EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Kaedit book zima kuanzia heading hadi conclusionConclusion angefikiaje bila data?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaedit book zima kuanzia heading hadi conclusionConclusion angefikiaje bila data?
Ni sawa na Masters ya Aloyce Kwezi hapo Tumaini Iringa. Alikuwa anasoma jioni. Jamaa hawezi hata kuongea na kuandika jina lake anapewa na A tu. Maisha haya.Hivi hawa maprof wa bongo wana lakuhoji kwa mawaziri?
Nenda Mzumbe ya Dar uone vilaza kabisa wanaokota masters.
Kuna mtumishi mwenzangu ofisi ya zamani alipewa title ya research na the so called Mwaijande. Hajui hata "research gap" ni nini ila nasikitika kukuambia anagraduate mwaka huu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mada imeletwa na mazaramo kwa maneno na mbwembwe nyingi! 🤣Kwani Jaffo ndiye mzaramo wakwanza kupata PhD ? Mbona kelele sana?
Lisu level nyingine , huyu mwache siyo wa kumzungumzia na Hawa chekecheaAkili ya lissu na Experience alonayo ni sawa na PhDs 400 zilizoko CCM
Wapo watu kazi yao kuandikia watu. India,Kenya,Nigeria ndio usiseme
Sasa kama unaweza kumlipa mtu hadi m5 akuandikie PhD thesis utashindwa kutoa m2 ili uandikiwe machapisho mawili tu? Mbona kazi rahisi sana hiyo!?Watu mnajua kuongea aisee, Kigezo cha kwanza kupata PhD lazima upublish paper/s kwenye journal inayotambulika duniani, Na kuna vyuo vingine hawakupi hiyo PhD mpaka upublish papers kuanzia 2 na kuendelea!! Sasa hiyo shughuli ya kupublish hizo papers kwenye reputable journals usimuliwe tu na watu, siyo ya kitoto, sidhani kama kuna mtu anaweza kukufanyia hilo kirahisi namna hiyo! Vyuo serious havina mpango na thesis report, huwa wanaichukulia kama formalities tu, mambo yote ni publications
Kwa Tanzania au Africa PHD au proffesor ni title tu lakini hazinaga msaada kwenye ground..... muulize sasa PHD yake ina msaada gani kwenye jamii yake au nini amefanya kupitia elimu yake na kuisaidia nchi zaidi ya kuwa na kadi ya CCM...
Binafsi naona bora hata tuwe na viongozi masela au wenye elimu ya degree kuanzia second class kwenda chini....hawa wengi halafu ukakuta masela huwa wako real, wengi waliosoma vizuri hapa Tanzania huishia kuwa wapumbavu tu..
Nina rafiki Prof at Mzumbe UDSM wing.... a very close friend anafanya hayo..... watoto wetu can not write a thesis nakwambia. Nina mifano hai sana ni hivyo hatupashi kujuana humu ningelikutajia.. i vizuri mama D
Kuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla.
Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote amefoji tu! Acheni hizo. Acheni wivu.
Kama na nyie mnataka kuwa 'doctor' kasomeni. Mwenzenu Jafo amebukua pale UDOM huku akiendelea na majukumu yake ya uwaziri, na leo anatunukiwa PhD yake.
Kuna jitu nimeona huko limeshaenda kufukua huko mitandaoni linadai hiyo thesis ya Jafo inafanana na ya nani sijui wa huko Kenya! Hivi, kati yako wewe wa madongo kuinama na maprofesa wa UDOM, ni nani mwenye uwezo wa kutambua kuwa thesis iko sahihi au la?
Unaamini kabisa kuwa unaweza kuwakosoa maprofesa waliomsimamia Jafo hadi leo anapomalizia defense?
Narudia: acheni wivu. Kama jambo huliwezi sema "siwezi", usiseme "haiwezekani". Jafo ameweza, wengine igeni, jifunzeni.
Hongera sana Selemani Jafo, PhD.
Ph.D. siyo cheti boss! Anapoongea, hiyo Ph.D unaina au ni yule yule Jaffo wa NGO?Kuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla.
Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote amefoji tu! Acheni hizo. Acheni wivu.
Kama na nyie mnataka kuwa 'doctor' kasomeni. Mwenzenu Jafo amebukua pale UDOM huku akiendelea na majukumu yake ya uwaziri, na leo anatunukiwa PhD yake.
Kuna jitu nimeona huko limeshaenda kufukua huko mitandaoni linadai hiyo thesis ya Jafo inafanana na ya nani sijui wa huko Kenya! Hivi, kati yako wewe wa madongo kuinama na maprofesa wa UDOM, ni nani mwenye uwezo wa kutambua kuwa thesis iko sahihi au la?
Unaamini kabisa kuwa unaweza kuwakosoa maprofesa waliomsimamia Jafo hadi leo anapomalizia defense?
Narudia: acheni wivu. Kama jambo huliwezi sema "siwezi", usiseme "haiwezekani". Jafo ameweza, wengine igeni, jifunzeni.
Hongera sana Selemani Jafo, PhD.
Kwahiyo wahitimu wa PhD hawapewi vyeti?Ph.D. siyo cheti boss! Anapoongea, hiyo Ph.D unaina au ni yule yule Jaffo wa NGO?
Kawashangae na kuwadharau wahaya,wachaga na wanyakyusa wasomi wa kufa mtu ambao wanaongea kiingereza kilichonyooka ambacho hata malkia wa uingereza anawapigia makofi kwa usomi na kiingereza kizuri lakini hawajawahi toa Raisi Wala waziri mkuu na usomi wao toka Tanzania ipate Uhuru miaka 60 iliyopita
Kupublish paper kwenye reputable journals hata sio kazi kivile tusitishane🐒Watu mnajua kuongea aisee, Kigezo cha kwanza kupata PhD lazima upublish paper/s kwenye journal inayotambulika duniani, Na kuna vyuo vingine hawakupi hiyo PhD mpaka upublish papers kuanzia 2 na kuendelea!! Sasa hiyo shughuli ya kupublish hizo papers kwenye reputable journals usimuliwe tu na watu, siyo ya kitoto, sidhani kama kuna mtu anaweza kukufanyia hilo kirahisi namna hiyo! Vyuo serious havina mpango na thesis report, huwa wanaichukulia kama formalities tu, mambo yote ni publications
RubbishKuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla.
Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote amefoji tu! Acheni hizo. Acheni wivu.
Kama na nyie mnataka kuwa 'doctor' kasomeni. Mwenzenu Jafo amebukua pale UDOM huku akiendelea na majukumu yake ya uwaziri, na leo anatunukiwa PhD yake.
Kuna jitu nimeona huko limeshaenda kufukua huko mitandaoni linadai hiyo thesis ya Jafo inafanana na ya nani sijui wa huko Kenya! Hivi, kati yako wewe wa madongo kuinama na maprofesa wa UDOM, ni nani mwenye uwezo wa kutambua kuwa thesis iko sahihi au la?
Unaamini kabisa kuwa unaweza kuwakosoa maprofesa waliomsimamia Jafo hadi leo anapomalizia defense?
Narudia: acheni wivu. Kama jambo huliwezi sema "siwezi", usiseme "haiwezekani". Jafo ameweza, wengine igeni, jifunzeni.
Hongera sana Selemani Jafo, PhD.
Ni uchafu mtupu hakuna lolotePhD za bongo wanapeana tu na ni kutaka tu ile prefix ya Dr.
Haya niambie zinaleta TIJA gani kwenye jamii?
That's exactly what you are!Rubbish
[emoji851][emoji851][emoji851]Ni uchafu mtupu hakuna lolote
Umenifurahisha Wallahi, maana hawa dharau kwa wenzao hawajambo!Wewe baba mzima ungekua unajua kitu usingekua hapa kuponda PhD ya mwanaume mwenzio
Ndio ushafeli hivyo😂😂😂😂
Halafu nitakualika usiku wa vyombo maana unayaweza kweli mwenzangu
Hiyo PhD yake itasaidia nini zaidi ya sifaThat's exactly what you are!