Maxence Melo amshangaa Gerson Msigwa kusema waliovamia Ofisi za Jamiiforums ni Maafisa Usalama

Hivi unaweza kufuta post umu jukwaani ambazo uliposti zamani? daah maana maji yashakorogeka
 
Acha uoga mtoto wa kiume unakua muogamuoga mijitu kama nyie ndio mnaipa ccm kichwa shenzi yaani mtandaoni tu unakua lioga hivi je road itakuaje
Uoga uko wapi hapo, nimeeleza ninachokifahamu au umeelewa vipi wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…