Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuanzia aliyewateua ni balaa tupu
Na kufa ni lazima tu hakuna namna !Wana hela hadi wanaogopa kufa yaani, Hela watamuachia nani?
Wataje basi Mutoto ya shule.Ahahahahaha! Kwa maana wewe unaogopa kuwataja! Ahahahahaha! Keyboard Warriors mnafurahisha sana! Ahahahahaha!!!
Kwakweli !CCM masikini ni kina Mwashambwa na vidampa wenzie tu wengine wamechukua chao mapema.
Ujamaa mbaya Sana. Tanzania Ni kosa kuwa tajiri.watazitapika soon!
watu wanakufa Hospitalini kwa kukosa huduma, vijijini watu wanakunywa maji kwenye madimbwi na mifugo, ... wao wanachezea Kodi za wananchi! Their days are numbered!
mark my words
Uko vizuri boss. Umenikumbusha mbali. Hata yule mfalme maarufu Elexander the Great aliliona hilo na alipokuwa ktk hatua za mwisho za uhai wake aliwaita makanda wake na kuwaamuru kwamba akifa jeneza lake sharti libebwe na madaktari na mikono yake iwe wazi nje ya hilo jeneza. Akawasainisha Hati ya Maagizo. Alipoulizwa alisema ni ili raia wake wajue dhahir kwamba alikuja pasi na kitu na ameondoka pasi na kitu. Yoote ameyaacha hapa hapa duniani kama alivyoyakuta hajaondoka na chochote.Amani ya moyo yatosha 😊
Tunaishi kwa neema na mapenzi ya Allah SWT sio pesa nyingiii. Tulikuja duniani hatuna na tutakapoondoka tutaacha kila kitu.
Msipaniki ndugu zangu.
Utajiri sio dhambiMakamba pale nishati akiondoka na bilion za kutosha
Bashe anakiwanda hatari cha sigara anachangia na boss
Lakini wahenga walisema: "Kamba hukatikia pembamba" na "Hakuna marefu yasiyo na mwisho"Hakuna wa kuwatapisha serikali hii acha kujilisha upepo kiongozi, ndio urefu wa kamba zao
Naam. Utajiri uliopatikana kihalali sio dhambi hata kidogo.Utajiri sio dhambi
Si mbaya,, andika gazeti lako tusome tulikubali au pia tujitawazie chooni.Hii toilet paper bado ipo? Gazeti zima anaandika mtu mmoja, anajibadilisha majina tu, mara mwandishi wetu, mara sijui nani
Nawataje wakati siwajui na wanaojifanya wanawajua hawawataji halafu wanajifanya mamwamba! PUMBAVU!Wataje basi Mutoto ya shule.
majizi ya hela za umma. matajiri wa huko Nigeria waliojificha Marekani saivi wananyooshwa na TrumpUjamaa mbaya Sana. Tanzania Ni kosa kuwa tajiri.
Hoja ya Msingi ni: "Wameupata utajiri kwa njia harari?". Kama hakuna ukakasi kwenye utajiri wao basi nawe pia unatakiwa upambane uwafikie wao.
Ila huwa wakidedi wanazikwa kwenye makaro ili hata wakifufuka wasitoke , na pesa wanaziacha benki uswisi bila mtu kujua wazungu wanazipiga maana hakuna mtu anakuja kudaiYule wa Singida anakimbizana na Elon musk
KabisaaaIla huwa wakidedi wanazikwa kwenye makaro ili hata wakifufuka wasitoke , na pesa wanaziacha benki uswisi bila mtu kujua wazungu wanazipiga maana hakuna mtu anakuja kudai
Kwa maombi?Lakini wahenga walisema: "Kamba hukatikia pembamba" na "Hakuna marefu yasiyo na mwisho"
Aaaah. Hamnaga hiyo. Amani haiji ila kwa ncha ya upanga.Kwa maombi?