butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,640
- 7,943
Unsebo ugho ghwabunigwe Malafyale!Hata mimi mkulima wa Parachichi pale Suma Nditu nakubaliana na wewe. Ukitaka kwenda Lwangwa kwa njia hiyo ukiwa na gari ndogo ni almost haiwezekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unsebo ugho ghwabunigwe Malafyale!Hata mimi mkulima wa Parachichi pale Suma Nditu nakubaliana na wewe. Ukitaka kwenda Lwangwa kwa njia hiyo ukiwa na gari ndogo ni almost haiwezekani
Suma wameacha kulima ndizi siku hizi wanalima parachichiHata mimi mkulima wa Parachichi pale Suma Nditu nakubaliana na wewe. Ukitaka kwenda Lwangwa kwa njia hiyo ukiwa na gari ndogo ni almost haiwezekani
Huo usikivu ameupata lini ?!!Nakupa pole humjui Jerry Silaa, hapo ndio amepata fursa ya kutengeneza pesa za kampeni.
Wengi huwa hamjui kama Jerry ni Mchaga.
Tunafuata mfumo wa commonwealth country kwahiyo sio rahisi kuchomoka huko, labda wateule wote wa rais wazibitishwe na bunge lkn sio bunge hili ambalo halina meno.Ukiwaacha hawa kwenye hilo bunge la Mahoka utamteuwa nani?
Tatizo linaanzia kwa aina ya watu wanaopitishwa kugombea ubunge
Dawa ya jambo hili wabunge wasiwe mawaziri, Rais awe na mamlaka ya kumteuwa Mtanzania yeyote kuwa Waziri.
Mwandosya nilishukuru Mungu kupigwa chiniKweli Mkuu hiyo Barabara Mimi tangu nipo mdogo na sasa Nina miaka 40,naenda Mwakaleli kwa Babu Barabara hiyo haina lami mpaka leo,achilia Mwakibete pia Mwandosya kwao pia aanapita hiyo njia,sasa sijui shida ni nini!
Hivi hili linaweza kupunguza pressure Juu ya mjadala wa Bandari!!! Tujur hatima ya Bandari na umiliki wa DP worldMabadiliko kila baada ya siku 56. Ukiwa na bahati. Huu umeshakuwa mchezo.
Kuna vya ndege vinajengwa mikoa mbalimbali huwa ni hitaji la viongozi sio wananchiKweli Mkuu hiyo Barabara Mimi tangu nipo mdogo na sasa Nina miaka 40,naenda Mwakaleli kwa Babu Barabara hiyo haina lami mpaka leo,achilia Mwakibete pia Mwandosya kwao pia aanapita hiyo njia,sasa sijui shida ni nini!
Hao ndio ''Nape, Makamba, Bashe, Ummy, Mwigulu, Mbarawa, Masauni ni watu wa kuwaacha kweli?
Tangu wadogo gesi IPO,lkn lami hakuna.inaudhi sanaAtupele Mwakibete halali yake kutemwa hajafanya chochote jimboni kwake
Barabara ya kutoka Katumba hadi mwakaleli taabu tupu wakati hiyo barabara ndiko kunatoka gesi na chai inayoingizia Chi pesa za kigeni kwa wingi
Yaani serikali inavuna pesa kule lakini kutengeneza barabara hawataki na Mwakibete wao
Jamaa nimesoma nae, ila siku anatangazwa mbunge nilishangaa sanaAtupele Mwakibete halali yake kutemwa hajafanya chochote jimboni kwake
Barabara ya kutoka Katumba hadi mwakaleli taabu tupu wakati hiyo barabara ndiko kunatoka gesi na chai inayoingizia Chi pesa za kigeni kwa wingi
Yaani serikali inavuna pesa kule lakini kutengeneza barabara hawataki na Mwakibete wao
Jerry ni mbuluNakupa pole humjui Jerry Silaa, hapo ndio amepata fursa ya kutengeneza pesa za kampeni.
Wengi huwa hamjui kama Jerry ni Mchaga.
Huyu Samia anadanganywa sana na mkwere na ndiye anayempeleka shimoni! Leo ameteua wajumbe wa baraza la mipango, kati ya wanne walioteuliwa wawili walikuwa ndio madalali wakubwa kwenye ubinafsishaji wa mashirika ya umma!! Ami Mpungwe ndiye dalali makubwa wa makampuni ya makaburu kuja kununua rasilimali zetu kwa bei ya kutupa ikiwemo benki ya NBC, Kilombero Sugar, TBL pamoja na TANZANITE ONE!Kuna kitu labda kashtuka
Kuwa kuna mahali watu wanamdanganya na kumpeleka kusiko na minong'ono yao ya kumnong'oneza ya uongo
Uongo na udanganyifu huwa una mwisho
Mtu hadanganyiki milele
Huyu Samia anadanganywa sana na mkwere na ndiye anayempeleka shimoni! Leo ameteua wajumbe wa baraza la mipango, kati ya wanne walioteuliwa wawili walikuwa ndio madalali wakubwa kwenye ubinafsishaji wa mashirika ya umma!! Ami Mpungwe ndiye dalali makubwa wa makampuni ya makaburu kuja kununua rasilimali zetu kwa bei ya kutupa ikiwemo benki ya NBC, Kilombero Sugar, TBL pamoja na TANZANITE ONE! Mwenzie Omar ISSA ndiye aliyekuwa dalali wa kuwauziua wahindi TTCL ambayo baadae Magufuli alikuja kuinunua upya na kuirudisha serikalini!! Huyu huyu Omar Issa ndio alimletea Mkwere mradi wa mkopo toka World Bank ukiitwa BEST RESULTS NOW ambao alipoingia Ikulu, Magufuli aliufutilia mbali akiuita mradi wa UPIGAJI!!
Sasa hawa madalali ndio Samia ameshauriwa na mkwere awateuwe kwenye tume ya mipango unategemea nini? Ni muendelezo wa upigaji wao wa kifisadi basi.
Akili yako ipo likizo .Wameondolewa wakristo pekee waislamu wote wapo salama
KabisaTangu wadogo gesi IPO,lkn lami hakuna.inaudhi sana
Gesture Mongela aliongea ka clip.fulani akihutubia kuwa Samia amskie aachane na washauri wanaume wanapotosha hadi duniaHuyu Samia anadanganywa sana na mkwere na ndiye anayempeleka shimoni! Leo ameteua wajumbe wa baraza la mipango, kati ya wanne walioteuliwa wawili walikuwa ndio madalali wakubwa kwenye ubinafsishaji wa mashirika ya umma!! Ami Mpungwe ndiye dalali makubwa wa makampuni ya makaburu kuja kununua rasilimali zetu kwa bei ya kutupa ikiwemo benki ya NBC, Kilombero Sugar, TBL pamoja na TANZANITE ONE! Mwenzie Omar ISSA ndiye aliyekuwa dalali wa kuwauziua wahindi TTCL ambayo baadae Magufuli alikuja kuinunua upya na kuirudisha serikalini!! Huyu huyu Omar Issa ndio alimletea Mkwere mradi wa mkopo toka World Bank ukiitwa BEST RESULTS NOW ambao alipoingia Ikulu, Magufuli aliufutilia mbali akiuita mradi wa UPIGAJI!!
Sasa hawa madalali ndio Samia ameshauriwa na mkwere awateuwe kwenye tume ya mipango unategemea nini? Ni muendelezo wa upigaji wao wa kifisadi basi.
Kibwingu mkuu huo anachekesha kweli ,January yeye kapewa wizara nyingine licha ya kuvurunda, yule anayenfanya kazi kwa bidii eti ndo anetolewa sawa tusubiri tuoneRais Samia Suluhu Hassan leo Jumatano Agosti 30, 2023 amefanya mabadiliko Baraza la Mawaziri ambapo Waziri mmoja na Manaibu wawili wameachwa na nafasi zao zimechukuliwa na wengine.
o, Dk. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Fedha.
Hii Barbara katumba to mwakaleli imo ktk mpango wa tanrod.Huyu kijana kilichomponza sio chawa sana kama wengine na ikizingatiwa Mwabukusi ni mzaliwa wa Busokelo kilichotokea kilitegemewa. Otherwise ni mchapakazi mzuriMwandosya nilishukuru Mungu kupigwa chini
Alipigania uwanja wa ndege awe tu na nyodo zake apande ndege Dar hadi mbeya au akitoka nje
Uwanja wa ndege ule halikuwa hitaji la wanambeya mbeya kunalimwa sana ndizi, viazi mviringo,mpunga,chai,mbao nk na kuna gesi
Vyote hivyo hakuna kinahitaji ndege vinasafirishwa na magari
Mwandosya naye alikuwa mjinga fulani hivi na u Uproffesa wake
Alitakiwa kupigania kujenga barabara ya katumba hadi Mwakaleli akiwa mbunge
Uwanja wa ndege ule haukutakiwa kuwepo wanapanda tu wafanyabiashara wachache wakinga walioko Mbeya mjini na viofisa vya serikali vichache vya mahakama, bunge na serikali na taasisi Vienda kikazi mbeya kwa gharama za taasisi zao
Kule kinahitajika zaidi barabara sio hilo wanja la ndege la Mwandosya mpenda ndege