Frida Vumilia KYESI
Member
- Jan 13, 2023
- 93
- 109
Mama huyoAngela Kairuki anarushwarushwa tu, sijaona tija yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama huyoAngela Kairuki anarushwarushwa tu, sijaona tija yake.
Bila elimu utapata wapiMAGUFULI HAMKUSEMA YEYE MDINI,ILA KIKWETE AKAWA MDINI PAMOJA YA KWAMBA NAFASI NYINGI MNAZO NYINYI,
HUYU SAMIA PAMOJA NA KWAMBA NAFASI NYINGI ANAWAWEKA NYINYI,BADO MNAMSEMA LUGHA ZA HOVYO,ENDELEENI KUSEMA SASA..
Katika Teuzi na haya mabadiliko yako uliyoyatangaza,Nafasi ziko 16,waislam ni wawili tuh na wakristo wako 14.
Nawahakikishia laiti hili lingekuwa vice versa hii nchi kila kona ungeskia kelele na kusingekalika.
1. Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Doto Biteko (MKRISTO)kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Awali alikuwa Waziri wa Madini.
2. Amemteua January Makamba (MUISLAM) kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali alikuwa Waziri wa Nishati.
3. Amemhamisha Balozi Pindi Chana (MKRISTO) kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Awali alikuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
4. Amemhamisha Steven Byabato (MKRISTO)kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali, Byabato alikuwa Naibu Waziri wa Nishati.
5. Amemteua Jerry Silaa (MKRISTO)kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Silaa ni Mbunge wa Ukonga, Dar es Salaam.
6. Rais amemteua Anthony Mavunde(MKRISTO) kuwa waziri wa madini, mwanzo alikuwa naibu waziri wa kilimo.
7. Prof Makame Mbarawa (MUISLAM) aliyekuwa waziri wa ujenzi na uchukuzi amekuwa waziri wa uchukuzi.
8. Innocent Bashungwa (MRISTO)amekuwa waziri wa ujenzi, mwanzo alikuwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa.
9. Godfrey Kasekenya (MKRISTO) aliyekuwa Naibu waziri wa Ujenzi na uchukuzi ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Ujenzi
10. Alexander Mnyeti (MKRISTO) ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Kilimo
11. David Mwakiposa (MKRISTO)Kihenzile ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Uchukuzi. Ni mbunge wa Jimbo la Mufindi
12. Judith Kapinga (MKRISTO) ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa nishati, ni mbunge wa viti maalum Ruvuma.
13. Dunstan Kitandula (MKRISTO)ameteuliwa Naibu Waziri wa maliasili na Utalii, ni mbunge wa Mkinga
14. Stergomena Tax (MKRISTO)amehamishwa wizara ya mambo ya Nje kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
15. Angellah Kairuki (MKRISTO)amehamishwa kutoka TAMISEMI na kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii
16. Dkt. Damas Ndumbaro (MKRISTO) amehamishwa kutoka Wizara ya Katiba ba Sheria na kuwa Waziri wa Utamaduni
Hongera sana kwa kuwa na moyo wa ujasiri na uthubutu.
Unafikiri Kariuki, Ndumbaro, Slaa,Mwigulu wanamsaada gani kwa mkristro?MAGUFULI HAMKUSEMA YEYE MDINI,ILA KIKWETE AKAWA MDINI PAMOJA YA KWAMBA NAFASI NYINGI MNAZO NYINYI,

Mkristo au muislamu mwenzako anakuletea ugali au bill ya watoto shuleni..WEKA HUO MKEKA TUONE,ACHENI KUJITOA UFAHAM

Swala sio udini kipindi wakishika waislamu.mikashifa mikubwa ya kutisha mingi mno sijui loliondo,sijui wanyama kubebwa ,sijui mikataba ya IPTL ,Sijui bandariMAGUFULI HAMKUSEMA YEYE MDINI,ILA KIKWETE AKAWA MDINI PAMOJA YA KWAMBA NAFASI NYINGI MNAZO NYINYI,
HUYU SAMIA PAMOJA NA KWAMBA NAFASI NYINGI ANAWAWEKA NYINYI,BADO MNAMSEMA LUGHA ZA HOVYO,ENDELEENI KUSEMA SASA..
Katika Teuzi na haya mabadiliko yako uliyoyatangaza,Nafasi ziko 16,waislam ni wawili tuh na wakristo wako 14.
Nawahakikishia laiti hili lingekuwa vice versa hii nchi kila kona ungeskia kelele na kusingekalika.
1. Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Doto Biteko (MKRISTO)kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Awali alikuwa Waziri wa Madini.
2. Amemteua January Makamba (MUISLAM) kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali alikuwa Waziri wa Nishati.
3. Amemhamisha Balozi Pindi Chana (MKRISTO) kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Awali alikuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
4. Amemhamisha Steven Byabato (MKRISTO)kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali, Byabato alikuwa Naibu Waziri wa Nishati.
5. Amemteua Jerry Silaa (MKRISTO)kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Silaa ni Mbunge wa Ukonga, Dar es Salaam.
6. Rais amemteua Anthony Mavunde(MKRISTO) kuwa waziri wa madini, mwanzo alikuwa naibu waziri wa kilimo.
7. Prof Makame Mbarawa (MUISLAM) aliyekuwa waziri wa ujenzi na uchukuzi amekuwa waziri wa uchukuzi.
8. Innocent Bashungwa (MRISTO)amekuwa waziri wa ujenzi, mwanzo alikuwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa.
9. Godfrey Kasekenya (MKRISTO) aliyekuwa Naibu waziri wa Ujenzi na uchukuzi ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Ujenzi
10. Alexander Mnyeti (MKRISTO) ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Kilimo
11. David Mwakiposa (MKRISTO)Kihenzile ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Uchukuzi. Ni mbunge wa Jimbo la Mufindi
12. Judith Kapinga (MKRISTO) ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa nishati, ni mbunge wa viti maalum Ruvuma.
13. Dunstan Kitandula (MKRISTO)ameteuliwa Naibu Waziri wa maliasili na Utalii, ni mbunge wa Mkinga
14. Stergomena Tax (MKRISTO)amehamishwa wizara ya mambo ya Nje kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
15. Angellah Kairuki (MKRISTO)amehamishwa kutoka TAMISEMI na kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii
16. Dkt. Damas Ndumbaro (MKRISTO) amehamishwa kutoka Wizara ya Katiba ba Sheria na kuwa Waziri wa Utamaduni
Hongera sana kwa kuwa na moyo wa ujasiri na uthubutu.
Inawezekana ni nguvu ya vatican ndiyo inaongoza nchi.Katika Teuzi na haya mabadiliko yako uliyoyatangaza,Nafasi ziko 16,waislam ni wawili tuh na wakristo wako 14.

Nape, Makamba, Bashe, Ummy, Mwigulu, Mbarawa, Masauni ni watu wa kuwaacha kweli?Upanguaji kwa nafikiri unaangalia tu yupi anawafaa viongozi wa juu sio kule kwa wananchi kuwa kawasaidia nini au atawasaidia nini wananchi wa kawaida mfano ni hiyo barabara .Labda sasa kabaki.mbunge labda atapiga miyowe labda
Barabara ya kule jimbo la Mwakibete Katumba hadi Mwakaleli hovyo lakini akapewa cheo cha unaibu waziri
Unafurahia? Umasikini ni Mbaya sana,Mabula anaenda kuungana na Mabula kuuliza maswali ya nyongeza, shikamoo siasa
Vipi bashe amebaki?Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumatano Agosti 30, 2023 amefanya mabadiliko Baraza la Mawaziri ambapo Waziri mmoja na Manaibu wawili wameachwa na nafasi zao zimechukuliwa na wengine.
View attachment 2733703
Aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula
Miongoni mwa walioachwa ni aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula ambaye nafasi yake imechukuliwa na Jerry Silaha Mbunge wa Ukonga.
Pia, aliyekuwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja naye ameachwa huku nafasi hiyo ikichukuliwa na Dunstan Kitandula.
Mwingine aliyeachwa ni aliyekuwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete ambapo kwa sasa wizara hiyo imegawanywa mara mbili; upande wa Ujenzi Rais Samia amemteua Godfrey Kasekenya kuwa Naibu Waziri na Uchukuzi amemteua David Kihenzile kuwa Naibu Waziri.
Mabadiliko haya yanatokea ikiwa ni siku 56 tangu afanye mabadiliko madogo katika baraza hilo kwa kuigawa Wizara ya Fedha na Mipango pamoja na Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara na kuunda Wizara tatu; Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Wizara ya Fedha na Wizara ya Viwanda na Biashara.
Ambapo alimteua Mbunge wa Ubungo Profesa Kitila Mkumbo kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji.
Pia alimteua aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Fedha.
KabisaSwala sio udini kipindi wakishika waislamu.mikashifa mikubwa ya kutisha mingi mno sijui loliondo,sijui wanyama kubebwa ,sijui mikataba ya IPTL ,Sijui bandari
Inachosha ujue
Swala sio nani yuko juu na wengi nani tumechoka mikashifa mikubwa ya wizi kuwa mingi ya kuibia wananchi mchana kweupe
Hata wangejaa waislamu watupu hakuna shida kama rasilimali za nchi zinakuwa salama
Haiwezekani ukope yale mabilioni yote eti ni ya kuendesha semina na vikao, Bunge letu ni shida.Mabula anaenda kuungana na Mabula kuuliza maswali ya nyongeza, shikamoo siasa
Asubuhi kaenda na gari ya wizara, mchana ana kuja kuchukuliwa na bajaj.Mabula anaenda kuungana na Mabula kuuliza maswali ya nyongeza, shikamoo siasa
Wameondolewa wakristo pekee waislamu wote wapo salamaVipi bashe amebaki?
Katika Teuzi na haya mabadiliko yako uliyoyatangaza,Nafasi ziko 16,waislam ni wawili tuh na wakristo wako 14.
Nawahakikishia laiti hili lingekuwa vice versa hii nchi kila kona ungeskia kelele na kusingekalika.
1. Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Doto Biteko (MKRISTO)kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Awali alikuwa Waziri wa Madini.
2. Amemteua January Makamba (MUISLAM) kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali alikuwa Waziri wa Nishati.
3. Amemhamisha Balozi Pindi Chana (MKRISTO) kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Awali alikuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
4. Amemhamisha Steven Byabato (MKRISTO)kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali, Byabato alikuwa Naibu Waziri wa Nishati.
5. Amemteua Jerry Silaa (MKRISTO)kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Silaa ni Mbunge wa Ukonga, Dar es Salaam.
6. Rais amemteua Anthony Mavunde(MKRISTO) kuwa waziri wa madini, mwanzo alikuwa naibu waziri wa kilimo.
7. Prof Makame Mbarawa (MUISLAM) aliyekuwa waziri wa ujenzi na uchukuzi amekuwa waziri wa uchukuzi.
8. Innocent Bashungwa (MRISTO)amekuwa waziri wa ujenzi, mwanzo alikuwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa.
9. Godfrey Kasekenya (MKRISTO) aliyekuwa Naibu waziri wa Ujenzi na uchukuzi ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Ujenzi
10. Alexander Mnyeti (MKRISTO) ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Kilimo
11. David Mwakiposa (MKRISTO)Kihenzile ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Uchukuzi. Ni mbunge wa Jimbo la Mufindi
12. Judith Kapinga (MKRISTO) ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa nishati, ni mbunge wa viti maalum Ruvuma.
13. Dunstan Kitandula (MKRISTO)ameteuliwa Naibu Waziri wa maliasili na Utalii, ni mbunge wa Mkinga
14. Stergomena Tax (MKRISTO)amehamishwa wizara ya mambo ya Nje kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
15. Angellah Kairuki (MKRISTO)amehamishwa kutoka TAMISEMI na kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii
16. Dkt. Damas Ndumbaro (MKRISTO) amehamishwa kutoka Wizara ya Katiba ba Sheria na kuwa Waziri wa Utamaduni
Hongera sana kwa kuwa na moyo wa ujasiri na uthubutu.
Kweli kabisa , inatakiwa uchama uwekwe pembeni , wachaguliwe watu kwa uwezo wao hata kama mtu hana chama au ni kutoka upinzani. Muhimu ni uzalendo ambao kwa kiasi kikubwa umetowekaHata tupangue vipi hizi wizara, kama hatutoacha mfumo ufanye Kazi inavyotakiwa basi haya mabadiliko hayana maana.
Hata myahudi mmoja hayumo , tutamwomba mama akuchaguwe japo mjumbe wa nyumba kumiWameondolewa wakristo pekee waislamu wote wapo salama
Zinawagawanya watu sana, kiuchumi, kiakili, kifikra, na kisiasa.Shikamoo siasa