Tetesi: Mawaziri wanaoingiliwa majukumu na RC Makonda kuanza vikao kumjadili

Kama kaloga basi alikuwa Uche wa mnyama.
 
Hii nchi kwa sasa inaongozwa na watu wawili ndiyo maana sishangai mambo ya ajabu yanayoendelea nchini mwetu!!
 
Wakae tu hivyo vikao vya harusi
Makonda anashghulika na eneo lake la kazi ambalo ni Dar tu,kama kuna waziri ana tatizo akamshitaki kwa majaliwa au Samia au Magufuli
 
Sasa naanza kuamini kuna kitu kati ya bwana huyu na bwana Yule siku tutasikia bwana huyu kaamrisha vikosi vya JWTZ vilivyopo dar viwalipue na mizinga wote Walioko ndani ya mita 100 za hifadhi ya barabara
 
Eti eeeh
Basi hii ndio..inaanzae

Informal power
Iformal intelligence structures
Informal millitary structure
Informal financial structure
Informal logictics and procurement structure

Informal political structure

You're right 100%! K.m. kuna watu wa chini ndani ya vyombo vya dola wanaoogopwa sana na mabosi wao. Wanaweza kutekeleza mauaji (assassination) bila mabosi wao kuhusika wala kuelewa kilichotokea kwani maagizo na mipangilio hutoka kusikojulikana.
 
Unasema ?

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
timu wazibuliwa mitaro.

Naona umeniandikia kuonyesha hayo ndiyo umekulia unatendwa.. sio mwiko ulipokulia.. eeeeh unayajua wewe hadi unaonyesha umeandika kwa furaha na kutamani udaku juu ya wengine uwe ni kweli.
 
BASHITE ANA MAMLAKA KUZITI HATA NANILII...LABDA TUSEME PM
 

Lakin mange aliyesema mi nimefanya kuuliza tu,
 
Huyo jamaa bado anauwezo wa "kuwaingilia" watu kweli? Si inasemekana raia wanazibua "mtaro"

Mr. PRESIDENT WHERE IS MY NOAH BEFORE I GOT 10 SHOTS.
Tehe tehe tehe, we mamawe mbavu zangu!
 
bashite is a threat in this regime,they have to stay with that precaution....
 
Usikute hapo kichwani mwake alikuwa anaota ndoto za alinacha na kuassume keshakua "head of state"
 
Iddi Amin alikuwa na Mtu anayeitwa James MalyaMungu, Iddi amini akichukuia kitu hata kama hajatoa Amri kesho kile kitu kinafutika katika uso wa Dunia..
We have almost reached that stage. Mzee akikusema vibaya hadharani tu, kama una shamba, kaa chonjo. Kama una nyumba ipo karibu na barabara, kaa chonjo maana wataibuka na sheria za za mwaka 1897. Kama ni Politician, kimbilia Nairobi mapema.
 
Siku zote, ukiona mtu anaingilia majukumu ya mwingine, basi jua inawezekana kuna nafasi ni dublicate...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…