google "The influence of socio-cultural and economic factors on the academic performance of secondary school students in Garisa District, Kenya". Alichokifanya huyu wa Tanzania ni kubadilisha na kuchomeka baadhi ya maneno ili kuzuga zuga tu.Ila kwa plagiarism check up hairuhusiwi ku copy kazi ya mtu ina maana Udom hawana au ndio chuo Cha kata.
Maana plagiarism kwenye academic ni kosa kubwa ka uhujumu uchumi ulivo
Hongera mbunge wangu wa kisarawe anayesema ohh watu wa Pwani hawapendi elimu ajinyonge
Kuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla.
Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote amefoji tu! Acheni hizo. Acheni wivu.
Kama na nyie mnataka kuwa 'doctor' kasomeni. Mwenzenu Jafo amebukua pale UDOM huku akiendelea na majukumu yake ya uwaziri, na leo anatunukiwa PhD yake.
Kuna jitu nimeona huko limeshaenda kufukua huko mitandaoni linadai hiyo thesis ya Jafo inafanana na ya nani sijui wa huko Kenya! Hivi, kati yako wewe wa madongo kuinama na maprofesa wa UDOM, ni nani mwenye uwezo wa kutambua kuwa thesis iko sahihi au la?
Unaamini kabisa kuwa unaweza kuwakosoa maprofesa waliomsimamia Jafo hadi leo anapomalizia defense?
Narudia: acheni wivu. Kama jambo huliwezi sema "siwezi", usiseme "haiwezekani". Jafo ameweza, wengine igeni, jifunzeni.
Hongera sana Selemani Jafo, PhD.
Nadhani Kuna rushwa hapa na wahadhiri kujipendekeza kwa Waziri na wengine kuhongwa, maana kwa vyuoni kazi yako uki copy ni kosa kubwa why wapitishe ya Jafo?Kuna mwanataalama yupo UDOM kanidokeza kwamba hiyo kazi ilifanya kenya wilaya ya Garisa unaweza ku-google "The influence of socio-cultural and economic factors on the academic performance of secondary school students in Garisa District, Kenya". Alichokifanya huyu wa Tanzania ni kubadilisha na kuchomeka baadhi ya maneno ili kuzuga zuga tu.
Hahahaaaaa . . . Non optimal apologiesKusoma Sana Ni uwoga wa maisha au kujitaabisha kwa ajili ya umashuhuri..yote Ni kujilisha upepo