Mawaziri watano wa Rais Samia wanuka utajiri wa kutisha, waogelea mabilioni ya shilingi

watazitapika soon!

watu wanakufa Hospitalini kwa kukosa huduma, vijijini watu wanakunywa maji kwenye madimbwi na mifugo, ... wao wanachezea Kodi za wananchi! Their days are numbered!

mark my words
Ujamaa mbaya Sana. Tanzania Ni kosa kuwa tajiri.
Hoja ya Msingi ni: "Wameupata utajiri kwa njia harari?". Kama hakuna ukakasi kwenye utajiri wao basi nawe pia unatakiwa upambane uwafikie wao.
 
Amani ya moyo yatosha 😊

Tunaishi kwa neema na mapenzi ya Allah SWT sio pesa nyingiii. Tulikuja duniani hatuna na tutakapoondoka tutaacha kila kitu.

Msipaniki ndugu zangu.
Uko vizuri boss. Umenikumbusha mbali. Hata yule mfalme maarufu Elexander the Great aliliona hilo na alipokuwa ktk hatua za mwisho za uhai wake aliwaita makanda wake na kuwaamuru kwamba akifa jeneza lake sharti libebwe na madaktari na mikono yake iwe wazi nje ya hilo jeneza. Akawasainisha Hati ya Maagizo. Alipoulizwa alisema ni ili raia wake wajue dhahir kwamba alikuja pasi na kitu na ameondoka pasi na kitu. Yoote ameyaacha hapa hapa duniani kama alivyoyakuta hajaondoka na chochote.
 
Hakuna wa kuwatapisha serikali hii acha kujilisha upepo kiongozi, ndio urefu wa kamba zao
Lakini wahenga walisema: "Kamba hukatikia pembamba" na "Hakuna marefu yasiyo na mwisho"
 
Hii toilet paper bado ipo? Gazeti zima anaandika mtu mmoja, anajibadilisha majina tu, mara mwandishi wetu, mara sijui nani
Si mbaya,, andika gazeti lako tusome tulikubali au pia tujitawazie chooni.
 
Ujamaa mbaya Sana. Tanzania Ni kosa kuwa tajiri.
Hoja ya Msingi ni: "Wameupata utajiri kwa njia harari?". Kama hakuna ukakasi kwenye utajiri wao basi nawe pia unatakiwa upambane uwafikie wao.
majizi ya hela za umma. matajiri wa huko Nigeria waliojificha Marekani saivi wananyooshwa na Trump
 
Yule wa Singida anakimbizana na Elon musk
Ila huwa wakidedi wanazikwa kwenye makaro ili hata wakifufuka wasitoke , na pesa wanaziacha benki uswisi bila mtu kujua wazungu wanazipiga maana hakuna mtu anakuja kudai
 
Ila huwa wakidedi wanazikwa kwenye makaro ili hata wakifufuka wasitoke , na pesa wanaziacha benki uswisi bila mtu kujua wazungu wanazipiga maana hakuna mtu anakuja kudai
Kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…