Mawaziri waliotemwa katika mabadiliko ya Baraza la Mawaziri

Bila elimu utapata wapi
 
Unafikiri Kariuki, Ndumbaro, Slaa,Mwigulu wanamsaada gani kwa mkristro?

January Makamba, Nape, KikweteJr, Wanamsaada gani kwa Mwislamu wa kawaida?

Kalemani, Lukuvi, Polepole, labda hata tuwaweke Dr Shivji, Dr Slaa, Mwakabusi, Lissu watakuwa na tija wewe kupata umeme, maji, mikataba mizuri,kodi, tozo rafiki huangalii dini, Uzalendo zaidi. Serikali za kizalendo.
 
Mkristo au muislamu mwenzako anakuletea ugali au bill ya watoto shuleni.

Kila mtu anahangaika familia yake. Uislam au ukristo hautakupa tija yyte kimaisha bila we kupambana na mazingira yako.

Wew Uko Namtumbo anateuliwa mkristo au muislamu wa Muleba mwenya baba na mama na familia yake. Wew kule Namtumbo unafaidika Nini?

Upuuzi upuuzi tu.
 
Swala sio udini kipindi wakishika waislamu.mikashifa mikubwa ya kutisha mingi mno sijui loliondo,sijui wanyama kubebwa ,sijui mikataba ya IPTL ,Sijui bandari

Inachosha ujue

Swala sio nani yuko juu na wengi nani tumechoka mikashifa mikubwa ya wizi kuwa mingi ya kuibia wananchi mchana kweupe

Hata wangejaa waislamu watupu hakuna shida kama rasilimali za nchi zinakuwa salama
 
Inawezekana ni nguvu ya vatican ndiyo inaongoza nchi.
 
Nape, Makamba, Bashe, Ummy, Mwigulu, Mbarawa, Masauni ni watu wa kuwaacha kweli?
 
Vipi bashe amebaki?
 
Kabisa
 

Uko sawa kabisa
 
LABDA JERRY ATAWEZA KUMALIZA SHIDA NA MATATIZO NA DHULMA KATIKA WIZARA HII SUGU.
JERRY KATIKA UTENDAJI WAKO ITAKULAZIMU UTENGE MUDA WA KUSIKILIZA MATATIZO YA WANANCHI WEWE MWENYEWE, MAANA HATA UBADILISHE VIPI MAKAMISHNA HAITAKUSAIDIA KITU CHOCHOTE, MAANA WANAPOFIKA TU WAZEE WA JIJI HUWAWEKA FASTA MIKONONI KWA MSAADA WA WATUMISHI WAKONGWE, DAWATI LA KINONDONI.
*JERRY, KILA LA HERI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…