Bubolwa Chura
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 300
- 560
Hoja yangu kwa nini usilale na mwanao huyo mgeni akalala peke yake
Au ungelala nae wewe kisha mtoto angelala na mkeo(mama yake) hii pia ulikuwa unaogopa kalawitiwa na shemeji yako ?
Hoja ya pili ni alale na uncle af mtoto alale na mamaWe diplomasia unaijua? Imekusaidia kwenye nini? Hiyo ni diplomasia au ni uoga mbele ya macho ya watu watakuonaje?
Hivi unahisi unafanya sahihi kumpangia mtu utaratibu wa kuishi kwenye nyumba yake? maadili ya mtoto yapo kwenye mikono ya wazazi, unajua hakuna kitu kibaya kama mtoto tena wa miaka mitano alale na wazazi.
Yaani option ulioichukua ni mbovu bora hata mwenzako kafanya uamuzi wa kumpeleka Lodge uncle, watoto wakizazi hichi wananasa mambo kwa haraka sana wewe unashauri unampoteza.
Hivi unajua kwasisi wanaume asubuhi ukiamka ni lazima mashine huwa inasimama sasa unataka na na mwanao aone maungo yako maana kuna kujisahau, nyie watu sijui mpoje kulaumu pasipo kuwa na maamuzi ya busara
Mwenzetu anamuogopa uncle[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora mkeo akalale na watoto wewe lala na huyo uncle
Unajua watu tunatofautiana na pia hii ni mitandao tu, ukipatia picha kiuhalisia kaka yangu tumbo moja kabisa na tuliyoyapitia siwezi mfanyia hivyo, wengi humu ni maneno maana ni mitandaoni tu, option ulizotoa ndo bora zaidi, lazima usalama uwepo na mahusiano yaendeleeSawa mkuu kama unaona hivyo kila mtu na maoni yake.
Ila mimi kwa ndugu zangu wote wanaokuja kwangu hakuna ambae anakuja kwa ajili ya kutaka kusettle moja kwa moja,do najua ni jambo la siku moja tu au mbili.
Ila huyu jamaa anko wake naye inaonesha ana mishe zake so kaja kww muda tu hapo,
Alifanya hvyo ili mgeni ajishitukieMkuu kwanza huo ujasiri wa kumruhusu alale chumba cha watoto uliutoa wapi????
Aiseeee watu hampo serious kiasi hiki!!!
Wanaobisha wanabisha tu kwa kuwa wako mitandaoni, na mtoa mada kajiona jasiri kwa kuwa kamdanyia hivyo mgeni aliemzidi kila kitu, mgeni angekuwa kamzidi mtoa mada kitu, akili yake ingesolve tatizo kibusara zaidi, sometimes unaweza fanya maamuzi bila kufikiria na adhabu ikakurudia vibaya mnoUko sahihi.
Mtu mzima tena wa kiume kulala na watoto iwe wa kike au wa kiume,,sio jambo zuri,,
Lakin pia njia iliotumika kutatua tatizo kama ulivoeleza sio njia ya busara,,
Wangelala na mtoto chumbani ,,mgenini akalala peke yake kwenye chumba cha watoto_ a very simple solution
Mtoa maada ametumia nguvu kubwa saana kutatua tatizo dogo
Mtoa maada anaweza kua kweli ameshinda lakini hebu ajalibu kuvaa viatu vya mgeni wake,,kama angekuwa yeye angehisije tena unaambiwa kabisa kuwa "uenaenda kulala gest kwa sababu sikuamini kulala na watoto wangu,,"
Lazima kama mtu mzima ujisikie vibaya.
Ahaha alikosea sanaAlifanya hvyo ili mgeni ajishitukie
Yani mtu unamtenganisha na mke wake kisa kuogopa uncle atajisikiajeHoja ya pili ni alale na uncle af mtoto alale na mama
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu umeongea kwa hisia kwelikwelizabron k siku nyingine uwe unatumia akili kabisa usiwe hopeless. Yani first time mjomba alilala chumba cha mtoto nawe baba upo unachekelea? Usirudie uzembe wa kipuuzi namna hiyo, huwa mnakuja jutia baadaee na kulaumiwa na watoto.
1. Kwanini hukumtimua. Anakuja bila taarifa kwako ni kituo cha polisi?
2. Kwanini hukumchukua mtoto mkalala naye chumba kimoja. Unajifanya we na mkeo mna nyege sana mpaka mnaweka rehani usalama wa mtoto.
3. Kwanini hakukala nyumba za wageni siku ya kwanza.
Yani nimekasirika. Kulea mtoto ni pamoja na kumlinda, sio tu kumlisha michembe na maparachichi
Namba 1 inaonyesha jinsi binadamu wa sasa tulivyo kubuhu kwa roho mbaya.. Kwanini hukumtimua. Anakuja bila taarifa kwako ni kituo cha polisi?
2. Kwanini hukumchukua mtoto mkalala naye chumba kimoja. Unajifanya we na mkeo mna nyege sana mpaka mnaweka rehani usalama wa mtoto.
3. Kwanini hakukala nyumba za wageni siku ya kwanza.
Yani hatua za kulinda mtoto wangu unambie nina roho mbaya?Namba 1 inaonyesha jinsi binadamu wa sasa tulivyo kubuhu kwa roho mbaya.
Waafrika hatuna utamaduni huo brother and no wonder wazazi wakifarika hata kama walikuwa na uwezo mkubwa kiuchumi watoto wanaobaki wanakuwa machokoraa na hali mbaya sana .
Yote hayo yanasababishwa na expression ya point no 1 hapo juu
Mkuu kwenye suala la usalama niko serious kupitiliza. Sitaki uharibifu mwishowe lawama[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu umeongea kwa hisia kwelikweli
Nina wasiwasi na uelewa wako. Wazazi kuwa na hela na kulinda watoto wao dhidi ya possible threats kunawafanya watoto wawe chokoraa wazazi wakifa?Namba 1 inaonyesha jinsi binadamu wa sasa tulivyo kubuhu kwa roho mbaya.
Waafrika hatuna utamaduni huo brother and no wonder wazazi wakifarika hata kama walikuwa na uwezo mkubwa kiuchumi watoto wanaobaki wanakuwa machokoraa na hali mbaya sana .
Yote hayo yanasababishwa na expression ya point no 1 hapo juu
kwa siku moja ili kumlinda mwanaoWangelala na mtoto usiku wangepelekeana vipi moto
vizuri mkuuMkuu kwenye suala la usalama niko serious kupitiliza. Sitaki uharibifu mwishowe lawama